Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

Nape bwana asifiwe najua wewe ni mpendwa mwenzangu siasa isikutenganishe na mungu kwa kufanya mambo kinyume na ukristo ni kweli mamboni magumu na kusema dokta feki da nape nidhambi chunga au uchague umaarufu na pepo haya
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!
avatar11941_3.gif

Kwa taarifa huyu si Nape, ila mtu anayelipwa na nape anatumia ID yake. Kuna siku nilishangaa Nape akijibu hapa wakati huo huo anafanya mkutano wa hadhara, ukweli hujitenga na wongo.
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!

Ndugu pole sana kwa kuji dhalilisha kiasi hiki .
 
wewe ni kati ya wana ccm wachache sana waliopo wenye kukubali kusema ukweli uliowazi kuhusu ubovu wa ccm na uongozi wake.....i wish people like nape wangekuwa wana upeo wa kuona mambo kama wewe....ni kweli kabisa watu wazuri ccm wako weengi tu lakini nafasi za kutoa michango yao hawapati.....mfano kina Filikunjombe......kinachobaki tunaona mafisadi wakizidi kupewa vyeo....refer kina chenge et al......so sad yaani...Ndugu yangu kinachobaki kama hamuwezi kutoa michango yenu ccm ikasikilizwa...basi hameni chama.....hivi vyama havikuundwa vitawale milele..tumeona kenya...zambia...senegal etc etc .its the only way forward for you.....kama mna mapenzi ya kweli na Tz.....

Wana-CCM tunaosikitishwa na matendo ya viongozi wetu tupo wengu tu. Kuna Dr Xzavery Lwaitama pia, yeye anajiita mwana-CCM mfu! Kwa nini ajiite hivyo? Ufu wake katika chama unatokana na viongozi wavuta bangi kama Nape kupewa uongozi na majukwaa ya chama. Ni watu kama Kikwete kupewa Ikulu takatifu ya taifa kubwa kama Tanzania. Ni watu kama Mkapa kudhaniwa kuwa ni watu wenye hekima waliobaki ili kukisaidia chama.... orodha ni ndefu sana ndugu Nderingosha
 
Tupambane kwa hoja...Nape punguza kejeli,sidhani kama propaganda ni mipasho....ok tunajua propaganda ndio kazi inayokuweka mjini...unafanya hivi kwa mdomo na kwa maandishi kueneza porojo (propaganda) zako kwa wananchi....Unatanguliza dharau na kukejeli elimu za wenzako kama kuwaita Dr.feki....sikulaumu kwa sababu ni shughuli inayokufanya kula na kulala vizuri.
Lakini kumbuka,watanzania wa kusikiliza porojo wanahesabika siku hizi....na ndio maana haujui hata maana halisi ya maandamano unaeleza kwa ufahamu wa juujuu na kujiabisha mbele ya jamii...waone walau BAKITA wakusaidie vitu vidogo.
Komenti hii ipo TANURU LA FIKRA,nafikiri utaliona jina langu halisi ambalo hili hapa ni Acronym yake!
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!
Vipi kaka ccj imeishia wapi!!katika waasisi wake wewe ni mmoja wao..funguka kaka manake umetumia nguvu nyingi kupotezea
 
hahahaa! Kujidanganya wenyewe na kujaribu kuwadanganya wafadhili wenu ni sifa halisi ya vyama vya wana harakati.... Na hasa baada ya kuona kuwa uongo wa mwanzo unakosa mashiko. Oooh ccm imekufa!!!nimeingia songea wenyewe mmefyata mkia kwa mshangao jinsi watu walivyojitokeza mkutanoni, halafu hakuna matusi sera tu. Mkawa mnadanganya watu mnayo njombe yote, mkutano wa jana njombe umewaumbuwa sana sana. Mmebaki na dua la kuku, poleni sana. Narudia siwashangai kwani ndio tabia ya vyama vya wanaharakati. Kumbe wewe una ubishi wa kijinga hivi? Ndo sababu kina lowasa na rostam wanakudharau hivyo. Dr feki ndo yupi huyo?? Aliyezawadiwa bila kupiga kitabu ni nani? Ha haaa; mko madarakani, tekeleza ilani yenu watu tutawakubali, acheni kurandaranda, mnaiga wapinzani? Wapinzani wanauza sera kwa sababu hawajapata nafasi ya kuzitekeleza; kuweni na utashi wa kisiasa; mtaaibika bure 2 uote=candid scope;4001152]
3.jpg
03.jpg
hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya ccm siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
[/quote]
 
Aaah afadhali we umesema ukweli! M4C ni kwa ajili ya kukusanya chenji ya walalahoi. Inasikitisha kuwa hamuwaonei huruma watu wanahangaika kujitafutia kipato nyie mwaja kukusanya vijisenti vyao! Wizi mkubwa.

Nape unanunua hadi 'caption' mkuu wangu.

hii picha nimeiona gazeti la Mwananchi eti hao mabwana wamekanyaga 'mabanzi' ili wakuone, lakini mbona sioni kama kuna mtu/watu anawakinga? na kama watu wangekuwa wengi hivyo, kwa nini kusiwe na nyomi nyingine nyuma yao?

kijana unapoteza umaarufu kwa kutetea chama mfu.

rudi ccj ukaendeleze mapambano au njoo vua gamba uje nyumbani.
Photo-0242.jpg
 
The word the political party will reign yesterday, today and forever is not correct i advise my dear to change because only God can reign forever. Thanks very much.
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

NAPE umenigusa hapo ulipotaka wenye majina ya kweli waje mjadili hoja.

nijuavyo mimi hakuna duka linalouzia watanzania sare za ccm hizo zinapatikana bure na najua chama kina bajeti hiyo.
hawa wenzako unaowaita wanaharakati najua hawana hela ya kununua nguo ili kugawia watu nafikiri ukiona mkutano wa chadema kuna sare ni kila mtu kajinunulia.
hizo pikipiki hazitembei bure hao wanaoziendesha ni vijana waliojitafutia ajira baada ya kuona serikali yao imewasahau kwa hiyo ni wazi hawawezi kupoteza muda wao kwa ajili ya chama kilekile kilichowafanya kuwa bodaboda.

Jingine huoni kama unaimba mashairi ya wapinzani kwa kubadilisha mdundo tu?au ilani ya chama haitekelezeki?kwa sababu naona hiyo ingekuwa funga mdomo wapinzani.

Wapinzani wako wanachangiwa hela na walalahoi kwa hiyo wanaweza kukaa barabara miaka yote mitatu bila kupoteza chochote huoni wewe utapoteza muda na rasilimali za chama na taifa kwa ujumla?
na kama hujawa makini mafisadi wanaweza kukupitishia hela chafu bila kujua na kujikuta matatani zaidi?
mimi ni raia wa kawaida sana ila ninachokuambia ni cha ukweli huku mitaani tumefunguka mbaya na mtu akidanganya asubuhi saa moja haifiki saa tatu hatujang'amua.

Niliangalia msafara mmoja wa chadema pikipiki zilianza kama 20 lakini kwenye kumaliza zilikuwa kama hamsini mbona zako zilizoanza ndizo zilizomaliza?
tuwekane sawa mwenezi.
 
Nape ni moja kati ya wanasiasa jasiri kabasi waliowahi kutokea hapa tanzania..ukweli ni kwamba wapo viongozi wengi wa vyama vya upinzani humu jf hawathubutu kujitokeza kama nape...go nape gooooo...
 
avatar11941_3.gif

Kwa taarifa huyu si Nape, ila mtu anayelipwa na nape anatumia ID yake. Kuna siku nilishangaa Nape akijibu hapa wakati huo huo anafanya mkutano wa hadhara, ukweli hujitenga na wongo.

La hasha huyu ni Nape mwenyewe jaribu kufuatilia vizuri,kwa ninavyomjua huyu ndiye sema kiukweli nami nina huwa na mashaka wakati mwingine kwamba huenda si yeye kwani kuna wakati naona uchizi wa huyu una afadhali kidogo
 
Kwa hiyo vijana kujiajiri wenyewe ni kosa?au kwakuwa ni bodaboda?ulitaka wafanye kazi gani?au ulitaka wapewe u dc?
 
Hahahaa! KUJIDANGANYA WENYEWE NA KUJARIBU KUWADANGANYA WAFADHILI WENU NI SIFA HALISI YA VYAMA VYA WANA HARAKATI.... NA HASA BAADA YA KUONA KUWA UONGO WA MWANZO UNAKOSA MASHIKO. OOOH CCM IMEKUFA!!!NIMEINGIA SONGEA WENYEWE MMEFYATA MKIA KWA MSHANGAO JINSI WATU WALIVYOJITOKEZA MKUTANONI, HALAFU HAKUNA MATUSI SERA TU.
MKAWA MNADANGANYA WATU MNAYO NJOMBE YOTE, MKUTANO WA JANA NJOMBE UMEWAUMBUWA SANA SANA.
MMEBAKI NA DUA LA KUKU, POLENI SANA.
NARUDIA SIWASHANGAI KWANI NDIO TABIA YA VYAMA VYA WANAHARAKATI.

UOTE=Candid Scope;4001152]
3.JPG

03.jpg

Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
[/QUOTE]

Kwa hiyo Nnauye Unawadharau wanaharakati. Unawaona hawana maana. Sijui utajajificha wapi wewe bwana mdogo!
 
Kiukweli kama ambavyo wengi wamekuwa wakichangia, tutakuwa na CDM imara kama kuna CCM imara sasa kwa utaratibu huu wa bw. Nape na ndipo huwa naona CCM kweli hakuna kitu kama kiongozi mkubwa kama NAPE anaweza kujibu kirahisirahisi hivi, hapana. Kwa hadhi ya CCM tunatarajia katibu mwenezi awe kichwa hasa, angalia wenzio kina Mnyika akijibu kitu au akianzisha jambo unaona mashiko na unaona tofauti ya mawazo. sasa Nape kama unajibu kirahirahisi tu, hapa JF kila mtu anaweza kujiona kuwa kumbe kama NAPE akili ndiyo hiyo, yeyote anaweza kuwa katibu mwenezi wa CCM, looo Nape ukweli unachangia kuiua CCM.
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!
Utakataje tamaa wakati ndo kula yako, hivi unafikiri ukitoka hapo utabaki kama ulivyo?
 
Kiukweli kama ambavyo wengi wamekuwa wakichangia, tutakuwa na CDM imara kama kuna CCM imara sasa kwa utaratibu huu wa bw. Nape na ndipo huwa naona CCM kweli hakuna kitu kama kiongozi mkubwa kama NAPE anaweza kujibu kirahisirahisi hivi, hapana. Kwa hadhi ya CCM tunatarajia katibu mwenezi awe kichwa hasa, angalia wenzio kina Mnyika akijibu kitu au akianzisha jambo unaona mashiko na unaona tofauti ya mawazo. sasa Nape kama unajibu kirahirahisi tu, hapa JF kila mtu anaweza kujiona kuwa kumbe kama NAPE akili ndiyo hiyo, yeyote anaweza kuwa katibu mwenezi wa CCM, looo Nape ukweli unachangia kuiua CCM.

Filikunjombe alipokewa vizuri kuliko, katibu wake mwenezi. Hii ina maana gani?
 
La hasha huyu ni Nape mwenyewe jaribu kufuatilia vizuri,kwa ninavyomjua huyu ndiye sema kiukweli nami nina huwa na mashaka wakati mwingine kwamba huenda si yeye kwani kuna wakati naona uchizi wa huyu una afadhali kidogo

Amekuwa Shubuda wa CCM.
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Mwenezi hizo ni fikira zako chafu tu hakuna aliye mwoga na sio kana kwamba jf wewe ndio wa kwanza kutumia id yako, pia hatuamini kama kweli ndiwe saa nyingine unatumia id za kujificha.Pili huna ubavu wa kupambana kwa hoja mwachie mjombako mwigulu angalauhuwa anajaribu wewe na le mutuze ubishi tu pole heri mie nilie porini
 
Back
Top Bottom