Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Dr Slaa kasomea, niambie Dr. ya JK kama hata proposal anajua kuandika na GPA yake ya 2.3? Acha kurukaruka ulikua unahutubia watoto wa darasa la kwanza na chekechea ambao wakifika darasa la 6 wanaona uozo wa CCM. Ulipoona maandamano ya chekechea ulijisikiaje?
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

NAPE is an Idiot when under pressure huh! Hapo anaongea kama katibu mwenezi au just a street Mwajumandalandefu?
 
536169_10150990730356055_535926054_12414531_110226600_n.jpg
 
nape samahani naomba nikuulize swali.

HIVI UMEKOSA MAFUSO YA KUBEBEA WATU?MBONA UNAJITIA AIBU NAMNA HII.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Ulitegemea kuona wanachama wa kutosha lakini imekuwa tofauti,,,yani hata hawafiki 100 duuu pole sana,, wewe nape wala usitake kujifariji,,hayo matembezi yakoje,,,mbona pikipiki hizo mmeamua kuzikodi ila jua hata hao waliokuwa kwenye hizo pikipiki hawakukubali tuu ila kwakuwa mliwapa chao ilibidi wawape sappoti ila mkutano ndoo aibu HII NI AIBU YA NAPEW AU AIBU YA CCM??/

mwingine huyu hapa

552795_10150718281034983_1201885057_n.jpg
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

We si umwage hoja ujibiwe?! Unatafuta watu uwajue ili ikusaidie nini?? Kwanza kwa mipasho yako ya taarabu hakuna type yako humu. Sana sana huku unawadhihirishia watu jinsi ulivyo na mawazo madogo! Ndo maana kila post yako haina mshiko hata kidogo. Ungekua na busara ungechapa kazi uache mipasho huku jf.!
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!
MIMI NAINGIA KWA JINA LANGU KAMILI JAPHARI SHABANI.Nakuuliza na nataka unijibu.Kamamtu unaakili timamu unaposima jukwaani na kupigaga porojo za kupiga vita rushwa ,ufisadi na uwajibikaji.Tupe kwanza tathimini ya kujivua gamba.Tunawaelewa CHADEMA kwa maandamano yao kwani wao hawana dola hawawezi kuchukua hatua zozote mbali na kuwakumbusha madudu yanayoendelea katika serikali ya chama tawala.Tulichokitegemea kutoka CCM nikuchukua hatua panda jukwaaninakusema tumechukua hatua zifuatazo mafisadi wamefukuzwa katika chama,wamefikisha mahakamani au katika vyombo vya sheria.Mwenye haki ya kuoonya ni vyama vya upinzani kwa CCM ni kuchukua hatua.TUWACHE USANII MUNGU IBARIKI TANZANI.
 
CCM yangu haiwezi kupona ugonjwa wake kwa sababu viongozi tulio nao kusema kweli sio viongozi hata kwa kubahatisha tu. Tuna viongozi dhaifu haijapata kutokea tangu CCM izaliwe! Ndio maana hakuna kinachoendelea cha maana sasa hivi.

Watu wazuri wapo, lakini hawapewi nafasi za kukijenga chama kwa sababu ya kuchagua kwa vigezo vya majina, uswahiba, mahusiano-ngono, mitandao, mahusiano-dini, nk

Kikwete ana sifa nyingi anazozitumia kuongoza nchi hii, na zote ndio zinaangamiza chama na nchi. Inaniuma kiukweli ndani ya moyo wangu...CCM haiwezi kupona milele...
wewe ni kati ya wana ccm wachache sana waliopo wenye kukubali kusema ukweli uliowazi kuhusu ubovu wa ccm na uongozi wake.....i wish people like nape wangekuwa wana upeo wa kuona mambo kama wewe....ni kweli kabisa watu wazuri ccm wako weengi tu lakini nafasi za kutoa michango yao hawapati.....mfano kina Filikunjombe......kinachobaki tunaona mafisadi wakizidi kupewa vyeo....refer kina chenge et al......so sad yaani...Ndugu yangu kinachobaki kama hamuwezi kutoa michango yenu ccm ikasikilizwa...basi hameni chama.....hivi vyama havikuundwa vitawale milele..tumeona kenya...zambia...senegal etc etc .its the only way forward for you.....kama mna mapenzi ya kweli na Tz.....
 
