FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
<br />
<br />
idadi ya shule kitu gan ww?umejaribu kutazama ubora wa elimu?ni kwel km amefanya meng zaid ya hao waliopita lakini kumbuka maendeleo ya nchi yetu hayalingani na rasilimali zilizopo hapa nchini mama.
Huo ubora wa elimu utaupata bila kuwa na shule? unanchekesha! Au hukuona juzi alivyosaini mkataba wa kutandandaza ma screen ili watu wasome via mtandao? Unanchekesha!