Hivi waratibu wa maandamano ni CCM au CHADEMA, mbona CCM wanayaongelea sana?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,269
2,024
CCM ina mambo ya ajabu sana Mara Tanzania hakuna Upinzani mara Chadema ilikwishakufa lakini CCM hao hao ndio wapo kimbelembele kufuatilia Maandamano ya Chadema sasa sijui ni CHADEMA ipi wanayoifuatilia wakati Chadema mlisema ilikwishakufa.

CHADEMA ndio wenye maandamano yafane au yasifane ni jukumu lao. Cha ajabu Machawa wa CCM wanakesha mitandaoni kuyabeza eti hayakufana mara waandamaji wachache ili mradi ionekane hayakufanikiwa.Kama Chadema wenyewe wameridhika tatizo ni nini?

CCM tulieni Waachane Chadema wafanya mambo yao na kumbukeni Chadema haijafa na haitakufa atakayetaka kuiua Chadema ATAKUFA YEYE mfano tuliuona.
 
Almost 80% ni vijana, na wanapoteza muda wao kwa mambo ya kipuuzi kabisa, wanatumika kama ngazi za wanasiasa, kunufaika, inatia simanzi sana.
 
CCM ina mambo ya ajabu sana Mara Tanzania hakuna Upinzani mara Chadema ilikwishakufa lakini CCM hao hao ndio wapo kimbelembele kufuatilia Maandamano ya Chadema sasa sijui ni Chadema ipi wanayoifuatilia wakati Chadema mlisema ilikwishakufa. CHADEMA ndio wenye maandamano yafane au yasifane ni jukumu lao
Cha ajabu Machawa wa CCM wanakesha mitandaoni kuyabeza eti hayakufana mara waandamaji wachache ili mradi ionekane hayakufanikiwa.Kama Chadema wenyewe wameridhika tatizo ni nini?Ccm tulieni Waachane Chadema wafanya mambo yao na kumbukeni Chadema haijafa na haitakufa atakayetaka kuiua Chadema ATAKUFA YEYE mfano tuliuona.
mbona unababaika sana akati mambo yote ya chadema na yako binafsi yanasimamiwa na kulindwa na serikali ya CCM 🐒

kwahiyo chochote ufanyacho wewe na hiyo chadema yako, Lazima CCM ijue na wakati mwingine kushauri na kutoa maoni kwamba jambo lako fulani ni la hovyo, halijafanikiwa au limefanikiwa, chama chako kipo hai au hoi n.k

So,
Chama Tawala ndio mpango Kamili wa mambo yako 🐒
 
almost 80% ni vijana, na wanapoteza muda wao kwa mambo ya kipuuzi kabisa, wanatumika kama ngazi za wanasiasa, kunufaika, inatia simanzi sana.
Maadam wewe upo kwenye gravy train elewa sio wote, middle class mwenye upumbavu anayejifanya haoni uhalisia wa maisha ya poor of the poorest wa nchi hii, nakuuliza tena serikali ya ccm imetengeneza mazingira gani yatakayofanya hii 80%ya vijana kujiwezesha?,nini serikali ya ccm imefanya cha kujivunia kwa nchi yangu?,nielezee hapa na sio kuleta upumbavu eti vijana wanapoteza muda wao, wakati ni royal families tu zinazokula pie ya taifa kwa ulafi mkubwa
 
mbona unababaika sana akati mambo yote ya chadema na yako binafsi yanasimamiwa na kulindwa na serikali ya CCM 🐒

kwahiyo chochote ufanyacho wewe na hiyo chadema yako, Lazima CCM ijue na wakati mwingine kushauri na kutoa maoni kwamba jambo lako fulani ni la hovyo, halijafanikiwa au limefanikiwa, chama chako kipo hai au hoi n.k

So,
Chama Tawala ndio mpango Kamili wa mambo yako 🐒
Human trafficking, drugs cartels, money laundering na porous borders,,UMASIKINI, MARADHI NA UJINGA na binamu yao RUSHWA wameshamiri nchini, why singida kuna umasikini mkubwa?,mpangaji mkuu wa magogoni anawauliza wapangaji wa Lumumba street
 
kua tajiri au maskini ni uamuzi wako 🐒
apa singida ardhi yenye rutuba ipo kubwa na tena bwerere kabisa kwa kilimo na ufugaji unalalamika umaskini?

unalalamika rushwa akati ukiombwa una toa 🐒

mahospitali yote haya yalojengwa ya umma na yasiyo ya umma nchi nzima na madawa ya kila aina madawa unalalamika afya.

Usijifiche nyumbani nenda hospitali ukatibiwe 🐒

Ujinga itakua umebaki labda kidogo eneo uliopo. Mashule ya msingi na sekondari, vyuo kila mahali, unazungumzia ujinga?🐒
 
CCM ina mambo ya ajabu sana Mara Tanzania hakuna Upinzani mara Chadema ilikwishakufa lakini CCM hao hao ndio wapo kimbelembele kufuatilia Maandamano ya Chadema sasa sijui ni CHADEMA ipi wanayoifuatilia wakati Chadema mlisema ilikwishakufa.

CHADEMA ndio wenye maandamano yafane au yasifane ni jukumu lao. Cha ajabu Machawa wa CCM wanakesha mitandaoni kuyabeza eti hayakufana mara waandamaji wachache ili mradi ionekane hayakufanikiwa.Kama Chadema wenyewe wameridhika tatizo ni nini?

CCM tulieni Waachane Chadema wafanya mambo yao na kumbukeni Chadema haijafa na haitakufa atakayetaka kuiua Chadema ATAKUFA YEYE mfano tuliuona.
Maandamano sio matembezi pekee bali nia ya wanaoandamana na ujumbe unatolewa.
 
mbona unababaika sana akati mambo yote ya chadema na yako binafsi yanasimamiwa na kulindwa na serikali ya CCM 🐒

kwahiyo chochote ufanyacho wewe na hiyo chadema yako, Lazima CCM ijue na wakati mwingine kushauri na kutoa maoni kwamba jambo lako fulani ni la hovyo, halijafanikiwa au limefanikiwa, chama chako kipo hai au hoi n.k

So,
Chama Tawala ndio mpango Kamili wa mambo yako 🐒
Kwahiyo tumekubaliana kuwa yote yanaratibiwa na yanalindwa na ccm sio?

1. Sukari
2. Umeme
3. Wanafunzi kukaa chini
4. Umasikini wa mtu mmoja mmoja
 
nachelea kurudia kusema..

kua tajiri au maskini ni uamuzi wako 🐒

Lakini pia kua mjinga au mwerevu ni uamuzi wako pia 🐒
kukaa chini ni hatua ya kukaa juu 🐒

umeme na sukari ni changamoto za kawaida sana na sasa hivi zinatatuliwa kimkakati nadhani la umeme limekishwa na la sukari nalo muda usio kua mrefu litakua historia 🐒

muhimu subra na ustahimilivu
 
CCM ina mambo ya ajabu sana Mara Tanzania hakuna Upinzani mara Chadema ilikwishakufa lakini CCM hao hao ndio wapo kimbelembele kufuatilia Maandamano ya Chadema sasa sijui ni CHADEMA ipi wanayoifuatilia wakati Chadema mlisema ilikwishakufa.

CHADEMA ndio wenye maandamano yafane au yasifane ni jukumu lao. Cha ajabu Machawa wa CCM wanakesha mitandaoni kuyabeza eti hayakufana mara waandamaji wachache ili mradi ionekane hayakufanikiwa.Kama Chadema wenyewe wameridhika tatizo ni nini?

CCM tulieni Waachane Chadema wafanya mambo yao na kumbukeni Chadema haijafa na haitakufa atakayetaka kuiua Chadema ATAKUFA YEYE mfano tuliuona.
Si unajua kwamba Simba wakishinda mechi yeyote wanaoumia ni Yanga?
 
CCM ina mambo ya ajabu sana Mara Tanzania hakuna Upinzani mara Chadema ilikwishakufa lakini CCM hao hao ndio wapo kimbelembele kufuatilia Maandamano ya Chadema sasa sijui ni CHADEMA ipi wanayoifuatilia wakati Chadema mlisema ilikwishakufa.

CHADEMA ndio wenye maandamano yafane au yasifane ni jukumu lao. Cha ajabu Machawa wa CCM wanakesha mitandaoni kuyabeza eti hayakufana mara waandamaji wachache ili mradi ionekane hayakufanikiwa.Kama Chadema wenyewe wameridhika tatizo ni nini?

CCM tulieni Waachane Chadema wafanya mambo yao na kumbukeni Chadema haijafa na haitakufa atakayetaka kuiua Chadema ATAKUFA YEYE mfano tuliuona.
Kwa hiyo tuseme buriani kwa Lucas au🤓
 
Almost 80% ni vijana, na wanapoteza muda wao kwa mambo ya kipuuzi kabisa, wanatumika kama ngazi za wanasiasa, kunufaika, inatia simanzi sana.

Unazumgumzia vijana kupoteza muda, mbona hujazungumzia viongozi wa Serikali na CCM wevi (CAG report), wanaoiba na kupoteza pesa ya watanzania? Yaani una uchungu sana na muda wa vijana kuliko pesa inayoibiwa na CCM (Mkapa alikiri yeye kuidhinisha CCM kuiba pesa ya nchi kuwapa CCM, na alisema anajutia).

Wewe ni mnafiki mkubwa. Na huenda ni miongoni mwa wevi wa pesa ya wananchi.
 
Maadam wewe upo kwenye gravy train elewa sio wote, middle class mwenye upumbavu anayejifanya haoni uhalisia wa maisha ya poor of the poorest wa nchi hii, nakuuliza tena serikali ya ccm imetengeneza mazingira gani yatakayofanya hii 80%ya vijana kujiwezesha?,nini serikali ya ccm imefanya cha kujivunia kwa nchi yangu?,nielezee hapa na sio kuleta upumbavu eti vijana wanapoteza muda wao, wakati ni royal families tu zinazokula pie ya taifa kwa ulafi mkubwa
Tatizo siyo ccm kutengeneza fursa, shida ipo kwenye kujitambua, kujielewa na kujituma, fursa ni nyingi mno, Isipokuwa akili za kupembua kwa vijana imekuwa duni, wanadhani ccm itakapoondoka, chama kijacho kitaangusha ajira kwa vijana wote, kitu ambacho sicho, vijana tujiunge kwa sababu hatukopesheki twendeni kwenye halmashauri zetu tukajieleze tunataka kufanya nini?, kipo kitengo ndani ya Halmashauri ambacho huusika na maswala haya, wengi hawayajui haya, ukiona unakwama unasonga mbele mpaka kwa hata mkuu wa mkoa/ mchengerwa.
 
We have the right to disagree, naona tumo kwenye uwanja wa medani ulio tofauti kabisa, kitengo ndani ya Halmashauri kinachokopesha!!,huu kwangu ni uongo
 
Back
Top Bottom