Hata vyuo vikuu vimekuwa vya kata sasaShule ya Sekondari kila kata, nambie ni Rais yupi aliyefanya hayo kabla yake?
Na hilo limeshapatiwa ufumbuzi, hakuna wakati tuna vyuo vya waalim wingi kama huu wa Kikwete hao wa kabla yake kuanzia kwa nyerere walikuwa wapi? wamelala? zaidi ya vyuo vya walimu, ni juzi tu amesaini mkataba wa kutufungia mtandao shule zote. mwalim mmoja tu Dar anafundisha watoto mamillioni au hujui hilo? Siku hizi kuna watu hata darasani hawaendi, wanakula vitu kwenye mtandao tu, na JK kisha liona hilo na kisha saini. Uko wapi weyee?
Mimi nina picha ya nyumba yao duni kabisa kuliko zote pale mtaa wa kariakoo inaangaliana na redio uhuru, kama mnahitaji naweza kuiupload hapa.
FaizaFoxy ni msaidizi wa JK. Anafanya kazi na Salva. Yupo tayari kufa kwa ajili ya JK. Huyu mama ni jeuri kweli, alafu lina dharau sijui kwa sababu ya lile libwana la Symbion? Watu bwana. Sasa mbona madhambi yake tunayo kibao? Au anadhania tunaingilia uharakati kichwa kichwa. Mimi ni mwana UVCCM kwa hiyo siri za hawa watu nazifahamu. Faiza Foxy nimefanya naye kazi sana, alafu ndiye anayetegemewa na JK kwenye mambo mengi
hivi Dr Slaa na Lisa Rockerfeller nani Kamanda? Naombeni jibu wana Magwanda
Hata vyuo vikuu vimekuwa vya kata sasa
Lakini hawa jamaa wa DICOTA nao wanafikiria nini kuwaita viongozi wa serikali kuhudhuria kwenye mikutano yao? hawajui kuwa kila wakimleta kiongozi mmoja ni pesa nyingi sana za umma zinateketea? Kila mwaka wamekuwa wakiwaita viongozi wakubwa kama Membe na wakurugenzi kadhaa wa mawizara, je tija yake kwa taifa imekuwa ni ipi tangu wamefanya hivyo? Katika viongozi wote wa serikali, kwa nini waamue kumwita Kikwete ilhali udhaifu wake unajulikana? Nilitegemea DICOTA wawe ni watu makini zaidi kwa vile wengi wao ni watu wenye elimu ya juu sana, ila sijui labda hii ni katika kutafuta visibility. Unless Kikwete alikuwa na shughuli Nyingine hapo DC nao wakaamua kuunganisha mkutao nuo ndani ya shughuli zake, sioni umuhimu wa wao kumwita Kikwete kutoka dar kwenda DC kuhudhuria mkutano huo.
[h=2]DICOTA BOARD OF TRUSTEES[/h] Dr. Lennard M. Tenende
Mr. Abdul Majid
Mr. Frederick Mjema
Mr. Iddy Mtango
Dr. Crispin Semakula
[h=2]DICOTA OFFICERS[/h] Dr. Ndaga Mwakabuta President
Dr. Lyungai Mbilinyi Secretary
Mr. Joel Mburu Dep. Secretary
Ms. Emma Kasiga Treasurer
Ms. Jane Temu Assist. Treasurer
DICOTA 2011:[h=2]CONVENTION STEERING COMMITTEE[/h] Mr. Faraja Isingo - Chairman
Tanzanians in the
Diaspora after 50 years
of independence
Mr. Richard Mollel - Secretary
Mr. Sylvanus Msafiri
Mr. Elias Mshana
Mr. Johnson Ejalu
DJ Luke Joe
Mr. Santa Chacha
Mr. Elvis Magori
Mr. Idd Sandali
Ms. Joyce Mkande
Mr. Eric Mahai
Mr. Damatus Nambai
Ms. Rehema Mollel
Mr. Said Mateso
Mr. Aloyce Kilasara
Hakuna mbeba maboksi hapo.
Ilikuwa ni chance ya Salim Ahmed Salim, Mkwereee akaja na mipasho na ngonjera za kuuza sura haya sasa! SAS angekuwa prez sasa hivi hii nchi ingekuwa mbali sana, lakini siasa za Chalinze na Msoga ndio hizi sasa. Nchi inaendeshwa kama kile kijiwe cha Saigon.
Baada ya 2015 mwambie akimbie nchi la sivo tutamtia mahakamani huku akiwa kwenye box kama Mubarak!
Alikuwa ni "chaguo la Mungu" au umesahau?
Vya kata ni zamani sana weyee, sasa ni vya kaya, uko wapi wewe? mbona umeclewa jamvini karamu imeshaliwa? au hii hujaiona:
Learning Management System
na hii : Tanzania Global Development Learning Centre (TGDLC) at (IFM) The eLearning Centre
Na hii: Creating an e-learning center (ELC) in Tanzania | Spider
wewe husiandikia mate msisitize kikwete aende marekani fanya hiyo kazimie nahisi hayo maandamano yatapata wachangiaji wachache.....humu mtandaoni tunapeana moyo tu,kwanza na schedule za box zilivyo tight watu watapatawapi huo muda lol
Fox,
Sielewi ulikuwa unanijibu kitu gani hapo, kwa sababu sidhani kama jibu lako linaendenana na post yangu. Jitahidi kuwa unasoma vizuri post kabla hujazivamia. Usidhani kuwa wote tunaompinga Kikwete ni wabeba maboksi, kwa taarifa yako zaidi ni kuwa wanaomkumbatia Kikwete na CCM ndio wabeba maboksi zaidi kwa vile tuna ushahidi wa kutoka UK walikoibiana pesa za mgao. Vile vile katika hiyo list uliyoweka je una uhakika kuwa hakuna waganga njaa hapo hata kama siyo wabeba maboksi? Mimi nawajua wote kwa vile hata mimi pia ni mwanachama wa hiyo DICOTA, na nina uhakika kuwa waliopendekeza kumleta Kikwete ni waganga njaa sana ndani ya DICOTA.
Mimi ninachojua ughaibuni kuna matawi mengi ya Magamba, sasa nyie mnaoandamana mmetumwa na nani? Chadema??? Kwani USA lipo tawi la Chadema?
WE UNAFIKIRI KUANDAMANA HADI UTUMWE NA CHAMA, HIYO NI HAKI YAKO YA MSINGI KAMA RAIA. HATA WEWE WAWEZA ANDAMANA. USIFIKIRI CHINI YA UWEZO BANDUGU.