Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

MIMI NAITWA ANDREW NAOMBA KAMA ULIVYOSEMA UTOE SIMU YAKO EMAIL NIKUONGOZE KWA SIASA MAANA NAONA UMEISHIWA UNAANZA KUKUSANYA HATA VIDUDU NA TANGIA LINI CHAMA TAWALA KIKAIGA WAPINZANI IGA SIASA NYINGINE NINAJUA PALE JANGWANI MTATOA POSHO KWA WAJUMBE ILI USHINDANE NA CHADEMA.PEOPLE'S POWER FOREVER NA NI KIGUMU CHAMA CHA MAFISADI ALMSIKI:clap2:
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu
Ulitegemea kuona wanachama wa kutosha lakini imekuwa tofauti,,,yani hata hawafiki 100 duuu pole sana,, wewe nape wala usitake kujifariji,,hayo matembezi yakoje,,,mbona pikipiki hizo mmeamua kuzikodi ila jua hata hao waliokuwa kwenye hizo pikipiki hawakukubali tuu ila kwakuwa mliwapa chao ilibidi wawape sappoti ila mkutano ndoo aibu HII NI AIBU YA NAPEW AU AIBU YA CCM??/
 
Kuna wanaojiita CCM damu na wazalendo sawa ni vizuri ila baada ya miaka 3 sijui kama watapendelea kuitwa jina hilo hilo. Au ndiyo watarudia kuvifufua vyama walivyo vianzisha.MM sioni kama walio wengi ni kweli wazalendo,ila wachache ndiyo wazalendo, bali wako pale kwa sabau ya vyeo na pesa tuu.2015 jutajua kweli sisiemu mzalendo nini na mnafiki ni nani.Tuombe Mungu afya 2015 si mbali tutawatua tuu.
 
4.+Nape+akishiriki+kucharaza+ngoma+kata+ya+Mlangali,+Njombe.jpg

Huwa najiuliza mara nyingi kwa nini mikutano ya CCM wahudhuriaji ni wale waliovaa sare cha CCM tu, ina maana wananchi wasio na sare au itikadi tofauti hawakaribishwi?
Hao wanahudhuria kwa nguvu ya sare walizopewa, kama unavyoona kwenye mikutano ya ccm hizo sare ni mpya, ndivyo ccm inavyowarubuni wananchi wasio na upeo wakuona madudu ya ccm.
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Sijapenda ulivotumia kauli za kebehi kama kuita watu wanaharakati, madaktari feki,,who are you kudisqualify academic credentials za mtu? Wewe kama kiongozi wa CCM kwa ngazi hiyo unatakiwa uepuke maneno yanayosukumwa na hasira,kukata tamaa,jazba nk. Ila nimependa namna angalau ulivobaki ktk thread hii ukijaribu kujibu baadhi ya hoja na kuendeleza uhai wa thread.
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Nepi kuna wanawake pia humu. Mbona unageneralize namna hiyo. Pia kinachotufanya kuogopa ndio kama haya Mheshimiwa anayomfanyia LEMA, we unafikiri sisi wengine atatufanyaje?
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Lini mtangea nasisi wana darisalama Nape tuwaoneshe hawa watu jinsi CCM inavopendwa, bado ipo na itaendelea kuwepo!
 
Kuna wanaojiita CCM damu na wazalendo sawa ni vizuri ila baada ya miaka 3 sijui kama watapendelea kuitwa jina hilo hilo. Au ndiyo watarudia kuvifufua vyama walivyo vianzisha.MM sioni kama walio wengi ni kweli wazalendo,ila wachache ndiyo wazalendo, bali wako pale kwa sabau ya vyeo na pesa tuu.2015 jutajua kweli sisiemu mzalendo nini na mnafiki ni nani.Tuombe Mungu afya 2015 si mbali tutawatua tuu.

Mimi mmoja wapo, japo kuna baadhi ya mambo yanahitaji kurekebishwa kama OIL CHAFU , inabidi imwagwe ! na hatutayanyamia mambo haya ila sio siri CCm naipenda!
 
kweli hii nyomi kwny mkutano ni noma haijapata kutokea nyomi ya namna hii hongera Nape! jipe moyo
 
Nape unatia huruma umebaki kama yatima ,chama lako watu wanakimbia huoni aibu kukatisha masomo hao chekechea ili wajaze mkutano?wabunge wa ccm ni wengi mno mbona haonekani hata mmoja?
 
CCM yangu haiwezi kupona ugonjwa wake kwa sababu viongozi tulio nao kusema kweli sio viongozi hata kwa kubahatisha tu. Tuna viongozi dhaifu haijapata kutokea tangu CCM izaliwe! Ndio maana hakuna kinachoendelea cha maana sasa hivi.

Watu wazuri wapo, lakini hawapewi nafasi za kukijenga chama kwa sababu ya kuchagua kwa vigezo vya majina, uswahiba, mahusiano-ngono, mitandao, mahusiano-dini, nk

Kikwete ana sifa nyingi anazozitumia kuongoza nchi hii, na zote ndio zinaangamiza chama na nchi. Inaniuma kiukweli ndani ya moyo wangu...CCM haiwezi kupona milele...
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Niliona watu wakisema umeshaanza kuchanganyikiwa nikadhani ni utani lakini sasa nimeamini yaliyosemwa. Eti hufahamu ni Doctor gani feki kati ya hao madoctor wawili!!!! ajabu!
 
3.JPG

03.jpg

Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
nimeikubali picha hiyo ya juu tu. imetoka vizuri balaa!!!!!
 
SISM Jiangalie jamnani kumekuchA MNAENDELEA KULALA. Wananchi wamewachoka sijui mnawafuata wa nini umeona hayo sasa.

Hayo sasa me staki kusikia CCM
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu

This is just a hopeless creature I have ever seen.
 
Back
Top Bottom