MIMI NAINGIA KWA JINA LANGU KAMILI JAPHARI SHABANI.Nakuuliza na nataka unijibu.Kamamtu unaakili timamu unaposima jukwaani na kupigaga porojo za kupiga vita rushwa ,ufisadi na uwajibikaji.Tupe kwanza tathimini ya kujivua gamba.Tunawaelewa CHADEMA kwa maandamano yao kwani wao hawana dola hawawezi kuchukua hatua zozote mbali na kuwakumbusha madudu yanayoendelea katika serikali ya chama tawala.Tulichokitegemea kutoka CCM nikuchukua hatua panda jukwaaninakusema tumechukua hatua zifuatazo mafisadi wamefukuzwa katika chama,wamefikisha mahakamani au katika vyombo vya sheria.Mwenye haki ya kuoonya ni vyama vya upinzani kwa CCM ni kuchukua hatua.TUWACHE USANII MUNGU IBARIKI TANZANI.
kweli shabby mwambie....by the way..privet!!! kak tam v russiya!!!..kak tam y Putiny!!kak zhizhny v obshee!! eta ya tavarish....
 
Nauye Jr

Kipindi pekee ulichojitahidi katika harakati za kisiasa ni wakati ulipojenga hoja ya kunusuru jengo la umoja wa vijana lisichukuliwe kwa mkataba wa kinyonyaji

Bwana mkubwa moja alifikia hatua ya kutangaza kwamba jina lako limefutwa duniani na mbinguni, baada ya mapambano ya wakati huo hujaweza kunishawishi tena
 
anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. Wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

huwezi kukata tamaa kwani hiyo ni ajira yako. Ukiacha kuzunguka huko mikoani per diem huna. Lowasa mwenyewe alisema wewe unatumia hela za chama kutembea mikoani.
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Lazima tuogope, Mmajeshi,polisi na TISS, mbona wewe ulienda CCJ kimya kimya?
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Aisseeee Nnauye una roho ngumuuu!
 
NJOMBE YETU LEO SI ILE YA JANA,pole NNAYE HILO NDO JIMBO LA SPIKA WENU MAKINDA
 
3.JPG

03.jpg

Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
ha ha ha ha !! it is really funny.Nape una kazi kubwa sana....
duuuuuuuuuuuuu!!! halafu hawa naona kama wanashangaa huyu ndio nani? hawaoneshi hata kama wanasikiliza
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu

mkuu nasikia umewaonesha watu 'kidole cha khadija kopa'.

punguza uswahili mkuu.

kufa taratibu na ccm yako.
 
Kwa hiyo Nape sisi tunajitahidi kuleta mabadiliko na kuilazimisha serikali itimize ahadi zake na kuachwa wizi na kulindana wewe umeamua kupambana na wanyonge kwa maigizo yako? watu tunateseka hapa duniani kama jehanamu kwa sababu ya CCM wewe unawatetea na ujana wako wote? Kwa hiyo kama upinzani tuseme ukakosa nguvu si CCM mtagawana hazina yote rafiki yangu? nani atawauliza? Hakuna anayewatisha? Tunamshukuru Mungu ametuletea watetezi na wafichua maovu serikalini na ndani ya CCM. Wewe unawatukana na kuwapiga vita? Unatukana watanzania maskini wanaotafuta walao nafuu ya maisha. Si unakumbuka wakati upinzani ulipokuwa hauna nguvu jinsi rushwa ilivokidhiri na ufisadi? EPA ilifanyika miaka ya 2003-2007 wakati kikwete amepata land slide victory. Tuonee huruma Nape kuna watu tunateseka sana kwa sababu ya CCM. Utakuwa na mwisho mbaya km utaendelea na unafiki wako!
 
Back
Top Bottom