Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Bora hata Mary Chatanda anaweza kuiongoza Tanzania vema kuliko Mkweree
 
Bibie,
Acha uwongo. Tanzania kuna viwanda gani hivi leo? Madini kagawia wazungu. Viwanda vya nguo Mwanza na Musoma vimegeuzwa kuwa ma go down ya waingizaj mitumba. Mkonga wa mawasiliano ya kisasa unatumia mionzi ya jua? Umeme hakuna. Shule zenyewe watoto 120 wanakaa kwenye sakafu wakimsubiri mwalimu mmoja ambaye pia hana nyumba nzuri ya kuishi. Kuzindua Swahili version ya windows 7 ni kitu cha kuijivunia? Kaiandika yeye? Wewe ndiye unayechekesha kwa uongo wa mchana kweupe.

Unanchekesha, Kikwete ndio aliokuja kugeuza sheria ya madini au umesahau, ni nani alikuwa anaigawa bure?

UPDATE 2-Tanzania increases royalties in new mining law | Reuters

Sat Apr 24, 2010 7:48am EDT
 
Faiza...wewe kwa akili zako unaamini yeyote anae pinga pumba zako basi ni CDM, kwa taarifa yako mimi nina kadi ya CCM lakini sina akili za kijani hata kidogo, naangalia ukweli na hali halisi ya mambo. Usiwe unabwabwaja tu kila linalokuja kinywani mwako weweeeee....acha ku exercise uswahili wako wa kaliakoo hapa JF. Leta hoja za msingi Jimama usiye kuwa na mume wewe....l!!!

Ukweli huo nimekuwekea sasa wewe jibu huo ukweli wako, hata Slaa ana kadi ya CCM itakuwa wewe!
 
<br />
<br /> Hivi jamani huyu kiumbe ni wa maumbile gani? ME/KE? Mi ametokea kunichafua ndevu balaa. Yani humu ndani huyu ni mkosi FLUU!!

Huna hoja! kafanye maandamano ya kudanganya watu, ukweli unabaki kuwa ukweli.
 
Nakwambia hivyo vya kata ni vya zamani, nimekuwekea ushahidi kuwa sasa ni vya kaya, hukupenda? nivipambe nini na huo ndio ukweli? au huupendi? Unanchekesha!

Na UDOM kikiisha kuwa ni chuo kikubwa South of Sahara! si madogo hayo kijana. Na pale kuwa ndio kituo kikubwa cha elearning in East Africa. Soon kijana, hiyo ni ahadi ya Bill Gates, swahiba yake mkubwa JMK.
unachekesha..unashangaza ......duh!
Ni Nyerere pekee ndiye anayeonekana ni kiongozi bora mpaka wakati tuu tunapozungumza...! wengine wote waliomfuata ni hovyo hovyo tu!
Kinacho nishashanga ni jinsi unavyojivunia kikwete kafanya hiki kushinda nyerere kikwete kafanya kile kushinda nyerere nk..Kikwete akili yake ni kama yako iko kuleee masaburi aliposema.
Naomba nikuulize ...tulipopata uhuru ....nyerere alianza kutuongoza tukiwa katika hali gani au tuseme tanzania ilikuwa katika hali gani? kulikuwa na wasomi wengi? kulikuwa na viwanda vingi? shule zilikuwa ngapi , vyuo vilikuwa vingapi?barabara? n.k .! Je nyerere aliweza kupambana na hizo changamoto za taifa changa?na alifanikiwa kwa kiasi gani ?
Na Kikwete alipoanza kuongoza tanzania ilikuwa na hali gani ? na hapa tulipo tunastahili kuwa katika hali hii? mind you...kikwete amekuta tayari kuna msingi umeshajengwa ..wasomi wengi,,,madini tunachimba...wawekezaji kila kona nk

kwa mtazamo wa harakaharaka utagundua pamoja na mapungufu yake mengi , nyerere ndiye kiongozi bora na hatujampata kiongozi kama yeye!
Tungeanza na kiongozi mwenye akili kama ya huyu zombie anayeongoza sasa wakati tulipokuwa taifa changa, tanzania leo hii tungekuwa katika hali mbaya sana kupita hata somalia! thats a fact! Huyu zombie anaweza kukenua tu..period!
wandugu mpuuzieni huyu firauni ..maana yupo kazini ..sasa mkimjibu kila post anayoandika mtapoteza muda wenu wenye thamani!
Nawaomba sana kwenye maandamano yenu mtengeneze mabango mengi yenye picha nyingi zinaoonyesha uhalisia wa maisha bongo..kama vile zile nyumba /shule za tembe ..n.k mchafueni huyo jamaa mpaka asiwe na hamu tena ya kutia mguu huko kwa watu ambao yeye na ndugu zake wanawaita makafiri lakini ni kila uchao wanakimbilia hukohuko kuombaomba!
 
nyie huyu faizafoxy mngemuignore na pumba zake,analipwa kwa kazi yake ya kudivert attention za watu hapa jamvini,hapa amewafanya mdiscuss pumba zake badala ya maandamano na nyie mkafall for her tricks......
 
HOJA ZIPO WAPI FAIZAFOXY? MBONA SIZIONI.....AU MIE KIPOFU! MWANAUME WA KWELI ANAKUWAJE VILE? MAANA WEYE MTU WA PWANI WAJUA MENGI...TUELEZEE

Ni mvivu tu wa kufikiri, macho unayo lakini yanaona ya kumbiwa si ya kujionea mwenyewe, haya bishana na hii hoja:

quote_icon.png
By FaizaFoxy

Over 2000 Secondary Schools in 5 Years, over 168 Industries in 5 Years, Over 11,000Kms of Roads signed and under construction, over 3000MW of electricity signed and under construction, fiber optic trunk, whole of Tanzania, over 18 regions, 56 districts are already enjoying it.

Haya leta ma apple kama hayo kwa marais woooote kabla yake uwachanganye pamoja.
 
unachekesha..unashangaza ......duh!
Ni Nyerere pekee ndiye anayeonekana ni kiongozi bora mpaka wakati tuu tunapozungumza...! wengine wote waliomfuata ni hovyo hovyo tu!
Kinacho nishashanga ni jinsi unavyojivunia kikwete kafanya hiki kushinda nyerere kikwete kafanya kile kushinda nyerere nk..Kikwete akili yake ni kama yako iko kuleee masaburi aliposema.
Naomba nikuulize ...tulipopata uhuru ....nyerere alianza kutuongoza tukiwa katika hali gani au tuseme tanzania ilikuwa katika hali gani? kulikuwa na wasomi wengi? kulikuwa na viwanda vingi? shule zilikuwa ngapi , vyuo vilikuwa vingapi?barabara? n.k .! Je nyerere aliweza kupambana na hizo changamoto za taifa changa?na alifanikiwa kwa kiasi gani ?
Na Kikwete alipoanza kuongoza tanzania ilikuwa na hali gani ? na hapa tulipo tunastahili kuwa katika hali hii? mind you...kikwete amekuta tayari kuna msingi umeshajengwa ..wasomi wengi,,,madini tunachimba...wawekezaji kila kona nk

kwa mtazamo wa harakaharaka utagundua pamoja na mapungufu yake mengi , nyerere ndiye kiongozi bora na hatujampata kiongozi kama yeye!
Tungeanza na kiongozi mwenye akili kama ya huyu zombie anayeongoza sasa wakati tulipokuwa taifa changa, tanzania leo hii tungekuwa katika hali mbaya sana kupita hata somalia! thats a fact! Huyu zombie anaweza kukenua tu..period!
wandugu mpuuzieni huyu firauni ..maana yupo kazini ..sasa mkimjibu kila post anayoandika mtapoteza muda wenu wenye thamani!
Nawaomba sana kwenye maandamano yenu mtengeneze mabango mengi yenye picha nyingi zinaoonyesha uhalisia wa maisha bongo..kama vile zile nyumba /shule za tembe ..n.k mchafueni huyo jamaa mpaka asiwe na hamu tena ya kutia mguu huko kwa watu ambao yeye na ndugu zake wanawaita makafiri lakini ni kila uchao wanakimbilia hukohuko kuombaomba!

Hivi ulikuwepo wakati wa nyerere au una hadithiwa tu?
 
FaizaFoxy, hayo ni baadhi ya maneno ambayo umekuwa ukiyatamka kwa nyakati fotauti ukijibu hoja za wachangiaji mbambali humu, si mara moja ama mbili lakini kila wakati unapoona ni mwafaka kutetea au kupinga hoja mbali mbali. Kwanza nakiri kabisa mimi si Muislaam na pili nimejitahidi sana kukaa mbali na hoja zinazohusu dini ndani ya JF kwa sababu hadi dakika hii naamini tatizo kubwa linalotukabili Watanzania kwa sasa si udini ila udini unavyotaka kutumiwa na baadhi ya watu kama kisingizio cha mapungufu yetu kama taifa.

Kama kuna wakati upinzani ulikuwa na haki ya kulalamikia namna sheria za uchaguzi hazikusimamiwa kwa haki ni mwaka 2005 Kikwete alipoingia madarakani. Baadhi ya Wakristo ambao hivi leo FaizaFoxy unawalalamikia kwa kumchukia Kikwete kwa udini wake walikuwa mstari wa mbele kumpigia kampeni wakidai ni Chaguo la Mungu, sijui kama hata hilo unalikumbuka ! Kwa sababu hiyo na zingine ambazo sitazitaja kwa sasa, Kikwete aliweza kuchaguliwa kuwa Raisi wa nne wa Tanzania kwa asilimia 80% ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura.

Pamoja na hayo, ukweli ni kuwa kwa sasa taifa linakabiliwa na matatizo makubwa ambayo yamesababishwa na mfumo ambao umeshindwa kusimamia haki na usawa na hivyo kutoa nafasi kwa watu wasiotutakia mema kuiweka nchi yetu rehani. Bahati mbaya vyombo vilivyopewa mamlaka ya kusimamia utawala bora ni kama vile vimeenda likizo na hivyo mafisadi kuota kama uyoga miongoni mwetu. Sidhani kuna Mtanzania yeyote mwenye akili timamu ambaye anaweza kujitokeza hadharani na kukana kuwa hamna tatizo la kiutendaji serikalini.

Sasa unapojitokeza FaizaFoxy na kuwabeza Watanzania wanaolalamikia utawala ambao kwa vyovyote vile umeonesha udhaifu mkubwa kwamba Kikwete analaumiwa kwa kuwa ni Muslaam tukueleweje ? Je unatuambia kwamba ni kwa sababu ni Muislaam ndiyo maana hatuna umeme ? Ndio maana hatuna mafuta ? Ndio maana wezi tunapishana nao mitaani na kadhalika. Huoni kwamba kwa kufanya hivi unaidhalilisha dini ya Uislaam kwa kuihusisha na udhaifu wa uongozi unaosababbisha serikali ionekane ovyo mbele ya wananchi wake ?

Ningekuwa wewe FaizaFoxy,
  • Haraka ningewaomba radhi Waislaam kwani kwa kudai ufisadi wa Kikwete na utendaji wake usiokubalika ni kwa kuwa yeye ni Muislaam, umeudhalilisha Uislaam.
  • Ningewaomba radhi Watanzania kwa kujaribu kupotosha ukweli kuhusu hali halisi inayowakabili na kujaribu kutetea uozo serikalini kwa kisingizio cha dini.
  • Ningewaomba radhi wasomaji wa JF popote pale walipo kwa kushusha hadhi ya jukwaa na kujaribu kuchochea mifarakano ya kidini.
Mkuu issue ya udini inayotumiwa na wadini kuwa JK analaumiwa kwasababu ya dini umeimalizia hapa.Hii posti ndo ukweli wenyewe na hoja yako hii imezitrump hoja zote za wadini humu.Hoja makini kabisa kamanda.Na mimi pia huwa nakaa mbali na threads zenye mwelekeo wa kidini.
 
<br />
<br /> Hivi jamani huyu kiumbe ni wa maumbile gani? ME/KE? Mi ametokea kunichafua ndevu balaa. Yani humu ndani huyu ni mkosi FLUU!!
huyo siyo kiumbe ni kikosi kazi/taskforce...Z.ombie(JK) ameona image yake iko so tarnished hapa JF so ameamua kuajiri watu wa kuing'arisha hapa JF ! Ni watu wa kupuuzia tu maana wenzao wakaanga mihogo akina semeni, chausiku ,maimuna ,shida,tatu wanayaona machungu halisi ya utawala wa JK!
 
Kama huamini nikupe website kadhaa Marekani na Ulaya uchaguwe event unayotaka kuhudhuria kama haujaona wamekutumia mwaliko kwenye p.o.box yako na email yako.

Matola,

Nitumiage na mimi niende huko kuosha macho nimechoka kukaa vijijini!!!!!!!
 
jibu hoja! si unasema nyerere hakufanya kitu...ukifananisha na zombie wako wa awamu ya nne

Kwanini wewe umeandika nyerere kafanya nini au umemwaga pumba, sijakiona ulichisema kakifanya au ulisema kafanya nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom