Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Na data zake hizi hapa:


tz.number.of_.schools-2010-09-12-01-36.jpg


"P" mbona unapoteza muda wako kubishana na watu. JK ni sikio la kufa halisikii dawa. Unajivunjia heshima. Tayari una scandals, hachana na kupoteza muda wako kuleta mambo mpaka ya udini. Unatenda dhambi

Waislamu na wakiristo wanaumia kweli, hapa ni utanzania na ubinadamu. Wakina Riz1 kujilimbikizia mabillioni wakati kazi hawana ni dhambi. Au Mr. Symbion ndo kakutuma? Tulia mama, nenda kwako ukapumzike. hachana na kujibizana na watu humu utapata ugonjwa wa moyo pasipo siku zako
 
Da Faiza, Tuletee umeme na gasoline kwanza then ndio uongee kuhusu muuza sura wako Mkweree
 
Ukizozana na MWEHU na wewe utadhaniwa kuwa ni MWEHU! Hilo ndio langu la kuchangia leo. Wapenda maendeleo ngoja tuongelee kuhusu Haya maandamano yetu! game on!!
 
hv hz data ni za shule au majosho ya mifugo?yani madarasa ya kata nayo unaita shule?shame on u!

Hayo majosho ya Ng'ombe yametowa wanafunzi bora waliowashinda hata wanafunzi wa mashule ya kulipia, tumewaona wakienda Bungeni kupongezwa, hata magwanda walishangilia, au hujui hilo? Kama unafikia kuwaita Watanzania wenzako ni "mifugo" inaonesha ni mtu wa aina gani wewe, nakusikitikia sana kwa ufinyu wako wa mawazo.

Hoja zimekushinda na umeshindwa kujibu hata moja, unaanza kubwabwaja. Unanchekesha!
 
Da Faiza, Tuletee umeme na gasoline kwanza then ndio uongee kuhusu muuza sura wako Mkweree

Hilo swali lako la umeme mbona nimesha kujibu post #602 au hukulipenda?

Kuhusu gasoline naona hukusikiliza bunge la jana na hukuona kilichoendelea leo vituo vya mafuta! Unanshagaza!
 
Hilo swali lako la umeme mbona nimesha kujibu post #602 au hukulipenda?

Kuhusu gasoline naona hukusikiliza bunge la jana na hukuona kilichoendelea leo vituo vya mafuta! Unanshagaza!

Sasa mzee Symbion vipi? bado anatutatulia tatizo la umeme au umemwacha chumbani? Hii kumtetea JK kutakupeleka kubaya sana "P" au unatetea maslahi yako na Symbion?
 
Ukizozana na MWEHU na wewe utadhaniwa kuwa ni MWEHU! Hilo ndio langu la kuchangia leo. Wapenda maendeleo ngoja tuongelee kuhusu Haya maandamano yetu! game on!!

Mwehu ni yule anaetembea hovyo barabarani akijidanganya nafsi yake kuwa hakuna anachofanyiwa na Serikali yake jiulize wewe umeifanyia nini nchi yako? nna uhakika huna hata moja zaidi ya kulalamika. Na mtu anaelalamika sana nimeonewa, nimeonewa, ujuwe hilo ni vivu la kutupa linataka likae liletewe kila kitu. Fanyeni kazi wacheni majungu.
 
Hilo swali lako la umeme mbona nimesha kujibu post #602 au hukulipenda?

Kuhusu gasoline naona hukusikiliza bunge la jana na hukuona kilichoendelea leo vituo vya mafuta! Unanshagaza!

Licha ya Symbion, bosi wako kaishiwa. Akienda Marekani basi ni mwenda wazimu. Anakwenda kujidhalilisha mbele ya vitoto. Na huku ajue hakuna kutuma FFU!
 
Na data zake hizi hapa:

tz.number.of_.schools-2010-09-12-01-36.jpg


Hulka ya waafrika wengi ni familia kuzaa watoto wengi ambao wanaweza kuwa na timu kamili ya mpira wa miguu (first eleven), hayo ndiyo maendelo ambayo FaizaFoxy anayatetea. Malezi ya watoto hao na kuwaandaa kimaisha ndo kiinimacho, hoja ambayo wanashangaa wanafunzi wameigeuka serikali na kuwa na migomu kila kukicha papo hapo serikali kutoa utetezi dhaifu kwamba wanasiasa ndio wachochezi, kwani hao wanafunzi hawana akili haki gani hawatendewi na serikali?

Jedwali hilo halina mantiki ya maendeleo bali ni kuwavika watanzania kilemba cha ukoka. Unapoulizwa maswali ya msingi wa waliobobea katika nyanja za upembezi wa falsafa na utendaji wa uongozi kwa nini taifa tangu lina tatizo la umeme tangu upate uongozi, halafu kiongozi anajibu kwamba tumeongeza megawaiti kadhaa ambazo hazitoi umeme, na tena mnataka nieuke kuwa wingu ninyeshe mvua kujaza bwawa la Mtera ili tupate umeme, hili ni jibu linalotoka kwa kiongozi wa nchi mwenye uchungu na watu wake na FaizaFoxy anatetea kwa nguvu zote hadi mishipa kumtoka kichwani.
 
Symbion Kimyaaaa! ilivyokuwa ya Muislaam, kelele nyingi, halafu mkaona mmemkomoa kumbe mmjikomoa wenyewe. Mitambo kaiuza kwa faida na hapa fedha kalipwa kibao. Burdaaan wa sharaba.

Umefaidiaka vipi na symbion wewe mama. Tuanze kuanika, alafu mwenyewe ujitetee. mimi ni mwislamu sijui utaleta udini gani sasa. Kwa maana nimechoka na JK. Jibu kwanza ni faida gani unapata toka Symbion alafu nianze kuchangia mada, jinsi unavyofaidika. Nyumba ya upanga nk... ntaweka hadi na picha, usidhanie hapa watu wapumbavu
 
Ukahaba si alinifundisha mamayo au umesahau?

Ungekuwa unaijuwa maana ya Forum usingeyasema hayo, na ungetaka tusichangie kwenye hii nyuzi si mngeji pm tu. fyuuuuuu!

Wee wacha, subiri na wewe ujilete, tunawaambia makamanda huko marekani wakutengenezee bango na JK. Nyie mnajifanya wasaidizi wa Rais kumbe mnamlala mzee wa watu tu? na kumdanganya juu yake. Unaona maslahi symbion inayeyuka siyo?
 
Umefaidiaka vipi na symbion wewe mama. Tuanze kuanika, alafu mwenyewe ujitetee. mimi ni mwislamu sijui utaleta udini gani sasa. Kwa maana nimechoka na JK. Jibu kwanza ni faida gani unapata toka Symbion alafu nianze kuchangia mada, jinsi unavyofaidika. Nyumba ya upanga nk... ntaweka hadi na picha, usidhanie hapa watu wapumbavu

Weka unangoja nini? nimefaidika sana tu, nazila taratiiiibu. Lakini kodi nazilipia ni kamishen za halali kabisa hazina utata, na kwenye mikataba zipo. Njoo tu, Upanga si unapajuwa upige foleni ya zakaat.
 
Jibu kuhusu tuhuma dhidi yako na mkurugenzi wa symbion.... tunaspoteza subiri tutaanzisha thread juu yako sasa.... na jina lako la kiserikali ndo ujue kwamba tuna hasira na JK wako, na hata wewe pia.

Soma post # 732 kwa majibu kamili, kama hujaridhika nayo unaweza kufatana na huyo mwenzako ukaja nae, si anapajuwa kwangu. Unanchekesha!
 
Shule gan unazozisemea.?hz zilizozalisha div 0 na 4 kwa wing ambapo wamevunja rekod ya kufel vibaya toka 2napata uhuru,.vyuo gan unavyozungumzia? Udom ambao wahitimu wake hawapat mafunzo kwa vitendo..puuuu si bora asingeanzisha mana anazalisha wajinga afu nyie mnaita wasom he he he he
 
Weka unangoja nini? nimefaidika sana tu, nazila taratiiiibu. Lakini kodi nazilipia ni kamishen za halali kabisa hazina utata, na kwenye mikataba zipo. Njoo tu, Upanga si unapajuwa upige foleni ya zakaat.

Comission ya nini wakati wewe ni mtumishi wa serikali? Mshaara wako na marupurupu ya kuzunguka na JK haiwezi kukupa hela ulizonazo.
 
Kamwambie mbayuwayu hv..2nataka umeme, 2nataka ajira, 2nataka kilimo chenye tija, 2nataka maisha bora kwa kla mzanzania kama alivyotuahid..ha2tak tuzo ya Un..ha2tak takwimu..ha2tak tabasamu wala kilio..na kwa kuwa haja2pa 2taandamana mana ndo lugha mnayoiogopa sana na ndomana upo hapa..kamwambie kamwambie kamwambie
 
Kamwambie mbayuwayu hv..2nataka umeme, 2nataka ajira, 2nataka kilimo chenye tija, 2nataka maisha bora kwa kla mzanzania kama alivyotuahid..ha2tak tuzo ya Un..ha2tak takwimu..ha2tak tabasamu wala kilio..na kwa kuwa haja2pa 2taandamana mana ndo lugha mnayoiogopa sana na ndomana upo hapa..kamwambie kamwambie kamwambie

Hiyo 2 ungejuwa maana yake usingeziandika.
 
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yataishia STATE DEPARTMENT. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu, na kuiaca familia yake ikoroge nchi yetu. Ridhiwani anamilika robo ya uchumi wa Tanzania? Kwani Tanzania ni Tunisia....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com

Tayari watu 974 wamesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani. Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja. Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi



UPDATE
Habari njema ni kwamba, kuna familia moja ya kitajiri ambayo ina interest kubwa Tanzania na wanashangaa kuona taifa letu linavyodidimia. Kwa maana hiyo, wamejitolea kulipia mabango, pamoja na mabasi sita.

1. Basi 2 yataanzia NY (Ni ya watu wa Boston, NY, Long-Island, NJ etc...)
2. Yanayotokea Ohio (Ohio, Maryland, Pensylvania, Michigani etc..)
3. MaBasi ya mwisho yatatokea Atlanta Georgia (Texas, Virginia, Florida, Alabama,Kansas, etc..)

Tukielekea mwisho wa mwezi huu, tutawapa ratiba kamili ya maandamano, yatakayoanzia sehemu"maalum" kuendelea kwenye Ukumbo wa DICOTA, Ubalozini , hoteli atakayofikia FISADI Kikwete na kumalizikia STATE DEPARTMENT. Tutakesha hotelini, chakula kitakuwepo na huduma zote muhimu pia zitakuwepo. Tuko pamoja hadi kieleweki. Mimi ni mwana CCM toka UVCCM lakini naapa ya Kwamba TUMECHOKA na JK. Tunamsubiri Marekani, hata kama ni miaka miwili tunamsubiri, wadhamani wapo kutusaidia. Wanaotaka Kujiunga kwenye maandamano, tumeni barua pepe kwenda
eliakimmallya@yahoo.com

Kadhalika, tumeni malalamiko mengi iwezekanavyo kwenda
wiegertjr@state.gov Ili kikwete na wapambe wake wanyimwe VISA, kwani serikali ya marekani haiwezi kutoa VISA mtu yeyote anapowekewa petition. Jamani msiogope, huu ni wakati wa ukombozi. Mimi nimefika hapa mwezi sasa, nipo uhamishoni hadi kieleweke.

Tumemtumia Yule Dada Kipenzi cha Watanzania Lisa Rockerfeller kuwa Mzungumzaji mkuu. tunasubiria majibu toka kwake

TUUNGANE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE


Wakuu komalianeni na huyu fisadi hadi kieleweke. Akija marekani nitajua kweli Jk ni tahira.... Rais gani atafanya ujinga wa kwenda kwenye nchi ya watu kama marekani kwenye mambo ya kijinga ambako angetema viongozi wa chini kujidhalilisha na maandamano. CNN wakitaka kujua, kisa, jibu DICOTA?....Laana kusema kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom