Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!
Mhhh huyu mkuu namwaminia kwa ubishi, bravo kaka! Ngoja tubadilishe IDs zetu then tupambane hoja sasa!
 
Daaa inanikumbusha Gaddafi na kauli za tutaua hao panya hadi tamati ya kwenye karavati na maombi ya 'dont shoot' hata mm ningefanya hivyo Nape!
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Hili la milele kaka unakosea sana
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!


Kwani wewe nape unahoja gani? Weka hapa hoja zako hapa tuzichambue, wewe umejaa mihasira tu na uongozi wenyewe unalazimisha tu kwanza huna mvuto ktk siasa. hebu angalia kule Njombe unahutubia makumi ya wananchi! Umekodi magari na waendesha pikipiki kuonyesha umati.
 
Inanikumbusha Sagafi wa Sadam, Gadafi wakati jamaa wanapiga makombora lkn anasimama na kusema wapo watapigana mpaka mwisho matokeo yake mwishoni wakakimbia mafichoni. Nape yeye ndo anayepoteza Muda sio sisi, hawezi kukata tamaa maana hiyo ndo kazi yake unadhani akiacha kuhutubia magari na pikipiki atafanya kazi gani na shule hakuenda? Kwani Nape kabla hajawa na hicho Cheo alitokea ama alikuwa ameajiliwa wapi?
 
hapo Nape unasemaje huuoni unakufa na ng'ombe kama kupe jibu hili. NAOMBA NICHUKUE NAFASI HII KUMSHAURI NAPE KWA NIA NJEMA KABISA "NAOMBA NAPE UUNGANE NA VIJANA WENZIO KATIKA HILI VUGUVUGU LA MABADILIKO ACHANA NA CCM HAKITA KUFIKISHA POPOTE KISIASA ZAIDI YA KUKUPOTEZEA UMAARUFU. WEWE NAPE NAJUA HUPENDI UFISADI KWANI TOKEA UNAGOMBEA UENYEKITI UVCCM ULIPOKEMEA UFISADI KWENYE JENGO LENU NDICHO KILICHOKULA KWAKO NA IKIWA NI PAMOJA NA KUTIMULIWA UVCCM . UMEPIGA KELELE SANA WASIPO VUA MAGAMBA TUTA WAVUA WAKO WAPI WALIO VULIWA? MAGAMBA MENGI MMOJA TU KANYOOSHA MIKONO KWA KUDAI KUCHOSHWA NA SIASA UCHWARA. TAFADHALI UNGANA NA CDM MCHUKUE NCHI 2015. KUMBUKA WAKICHUKUA MADARAKA CDM KISIASA UTAKUWA NA HALI MBAYA SANA ACHANA NA CCM SIO BABA WALA MAMA YAKO HUYO CCM. PIA NAOMBA KUULIZA WAPI CCJ?
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu

Wewe nape uliyepo madaraka gani wewe? wewe si umebebwa tu kwa sababu ya baba yako utatuambia nini wewe? na baba yako asingekuwa hivyo sasa hivi ungekuwa unaloga tu watu kule kwenu, bora hata wangesema wabunge waliochaguliwa na wananchi. Wewe kwanza hicho cheo ukifukuzwa ndo tunakusahau na hicho kitambi kitaporomoka kama mgonjwa wa ukimwi.
 
Kwanza NApe jiulize humu ndani umeshamwona kiongozi gani anaandika hovyo kama wewe posti zako? hivi hujui unazidi kujishushia heshima? Kaa ukijuwa humu huwezi kushindana na watu na ukashinda tunataka ukasafishe mafisadi sio kukaa kubishana na watu humu JF.
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Kweli Mna Dhamira ya Kupambana kwa Hoja? Kolimba aliweka Hoja Badala ya Kupambana kwa Hoja Mkapambana na Roho yake, Kombe mkapambana kwa Hoja

Mtu ( Kama Nape) anaye Ku Unfriend kwenye Facebook Mkipambana kwa Hoja akikufahamau jina lako hapa JF Ataacha Kupambana na Roho yako kweli?
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!
1. Nape mbona we umeingia kwa jina lako lakini huongei hoja! Ufahamu sasa kwamba kutumia au kutokutumia ID valid au isiyo valid sio hoja, hoja ni mawazo komavu. Albert Enstein hakumbukwi kwasababu ya jina lake, la! Kwaajili ya kile alicho kifanya. Anyway ndo mentality ya CCM, Nape mtoto wa, W. Malecela mtoto wa, January mtoto wa, mnainvest zaidi kwenye jina kuliko merit!

2. Umeonesha mtizamo finyi sana, I doubt kama wewe ni Nape kweli au mtu mwingine anatumia jina lako! Unasema kama nyie ni wanaume...Hivi akili yako inakudanganya kwamba hapa Jf wote ni wanaume!!! Kuna wanawake pia hapa Jf na wanaandika vitu vyenye mashiko kukuzidi wewe.

3. Nadiriki kudoubt kwamba ni Nape kweli wewe, kwasaba Nape hana ubavu wa kuhoji uanaume wa mtu hapa kwasabanu Nape hajui essence ya kuwa mwanaume katika tamaduni za kiafrika. Nape halisi alikuwa yeye, mke na watoto wake wawili walikuwa wanakaa na Mama mkwe wake mpaka 2009 mi nimekuwa nikimuona Changanyikeni, tena chumba chake kiko karibu na jikoni. Anatoa wapi huyu Nape nguvu za kuhoji uanaume wetu???? Kwa ukweli huu ninatilia shaka unape wa mwandishi.

4. Mwisho, watu wnye akili timamu, wanawake kwa wanaume wanafanya mambo yao kwa "sababu", sensible men do things for a reason. Nape has disclosed his identity to make himself and the party a subject of reducule and article of no value, being a public figure it was worthy hiding your identity rather than...
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

jina halisi sio issue Nape, hatutafuti cheti cha kuzaliwa au passport hapa, tunajenga hoja tu,
 
We nape wee,, unamfananisha Dr Slaa na na mkuu wako wa kaz Dr magumashi wa chama chenu ambacho kinayumba ka mlevi wa gongo,, dawa yenu ishachemka,, kimbiaa
A drawn man clashes on the straw
 
  • Thanks
Reactions: GIB
kimsingi hata yule tuliyefikiri ni afadhali ccm ndiye donda gumu zaidi! Nape ids siyo ishu, au nawe bado una zile sera za kutishia watu? Ukweli umefilisika na huna jipya kwa watanzania. Hata mwenzako wasira jana alisema alizomewwa na walevi wachache tu; sijui yeye anaongoza walevi au vipi! Kama ni id hii yangu ni ya kweli, ebu leta hojabasi ulizo nazo! empty slate.......
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!
Nape, ni lazima ukumbuke ule usemi kwamba "Mficha ugonjwa kifo kitamuumbua". Ukweli ni kwamba CCM inaumwa, tena iko mahututi. Ni heri mkawa wakweli na kushugulikia ugonjwa wa chama ambao ni makundi na ufisadi, kuliko kujifariji kwa maneno matupu. Hivi kweli kama hako kaumati huko njombe kamekufariji kiasi hiki cha kuona kwamba bado hamna changamoto inayowakabili na kwamba mambo ni mazuri kama zamani, basi ninaamini kwamba kweli "Sikio la kufa halisikii dawa" Tafadhali Okoeni chama, acheni kujifariji na maneno matupu. Ni lazima mfanye kitu maana kwa picha niliyoiona hapo, hii siyo ile CCM ninayoifahamu. Kama wewe ni mwelewa, utauelewa ushauri wangu, lakini kama sivyo, utachukulia kama hii ni lugha ya upinzani tu.
 
Bora Nape umekuja hapa mimi nilikuwa nikiwaambia kwamba CDM ni chama cha wanaharakati nikatukanwa sana mbaya zaidi matusi mengine yalielekezwa ma mke wangu. Mungu si athumani Mwenyekiti wao nae akakiri pale jangwani.

Kampeni za mwaka 2010 Dr Slaa alinukiliwa akisema kama hatoshinda basi atagombea tena uchaguzi wa 2015 yetu macho. jusi mbowe nae kadai CDM isiposhinda mwakaa 2015 atajuizuru tutaona tu na chama lao la wanaharakati. Mi mpaka leo sijasikia hata halmashauri moja iliyokuwa chini ya CDM inatoa elimu bure sasa tujiulize je wangeweza hawa kutoa elimu bure nchi nzima kama si changa la macho ni nini? wanaandaa bajeti ya kisiasa badala ya kisayansi kazi kweli kweli wanaharakati.
 
Back
Top Bottom