Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

Wakuu, inaonekana kuwa hata kwenye NEC mafisadi pia hawakuwa na easy ride. Ninachokishangaa sana ni maneno ya Kingunge. Kweli mzee wetu amepiga u-turn kubwa sana. Kingunge wa enzi ya mwalimu aliyekuwa mteteaji mkuu wa maslahi ya wakulima na wafanyakazi, anasema kuwa Sitta mlaghai? amewalaghai wabunge au amewalaghai watanzania? Amewalaghai kwa lipi?
Pamoja na kwamba naamini kuwa bunge as institution limekuwa corrupt (institutional corruption) kwa muda mrefu, naona uhohehae wa wabunge ni sababu moja inayowafanya wakubali kuwa muhuri wa serikali. Kama Sitta anawapunguzia uhohehae na na kulifanya bunge liwe na meno bila shaka tunaweza kupata serikali effective. Inayofanya kazi kwa maslahi ya wananchi, na sio kulinda maslahi ya mafisadi. I wonder what was Comrade Kingunge talking about!
 
Tatizo langu kwa JK ni kuwa ushikaji umezidi kiwango. Kama alikuwa ameshapata taarifa kuwa milioni 50 imemwagwa kwa ajili ya kumsulubu Spika, kwa nini aunde kamati ya kurejesha uelewano ndani ya chama badala ya kuwashughulikia hao watu kupitia vyombo ya sheria?????

Kama aidha UWT au TAKUKURU wamempa info zote, basi hivi vyombo vilitakiwa kuendelea na investigation au kuwapeleka mbele kama evidence walikuwa nazo. Kuchekelea mwenzako tena Spika wa Bunge la JMT anamwagiwa upupu mle ndani ni FEDHEHA kubwa sana. Hii fedheha si kwa Sitta tu bali hata kwa wabunge wengine waliompigia kura kumchagua kuwa spika na wananchi waliompa dhamana ya kuwa mbunge wao.
 
Kwa hiyo Kikwete alifanya kosa kuwaruhusu watu kuzungumza 😕 Kwa upande wangu That was a blessing in disguise kwa maana sasa mnawajua viongozi wenu.

Kumbuka JK ni rais wa nchi na anapata Intelligence Briefing. Hivyo kuna uwezekano mkubwa alikuwa anajua yatakayotokea. Hivyo asingetoa ruhusa spika asingejua wabaya wake. Na wananchi msingeelewa mtandao wa mafisadi.

Vilevile Samuel Sitta ni mbuzi mzuri tu. Ukipekua-pekua hapa utaona alitaka kikao cha Richmond kimsubiri yeye akitoka ziarani Marekani. Kwa maana nyingine hakutaka kikao kifanyike.

Leo hii ndio mpiganaji wa ufisadi. Hivi watanzania mbona mnakuwa na akili fupi za kuwaendekeza opportunists?
 
Wakuu, inaonekana kuwa hata kwenye NEC mafisadi pia hawakuwa na easy ride. Ninachokishangaa sana ni maneno ya Kingunge. Kweli mzee wetu amepiga u-turn kubwa sana. Kingunge wa enzi ya mwalimu aliyekuwa mteteaji mkuu wa maslahi ya wakulima na wafanyakazi, anasema kuwa Sitta mlaghai? amewalaghai wabunge au amewalaghai watanzania? Amewalaghai kwa lipi?
Pamoja na kwamba naamini kuwa bunge as institution limekuwa corrupt (institutional corruption) kwa muda mrefu, naona uhohehae wa wabunge ni sababu moja inayowafanya wakubali kuwa muhuri wa serikali. Kama Sitta anawapunguzia uhohehae na na kulifanya bunge liwe na meno bila shaka tunaweza kupata serikali effective. Inayofanya kazi kwa maslahi ya wananchi, na sio kulinda maslahi ya mafisadi. I wonder what was Comrade Kingunge talking about!

Kingunge alikuwa ni bendera tu, hana credibility yoyote. Siku hizi ndani ya SISIEMU hakuna Wakulima na Wafanyakazi bali kuna Wafanyabiashara na Fisadiz. Mengi yaliyoko kwenye katiba yamebaki kuwa maandishi tu.
 
Fingers now pointed at ruling party secretariat

THE CITIZEN

Makamba and some other members of the ruling party's secretariat have come under particularly sharp criticism in the aftermath of last week's controversial party national executive committee (NEC) meeting in Dodoma.

A number of political analysts interviewed separately by THISDAY have singled out the negative influence of money in politics as the behind-the-scenes driving force in the dramatic events that unfolded at the August 16-17 NEC meeting, highlighted by an abortive attempt to unseat the Speaker of the National Assembly, Samwel Sitta.

The CCM secretariat under Makamba's leadership is especially accused of allowing a small group of individual NEC members to dictate the meeting proceedings by diverting from the original agenda and instead pushing ahead with the plot to oust Speaker Sitta and get him expelled from the party.

Insiders say a group of politicians within CCM, each of whom has been publicly tainted with serious corruption allegations in recent years, is maintaining a powerful influence over some senior members of the party secretariat, hence undermining the legitimacy of the party as a whole.

�Financing politics is considered a very good investment in Tanzania. The CCM secretariat currently relies on this small group of wealthy politicians-cum-businessmen to finance party meetings and elections. The same wealthy individuals now influence most of the major decisions of the party,� said a CCM stalwart on condition of not being attributed to the statements to avoid reprimand.

The CCM secretary general (Makamba) is also chairman of the NEC secretariat.

Other prominent members of the secretariat include the party's national publicity secretary, Capt. (rtd) John Chiligati, and national treasurer, Amos Makala.

Both Makamba and Chiligati have vehemently defended what reportedly transpired during the latest NEC meeting in Dodoma, including the decision to �discipline� CCM members of parliament who publicly question the records of party leaders tarnished with corruption allegations.

By contrast, Makala - who took over from business tycoon-cum-politician Rostam Aziz as CCM national treasurer - has remained relatively low-key in the aftermath of the NEC meeting.

The CCM secretariat is the permanent bureaucracy of the ruling party, and is largely responsible for preparing all high-level party meetings. Its roles include making personnel decisions, managing the work of the NEC, coordinating the complete party machinery, and supervising day-to-day running of the party.

Although all key party decisions are ultimately made by the NEC and the central committee, the secretariat carries significant weight in charting out policy.

It has come to light that the clique of CCM politicians tainted by corruption allegations, managed to hijack the proceedings at the NEC meeting for two entire days, turning an agenda on the 'State of Politics in Tanzania' into a virtual crucifixion of Speaker Sitta.

A senior NEC member told THISDAY: �Without following due process, some of my colleagues heavily influenced by bribes turned on Sitta and started roundly attacking his performance as National Assembly Speaker.

It was clear that they were aiming to get him removed from the Speaker's position...and even expelled from the party. Fortunately it didn't work, the NEC member said.

According to several CCM insiders, the party's guidelines dictate that the Speaker should have first been briefed in writing of the purported allegations against him, and asked to defend himself before the party's own disciplinary committee.

Should the CCM disciplinary committee fail to resolve the matter, it is required to be forwarded to the party's central committee, which is in turn required to bring it before the NEC for final decision-making - if necessary.

Said one CCM insider: It is unprecedented for the NEC to start discussing the Speaker and even recommending his expulsion from the party without following this process.

In this context, the ruling party secretariat has been roundly faulted for allowing things to go out of hand at the Dodoma NEC meeting, and calls are on the increase for CCM chairman President Jakaya Kikwete to overhaul it (the secretariat).

What transpired in Dodoma, especially since they were contrary to the party's own regulations, amounted to a major scandal for CCM. As such, changes are needed within the secretariat...for the good of the party as a whole, a senior NEC member asserted.

When contacted by THISDAY yesterday for his response to the increasing public criticism of the CCM secretariat in the wake of the Dodoma NEC meeting, Makamba curtly declined comment.
 
Kwa maoni yangu Kikwete na Makamba wote lao moja hivyo Kikwete naye alihusika kwa namna moja au nyingine kutaka Spika aondolewe vinginevyo asingeweza kukaa kimya kiasi kile wakati Spika anasulubiwa na mafisadi na watetezi wao.
 
BTK,
Mimi bado narudi kauri yangu kuwa hapa JK hana kosa so far, kwani yeye kama moderator hakutakiwa na hutakiwi kuingilia waongeaji. Kosa ni kuwa wapiganaji hawakujipanga kupambana au walizidiwa kete. Kwangu mimi haiingii akilini ni kwa nini mpiganaji Tinga tinga na memsapu wake wakose hiki kikao ambacho watu walio wengi walishajua kutatokea nini?
 
Duh! wadanganyika jamani.. Mnachomlaumu JK kufanya ktk Mkutano huo ndicho tunachomsifia Spika Sitta anapokuwa Bungeni..
Mafisadi na kina Makamba wote wanalalamika kwa sababu sawa na zenu mnapomlalamikia JK..nazo ni kushindwa kwa mwenyekiti (Spika) kuwalinda wenzake ktk hoja! Sasa nashindwa hata kuelewa wadanganyika tunataka mfumo gani wa Uongozi hasa ktk kutafuta Uwazi...
 
Duh! wadanganyika jamani.. Mnachomlaumu JK kufanya ktk Mkutano huo ndicho tunachomsifia Spika Sitta anapokuwa Bungeni..
Mafisadi na kina Makamba wote wanalalamika kwa sababu sawa na zenu mnapomlalamikia JK..nazo ni kushindwa kwa mwenyekiti (Spika) kuwalinda wenzake ktk hoja! Sasa nashindwa hata kuelewa wadanganyika tunataka mfumo gani wa Uongozi hasa ktk kutafuta Uwazi...

kwi kwi kwi 😀 mkuki kwa nguruwe. Anyway, mimi ninamlaumu Kikwete kwa kutamka kwamba Sitta amekosea kuruhusu mijadala ya ufisadi bungeni kwani kwa kufanya hivyo kunawapa advantage wapinzani. Hiki tu, na bado nashindwa kuelewa utashi wa Rais wetu juu ya kutoingilia uhuru na madaraka ya bunge na juu ya kukuza demokrasia ya vyama vingi.
 
"Nimesikitishwa na wakuu wa chama ambao waliruhusu, (Andrew) Chenge na (Edward) Lowassa wapokewe, lakini wanawazuia katibu na mwenyekiti (Wa Tabora) wasinipokee, ingawa wanachama walijitokeza kunipokea; hii ndiyo inatufanya wanachama tuamini kuwa kuna wanachama wenye haki na wasio na haki; hii si dalili nzuri,"alisema Spika Sitta. Kutoka gazeti la Mwananchi

Je, ni akina nani waliowashinikiza Mwenyekiti na Katibu wa CCM Mkoa wa Tabora wasishiriki katika mapokezi ya Sitta? Ni Kikwete? Makamba, Chiligati? au Wote?
 
Mimi binafsi ninamashaka na hii kamati. Mzee Ruksa kama baba wa ufisadi nchini na Msekwa aliyesimamia bunge lilopita kwa kufuata kikamilifu maagizo ya BM. Labda nisiwe sahihi kwa hili. Je ni kwa nini BM pia alihudhuria? Si kwa ajili ya suala la kumnyamazisha mzee Sita asiendelee na ufisadi wake?

Mungu amjalie nguvu na ujasiri six awe na ubavu wa kutumia nguvu zake zilizosalia kama ya Samsoni kipofu wa biblia ili "Six atawapiga bao mpaka wakome".
 
Na Mwandishi wetu

25th August 2009

Wakati kukiwa na taarifa za kubanwa na Kamati Kuu ya chama chake kutokana na namna anavyoruhusu mijadala mikali ya kupinga ufisadi Bungeni, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amedaiwa kuwa hatishiki kwa lolote na kwamba bado ni ngangari katika kukabiliana na shinikizo lolote la kumtaka apunguze kasi yake na viwango katika kuliongoza Bunge.
Aidha, imedaiwa kuwa Sitta, ambaye pia ni Mbunge wa Urambo Mashariki, ameamua kuendeleza moto mbele kwa mbele, akiwa imara zaidi katika kuzingatia kanuni zinazoongoza Bunge na pia kuweka mbele maslahi ya taifa.
"Mzee hatishiki... sasa ni mbele kwa mbele tu. Kwake yeye, siku zote sheria za nchi na kanuni zilizowekwa katika kuliongoza Bunge ndio vitu vya msingi na silaha imara ya kukomesha ufisadi," chanzo cha gazeti hili kimedai.
Aidha, akiwa kwenye ziara jimboni kwake Urambo Mashariki kule Tabora, kiongozi huyo wa Bunge amekaririwa akisema kuwa hajatikiswa na taarifa za uzushi zinazoenezwa dhidi yake na kwamba ataendelea kusonga mbele katika kuliongoza Bunge kwa kasi na viwango.
Kwenye mkutano wa 16 wa Bunge, Sitta aliwahi kuwakatisha tamaa watu aliodai wamekuwa wakitumia mapesa kumuangusha jimboni mwake, pale alipowaambia kuwa kamwe hatetereki na anaamini ataendelea kuwa Mbunge wa Urambo Mashariki.
"Wananchi wa Urambo wanajua nilifanyalo, hayo mapikipiki wanayowapelekea nawaomba wananchi wayachukue kwa vile ni neema iliyowajia... lakini naamini hawashindi. Nitashinda na ikiwezekana, Mungu akinipa uzima nitaendelea kuwa Spika wa Bunge hili," aliwahi kusema Spika Sitta.
Hivi karibuni, Spika Sitta alidaiwa kuwekwa kitimoto na chama chake (CCM) na ikadaiwa kuwa alilazimika kuomba radhi katika baadhi ya mambo, jambo ambalo mwenyewe amelikanusha vikali na kusema kuwa madai hayo ni ya uzushi unaoenezwa na wabaya wake kisiasa.
Aidha, taarifa zimedai kuwa NEC ya CCM imeunda kamati ya watu watatu, kiongozwa na Rais Mstaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi ili kufuatilia uhasama wa kisiasa uliopo miongoni mwa wabunge wa CCM ndani ya Bunge.
Wajumbe wengine wa kamati hiyo ya Mzee Mwinyi ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, ambaye pia aliwahi kuwa Spika wa Bunge, Bw. Pius Msekwa na aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Bw. Abdulrahman Kinana.



CHANZO: ALASIRI
 
The degree of ignorance in this board is shocking! full ushabiki, nobody is talking or at least pitching ideas how we are going to decrease the infant mortality in next ten years. Kama una uchungu na nchi kachukue form ugombee ubunge or something. If u guys are radicals and u want to change the country, get off your laptops huko ughaibuni na mliendeleze libeneke nyumbani. Every topic in is about wanasiasa na mafisadi, hata hao mafisadi wakiingia humu ndani wanawaona wengi wazushi tu because there are no ideas. Absolutely nothing. Now, tunashabikia Sitta kuwa kawashinda mafisadi---fine, but tell me how exactly that will help kupunguza mgao wa umeme, or what are the connections between Sitta na mafisadi that will increase victims wa ngoma kupata ARVs.

If we are truly "the home of great thinkers" then we ought outline our strategy out of poverty na ni jinsi gani mtanzania wa kawaida atanufaika. Hao mafisadi wakiingia humu ndani wanakuta nondo tu. You all want change, but none of you have spelled out C.H.A.N.G.E that you want. U hate CCM fine, then tell us what should Chadema do? and if you are kada then suggest what CCM as a serikali should do.. Think people and acheni kuendekeza malumbano ya kisiasa. I mean the whole freaking country is at awe, oooh excitement za drama za CCM..I mean none of these so called leaders have put forth a development agendas that will help regular Mtanzania like me..Sitta, Chiligati, Rostam, tunashabikia data, ES kaja na data flani, mara Zitto katoa hutuba somewhere. We want leaders who are policy oriented that can tell us tunakwenda paleeeee, and this is how we gonna get there. And u guys who are supposed to criticize serikali mnaongelea siasa allllll daaaaay--this place is so hopeless its unfuckingbelieavable. Its just incredible. How are we gonna provide umeme for everybody by 2015? or how can we improve kilimo and diversifying our crops to yield mavuno manono? or how can we fucking make more money out of our madini contracts and are there any legal possibilities to get us out of all these shady contracts that we are in, if yes How? weka suggestions mtumieni waziri. Shit like that..Can we set up a Dick Chaney style manipulative of law so as wala rushwa wote can be prosecuted with less ushahidi? lets do that, or how do we increase healthcare spending so as we are not loosing as many pregnant women as we do now? how are we going to make secondary school education free for everybody? I honestly expect to see that when I log into this site. I expect to learn some serious shit when I log in here, not chuki, fitina, and majungu. Now humu ndani full skendo, and gossip halafu eti tunajiita home of the greatest thinkers. Name ideas that were generated from this forum and have been implemented in our serikali? Jamii forum is so popular we can easily influence serikali intellectually and not majungucally. We are spending days and night blaming, and blaming, and blaming, with no matunda.

my two cents..
 
Last edited:
Wabeja sana ng'wana wane.
Mambo mengi gawiza tunayajua hadololo hadololo. Bado tutayasikia mengi tu. Tunaelekea kufanana na siasa za kenya ambapo mtu akishindwa kuanika hoja hadharani akaeleweka, atatumia msuli (maguvu). Sasa CCM ina misuli kichama, ndio maana utawasikia Pemba CUF wakilalamika lakini Masheha ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo serikali yenyewe na kwa maana hiyo diyo CCM wanatunisha msuli. Kesho na keshokutwa CUF nao wakikalia kiti watatunisha msuli hivyohivyo na itakuwa zamu ya CCM watakaoitwa kwa jina jipya maarufu "Wapinzani" Patamu hapo! Angalia KANU ya Kenya na kina NARK (Sijui NARC?), na Malawi na Zambia.

Jamani CCM, mwenzako akinyolewa si wewe utie maji kichwani? Unataka mfano ukufikie mwenyewe tu? Yose makoye gete aha.

Leka.
Loli ujobile!(Hapo kweli umenena!)
 
F
The degree of ignorance in this board is shocking!

... nobody is talking or at least pitching ideas how we are going to decrease the infant mortality

....we ought outline our strategy out of poverty

...this place is so hopeless its unfuckingbelieavable. Its just incredible.

... How are we gonna provide umeme for everybody by 2015?

..or how can we improve kilimo and diversifying our crops to yield mavuno manono?

...or how can we fucking make more money out of our madini contracts

... and are there any legal possibilities to get us out of all these shady contracts

...weka suggestions mtumieni waziri. Shit like that

....Can we set up a Dick Chaney style manipulative of law so as wala rushwa wote can be prosecuted

... or how do we increase healthcare spending so as we are not loosing as many pregnant

...how are we going to make secondary school education free for everybody?

...... lets do that
FIND ALL THREADS STARTED BY SELEMANI, THE GREAT VISIONARY:

1. TWANGA PEPETA (mlioko nyumbani)
selemani

2. Hofu & Njama; BY A.E Musiba;
selemani
_____________________



birdcast.cgi

 
Buricheka kaka, good reply. Making small issues out of big issues. And I am not a visionary, cheers for the compliments though. Ridiculing is man's most potent weapon and I see you are using it to perfection--good for u.

PS: I have Twanga's CD, I have yet to get the Musiba's novel if you can hook up, it would be immensely appreciated!
 
Loli ujobile!(Hapo kweli umenena!)

Gwamahala!

Japo ujumbe unaoshabilkia umeandikwa kwa kinyamwezi/kisukuma hata mimi nimeuelewa. Maoni ya jamaa ni lazima sisiemu watakafari kwani ni kweli siku zao zinahesabika kwenye vidole vya mikono.

Waweza wakaja watu kama Sikonge watabisha na akina Barubaru mpaka asubuhi lakini ukweli ndio huo. Najua saa hizi wako usingizini watakapokula daku wanaweza wakavamia mtandao ikawa tabu.

Kuna mtaalam mmoja (hawa waganga njaa wanaokuja kula pesa za msaada actually wanakula almost 40% ya msaada, huko Tz wanaendesha magari yenye namba DFP....) nilimwuliza anafikiria ni baada ya muda gani Tanzania itakuwa imeendelea akawa hataki kunijibu . Tulikuwa tunawenda Morogoro baada ya kumwuliza kama mara mbili alinijibu ni baada ya mita mia saba. Mwanzoni sikumwelewa nikamuliza alikuwa na maana gani akafafanua kwamba kama mwendo wetu ni hatua tatu hadi tano kwa mwaka na mara nyingine tunaenda na kuuya na umbali wa safari ni mita mia saba nawachieni mkokotoe mniambie itachukua miaka mingapi? Pasueni bongo nataka majibu kila mtu afikiri!!!
 

PS: I have Twanga's CD, I have yet to get the Musiba's novel if you can hook up, it would be immensely appreciated!

Kaka, hizo tamthilia za Musiba zote ni out of print. Kwa kweli shughuli itakuwa pevu hapo. Ila kuna mdau anasemekana ndo dealer wa out-of-print books. Soma jamvini hapa.

Na chanzo kingine kiko pwani, kimeongelewa hapa.

Sasa ukenda Unguja kwa majahazi kufuata vitabu, vaa life jacket.

Sikutishi, vitabu na skuli yote heri, lakini ukivuka, vuka mchana, usiku wadau walia vibwengo ati!
 
Mimi binafsi ninamashaka na hii kamati. Mzee Ruksa kama baba wa ufisadi nchini na Msekwa aliyesimamia bunge lilopita kwa kufuata kikamilifu maagizo ya BM. Labda nisiwe sahihi kwa hili. Je ni kwa nini BM pia alihudhuria? Si kwa ajili ya suala la kumnyamazisha mzee Sita asiendelee na ufisadi wake?

Mungu amjalie nguvu na ujasiri six awe na ubavu wa kutumia nguvu zake zilizosalia kama ya Samsoni kipofu wa biblia ili "Six atawapiga bao mpaka wakome".

Kwa kuongezea ni kwamba Msekwa alikuwa bado anautaka uspika na kugombea nafasi hiyo na Sitta kabla ya kushindwa na Sitta kwa aibu na kukaa bench mpaka alipotupiwa fupa la "Tingatinga" la umakamu mwenyekiti wa CCM bara, kazi ambayo nadhani bado hajaimudu kama alivyokuwa Tingatinga a.k.a embe bivu
 
Kwa kuongezea ni kwamba Msekwa alikuwa bado anautaka uspika na kugombea nafasi hiyo na Sitta kabla ya kushindwa na Sitta kwa aibu na kukaa bench mpaka alipotupiwa fupa la "Tingatinga" la umakamu mwenyekiti wa CCM bara, kazi ambayo nadhani bado hajaimudu kama alivyokuwa Tingatinga a.k.a embe bivu

Mkuu kweli hii tume inatiashaka kwa kiasi fulani. Kwanza Kinana uraia wake bado una walakini, na umewekwa kiporo ili uje utumiwe kama leverageagainst him pale itakapohitajika. Kinana ni mtu Makini sana, lakini ukizingatia Arusha connection utaona kuwa ni mtu wa Lowassa. Mzee Mwinyi yuko weak sana mentally na ukikumbuka enzi zake ufisadi ulikuwa ruksa, sasa kumpa kazi kama hii sijui maana yake nini. Msekwa ndio wazi kabisa, ametetea uozo BOT, amefumbia macho ufisadi, anaonekana mroho wa madaraka, Na alikuwa na personal interest na uspika.

Sijui kama hii ni weakness nyingine tunayoiona kutoka NEC au ni kitu kilichopangwa mahsusi ili kupata matokea yatakayo wafurahisha mafisadi. Inapaswa tujue ni nani aliteua watu hao na alitumia kigezo gani. Hapo naona nni Kinana tu ambaye anaweza kufanya kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom