Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Weka bango lenye kudai tume huru ya uchaguzi, katiba mpya kabla ya 2015, Umeme, bila kusahau sheria kuchukua mkondo wake kwa watuhumiwa wa ufisadi, Matrilioni ya Shimbo, Tumechoka na Demokrasia iliyo jaa damu ya walalahoi wa Tanzania
 
Tuko pamoja endeleeni nasubiri ile Boing 737 - 800 iliyo Afrika Kusini ikirudi TZ nitakuja kuungana na nyie kwa maandamano hayo.
Mkuu! Ngoja niangalie mambo fulani kabla ya siku tano hivi ntakuseach kama vp twende 2kawaunge mkono Nguvu ya Umma kwn mi naona ndiyo wenye uwezo tu. MAGEUZI NI SASA,KAMA SI SASA NI SASA HIVI:
 
Mimi ninachojua ughaibuni kuna matawi mengi ya Magamba, sasa nyie mnaoandamana mmetumwa na nani? Chadema??? Kwani USA lipo tawi la Chadema?
 
Weka bango lenye kudai tume huru ya uchaguzi, katiba mpya kabla ya 2015, Umeme, bila kusahau sheria kuchukua mkondo wake kwa watuhumiwa wa ufisadi, Matrilioni ya Shimbo, Tumechoka na Demokrasia iliyo jaa damu ya walalahoi wa Tanzania
Mkuu! Shaka ondoa hili lazima nitalibandika kwani MUNGU aki2jalia nina 85% ya kuwepo ndani ya DC Washngton.
 
naunga mkono hoja natamani tungefanya hivyo hivyo nchi kwetu pia watanzania mpo tayari nitarudi TZ siku husika kwa ajili hiyo kama nitapata uhakika kuwa we will do the same thing as our fellows citizens leaving in USA
 
Ndio walewale, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.

Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?
 
Mimi ninachojua ughaibuni kuna matawi mengi ya Magamba, sasa nyie mnaoandamana mmetumwa na nani? Chadema??? Kwani USA lipo tawi la Chadema?
We ina maana hali 2liyonayo hapa kwe2 hauioni? Ama we ni kipofu nini! Ina haja gani ya kusukumwa na chama yeyote ingali kila k2 kiko wazi? Ama we ni kt ya wale madiwani wa Arusha mliopokea ule mchongo kwa mapapa hapo na ikawatokea puani nini? Tafakari kabla ya,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Kidudu m2 we!
 
Mimi ninachojua ughaibuni kuna matawi mengi ya Magamba, sasa nyie mnaoandamana mmetumwa na nani? Chadema??? Kwani USA lipo tawi la Chadema?
Acha mawazo mgando wewe,wanachopinga ni ugumu wa maisha ya watanzania,hili sio suala la chama chochote,JK anapewa ujumbe coz ni kiongozi wa nchi!
 
Wote hawa wamevutiwa na hii thread!
mwabaluhi
Ngalikihinja
FaizaFoxy
LAT
Nduka
Eiyer
campana
Matola
Lukansola
Mosachaoghoko
liverpoolfc
Sangara
HosannaTech
mtanzania poli
Namtambo
Keren_Happuch+
Mamndenyi
Livanga
HOYANGA
Laurence
MANI
fredmlay
Kaseko
Kilbark
nchasi
Fungo N.
DCONSCIOUS
jjeremiah
makaptula
Muadilifu
chapa
tusichoke
ESCO
nyangau
Kinyasi
Ibra Mo
 
Tuna unga mkono asilimia 100 mda umefika mafisadi wakabizi nchi!!!wamekosa uruma na haya ata kutuacha omba omba......Egypt wameweza kwa nini sisi tunaogopa kuchukua maamuzi magumu!!!ccm haita mkomboa mtazania daima.......
 
Badilisha hiyo, sema "naunga" usitusemee, wengine hatuungi mkono kabisa.
 
Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?

Hayo yote uliyotaja ni wajibu wa Serikali kwa watu wake, si jambo la ajabu!

Ufisadi unalimaliza taifa, nguvu zote zitumike kuupinga na kuwashinikiza walioko kwenye Uongozi Serikalini kuchukua hatua na si kucheka cheka na kuorodhesha sekondari zilizoongezeka.
 
Wote hawa wamevutiwa na hii thread!
mwabaluhi
Ngalikihinja
FaizaFoxy
LAT
Nduka
Eiyer
campana
Matola
Lukansola
Mosachaoghoko
liverpoolfc
Sangara
HosannaTech
mtanzania poli
Namtambo
Keren_Happuch+
Mamndenyi
Livanga
HOYANGA
Laurence
MANI
fredmlay
Kaseko
Kilbark
nchasi
Fungo N.
DCONSCIOUS
jjeremiah
makaptula
Muadilifu
chapa
tusichoke
ESCO
nyangau
Kinyasi
Ibra Mo

For sure, nina vijana wangu hapo marekani akina ernest, tafadhali msikose kwenye maandamano hayo; tuwakilisheni tafadhali.
 
Naunga Mkono hoja,jamani tuachane na watu wenye sifa za Faiza F maana tunawajua wapo mlengo gani,cha kufanya tuwape washikaji maujumbe ya kweli ili huyu Jk aelewe kua watz wamemchonga na utawala wake mzima,bango lisomeka hivi: Jk wewe ni sehemu ya Mafisadi wa gvt ndio maana umeshindwa kuwashughulikia mafisadi Tanzania tunataka uwajibikaji kwako.
 
maandamano hayo pia ni lazima tuliopo dsm tuyaunge mkono kwa vitendo. Tuingie barabarani kuonyesha ghadhab zetu
Kweli kabisa mkuu yaani huku tuko kimya utafikili tunamaisha mazuri,mpaka ndugu zetu wa mbali waanzishe bana huu ni ujinga sio woga,hebu tuungane kumpinga jamani hali hii mpaka lini?
 
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe

EliakimMallya@yahoo.com

Haya sie yetu macho. Huo ni mpango tu bado mikakati na utekelezaji je mtaweza?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom