Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza


Hapo kwenye" deep Green" Mwenya akili kesha elewa....
Garama za maisha zimepanda huku nyinyi mnachukua milioni 90 kila mmoja kwa ajili ya kununulia mashangingi, huku wapigakura wenu wanakula mlo mmoja kwa siku...NYINYI NI WALEWALE, ETI MAANDAMANO....SHAME!!
 
anazungumzia ushikirikiano wa vyama bungeni na jinsi uchakachuaji ulivyowanyima zile kamati tatu muhimu
 
Kama watanzania wanavyochagua ccm kila mwaka na hakuna mabadiliko??

Jembe ulaya umeniacha hoi na avator yako...du naomba isipite hivi hivi ..chapisha na fulana ndugu yangu ...uwauzie waathirika wa maisha magumu ...wavae siku ya maandamano ya kuikamata MNAZI MMOJA GROUND!!!
 
Sasa kama kinachohitajika ni umeme, maandamano yataleta umeme?
Can anyone quantify manufaa ya hayo maandamano? taking into account kuwa yanatumia pesa nyingi kuyaandaa!?
Mbona hausemi fedha nyingi zinazopotea kwa ufisadi na wizi wa kimafia? Maandamo hayo yataamsha wengi waliolala na kutoa hukumu sahihi watakapohitajika kufanya hivyo.
 
Sasa kama kinachohitajika ni umeme, maandamano yataleta umeme?
Can anyone quantify manufaa ya hayo maandamano? taking into account kuwa yanatumia pesa nyingi kuyaandaa!?

ZeMarcopolo... Let me tell you this..... If you think we are wrong.... well... we don't wanna be right!!!! So will you kindly save your breath..... and find other better ways to waste your time......
 

Next time jaribu kupunguza jazba kabla hujafanya maamuzi ya kuandika kitu hata kama hakitaleta sense yeyote humu kwenye JF; i bet you meant to write "Peace" and share with JF members the meaning of the word "Peace"...pole sana. Naomba niwatakie wananchi wote wapenda maendeleo ya kweli na ya haki kule mkoa wa Mwanza, maandamano mema na yenye baraka zake Mungu.
 

We SUWI achana na Kweleakwelea huon hata alivyo yeye ni kula na kunya tu. ukiendelea kubishana naye watu hawataona tofauti. Halafu SUWI uko wapi ndugu yangu una kumbuka paleHosteli ya SUASO.
 

Punguza Mapovu Mkuu, sijui ni nani mwenye Jazba kati ya Yule aliyeandika Piece badala ya Peace na Yule alitoa Maana ya Piece
 
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza

Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza


Nawapa big up zitto na shibuda
 
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza

Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza


Nawapa big up zitto na shibuda

Du! huu uhuru wetu umezidi wajuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…