Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

Mimi nafikiri kikwete ni more of a weak leader than kusema ameachia uhuru wa habari,
Kwa hiyo, hata a strong leader anaweza kuachia Uhuru wa habari au sio!.. Hii ina maana uzembe wake JK has nothing na swala la Sitta.

Wakuu zangu tusiondoe focus yetu kwa Mafisadi.. Adui yetu leo hii ni nyendo za Mafisadi na tuwakane popote walipo au mbinu zozote wnazojaribu kutumia, laa sivyo tutashindwa kutofautisha..
 
ahsante sana bob1 na hilo la kikwete kutusaliti watanzania wengi bado hawalioni. Alitoa ahadi chungu nzima lakini hata moja hajaweza kuitimiza na kwa maoni yangu huo ni usaliti kwa watanzania kwa huyu muheshimiwa ambaye ni chaguo la mafisadi. Maamuzi yake mengi yanalenga kuwalinda mafisadi badala ya kutetea maslahi ya watanzania.

kikwete hajamsaliti yeyote,kikwete hana idea kabisa na nini hasa watanzania walikuwa wanataka kutoka kwake,ni kwamba ali miss understand kabisa nini hasa watanzania walitaka. Wazungu wanasema common sense is not common,huwezi kumlaumu,iliyobaki tupeana pole,na tukubali kwamba hana uwezo wa kutusaidia hata kama ana nia hiyo,
 
kwa hiyo, hata a strong leader anaweza kuachia uhuru wa habari au sio!.. Hii ina maana uzembe wake jk has nothing na swala la sitta.
Wakuu zangu tusiondoe focus yetu kwa mafisadi.. Adui yetu leo hii ni nyendo za mafisadi na tuwakane popote walipo au mbinu zozote wnazojaribu kutumia, laa sivyo tutashindwa kutofautisha..

yes,wapo viongozi wanaachia uhuru wa habari kwa sababu wana conviction moyoni juu ya umuhimu wa uhuru wa habari,but sio kikwete,he is just a weak leader.
 
"RAIS Jakaya Kikwete ameshindwa kulinda hadhi ya Spika wa Bunge la Jamhuri, Samwel Sitta katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma."

Hiyo statement haiktumiwa kwa usahihi, kile ni kikao cha NEC na hata kiwete pale alikuwa kama mwenyekiti wa chama na siyo kama rais wa nchi au Amiri Jeshi mkuu, sasa mtu anaposema kuwa ameshindwa kulinda hadhi ya spika, spika yupi? CCM ina bunge lake? Sita ni spika wa bunge la CCM?

Ninavyojua pale Sita alingia kama mjumbe na mwanachama wa chama cha Mapinduzi na siyo kwa ubunge wake wala vinginevyo.Tuwe waangalifu sana tunapotaka kujadili mijadala mhimu kama hii otherwise tutakuwa tunajadili upuuzi tu.Assume kama spika angekuwa anatoka CUF or CHADEMA wangeandikaje?
 
Pdidy,

..kwa hali ilivyo sasa hivi CCM yote imeoza.

..Samuel Sitta ameoza, na hata Mzee Mwinyi[kabla hajaonja rushwa] alimuona hafai akamtema ktk baraza la mawaziri. inawezekana nyinyi mna umri mdogo lakini ulizeni uozo wa Samwel Sitta alipokuwa waziri wa ujenzi na waziri ustawishaji makao makuu Dodoma.

..kituko kingine walichofanya CCM ni kuwateua Mzee Mwinyi, Abdulrahman Kinana na Pius Msekwa kushughulikia suala hili.

..hivi wa-Tanzania hatujui kwamba Mzee Mwinyi ni mchafu na serikali yake ilijaa rushwa? mbona hata Baba wa Taifa alilisema hili? hivi tumesahau kwamba alimtoa kifungoni jamaa aliyefungwa kwa kukamatwa akitorosha dhahabu?

..Abdulrahman Kinana naye si ndiyo msharika mkubwa wa kampuni iliyomilikishwa kifisadi eneo la Loliondo? sasa huyu naye amekabidhiwa jukumu la kuisafisha CCM.

..mwisho, JK hawezi kuchukua hatua yoyote ile kwasababu na yeye amefadhiliwa na haohao mafisadi ktk kampeni zake za kugombea uraisi tangu mwaka 95.

..msijidanganye kwamba CCM inaweza kuwashughulikia mafisadi. Mwinyi alikuja na fagio la chuma, baadaye akapata waalimu wa rushwa. Mkapa naye alikuja na moto mkali kila wakati amenuna, na tunajua aliishia wapi.

..Dawa ni kuiondoa CCM madarakani, kuwaruhusu waendelee ni kuruhusu kundi moja la mafisadi lishughulikie kundi lingine la mafisadi.

NB:

..Samuel Sitta alikuwa ni mwanamtandao mkubwa. sasa hakuona kampeni chafu, na pesa za wizi, zilivyotumika wakati wa uchaguzi?
 
Tunapaswa kujenga uwezo wa "wa kumeza habari na kuzichambua tumboni" kabla ya kuzitoa hadharani. Hili litatuepusha kupoteza muda wetu kupambana na "upupu".
 
Hii ni chuki inayotaka kujengwa ili ionekane kuwa Mheshimiwa Raisi Kikwete nae yumo katika kumkandia Spika Sita, Kama ni ushahidi basi naweza kusema Mheshimiwa Raisi alikuwa anaungoja utimie kwa maana ya kuwa kuna watu ndani ya CCM wanataka watakayo yaachiwe tu,na kama ni kundi basi lilikuwa na mkakati wa kumsulubu sitta na kumfikisha tamati katika kikao hicho kilichopita,nasema kama Raisi alikuwa anaambiwa juu ya kundi hili lilovaa njuga kulitesa bunge la Tanzania na kuliamrisha vile watakavyo na kwao wao Sitta alikuwa ni kikwazo kikuu hivyo juhudi na njama zilikuwa kumuondoa Sitta basi Kikwete alitaka kuona kwa macho yake akiwa live ndani ya ukumbi jinsi watu hao wanavyotenda na kuwa katika utekelezaji wa mwisho wa kumkata makali Sitta na kumuengua jambo ambalo Mheshimiwa Raisi amelihitimisha kwa kuwaumbua watu hao kwa kumwacha Sitta aendelee katika wadhifa wao.

Hivyo ionekane wazi kuwa wabaya wameonekana na Raisi amewashudia wakiwa laivu katika hujuma na njama walizokuwa nazo kwa muda mrefu hawa ndio wahujumu wa Taifa hili na si vinginevyo,ninachokuwa na tamaa nacho ni kwa sasa kazi ya Raisi na chama ni kuwamulika watu hao na wao ndio wa kuenguliwa kwani hawakitakii Chama Cha CCM uelewa mwema kwa wananchi nia ya kutaka kumuengua Sita ni kuweza kupata Spika ambae mambo yao yatakuwa yakipita kwa urahisi.
 
Kuntakinte usikatae,Kikwete ni sehemu ya tatizo!Mtandao wao na Lowassa toka 1995 ndo chanzo cha yote.Wana CCM wengine walipoona wanatumiwa kama mihuri alafu mkate unaliwa na wachache kwa itikadi za ki-mtandao,wakaona heri wawe kinyume.
Si kweli kwamba Kikwete bado ni kipenzi cha wanahabari,alikuwa!Kabla ya uchaguzi,wakati wa mchakato na baada ya uchaguzi alivipenda sana vyombo vya habari.Toka 2007 hajawahi kuitisha press comference yoyote,kitu ambacho haikuwa kawaida yake.Anaogopa atasema nini?
 
Mkulu Pdidy, kwa maoni yangu you are damn right,

- Six anaaminika kukinyemelea sana na kwa muda mrefu kiti cha juu kwa hiyo hapa zilikuwa ni simple politics, kwamba Six ni a threat kwa wote, kuanzia Muungwana, mpaka Mtandao wa Lowassa, na hasa Asilia ambao hawamuamini Six a former Mtandao, ni bin-adam mwenye tabia za kubadilika badilika, kwa hiyo alikuwa kafara kwa makundi yote ya ndani ya CCM, labda sasa ndio ataamua kuchagua asimamie wapi ili aaminike,

- Nia na madhumuni ya Lowassa ilikuwa kumuondoa kabisa kwenye picha ya politics ili asiwe tatizo 2015, lakini nia ya Muungwana ilikuwa ni kumpunguza makali na speed, Asilia waliomuokoa walitaka kum-test waone kama ni trust-worthy, now the winner wa hii Cinema/Ze-comedy ni Membe, na the losers ni sisi wananchi wa Tanzania, kwa sababu in the process ya hii experiment a lot of damage has been done kwa political system yetu na hasa morale ya wapiganaji, na haiwezi kuwa repaired mpaka yafanyike mabadiliko ya katiba ya Jamhuri, ambayo yatazibana nguvu za chama tawala, chochote kile mbele ya safari.

- Walichofanya mafisadi kwenye hii Cinema ni kupanda mbegu za mbele ya safari ya 2015, ambako wana uhakika wa kuchukua power kwa 100%, kwa sababu dalili ziko wazi hapa, kwamba Muungwana anawahitaji kushinda tena 2010, na ninaamini kwamba ameshakata nao deal, akiamini kwamba anaweza kuwachezea akili mwishoni mwa 2015 halafu ampitishe Membe, by then wapiganaji wa kumsaidia hawatakuwepo tena na Muungwana for the first time atalipa the price kama ya Mkapa, atakabwa koo na kuwapa urais mafisadi, ambao watamchafua kila kona na kuua kabisa jina lake politically, kama umejifunza one thing kwenye hiii Cinema ya juzi, ni kwamba mafisadi they do not play, wakikupata wanakumaliza hawana huruma.

- Muungwana hawezi tena kutudanganya wabongo ni kwamba anawachukia mafisadi, na anajua ili abaki kwenye power ni lazima awe sawa nao kama alivyofanya hiki kikao cha NEC. Dodoma juzi mstari umechorwa rasmi asiyeweza kuusoma vizuri shauri yake!

Mungu Aibariki Tanzania.

Respect.

Field Marshall Es!
 
Hiyo statement haiktumiwa kwa usahihi, kile ni kikao cha NEC na hata kiwete pale alikuwa kama mwenyekiti wa chama na siyo kama rais wa nchi au Amiri Jeshi mkuu, sasa mtu anaposema kuwa ameshindwa kulinda hadhi ya spika, spika yupi? CCM ina bunge lake? Sita ni spika wa bunge la CCM?

Ninavyojua pale Sita alingia kama mjumbe na mwanachama wa chama cha Mapinduzi na siyo kwa ubunge wake wala vinginevyo.Tuwe waangalifu sana tunapotaka kujadili mijadala mhimu kama hii otherwise tutakuwa tunajadili upuuzi tu.Assume kama spika angekuwa anatoka CUF or CHADEMA wangeandikaje?
Mkuu hata mimi nakubaliana sana tu na wewe isipokuwa baada ya kuona yaliyoajiri huko Dodoma inaonyesha Sitta aliwekwa kitimoto kama Spika wa Bunge na sii kwa kosa la mjumbe au mwanacham wa CCM...Hukumu ya kumnyang'anya kadi ingetokana na kutoridhika na jinsi anavyoliendesha Bunge akiwa Spika..
Hapo ndipo utata unapokuja..
 
By the time mtakapojua kuwa Siita ni msanii tu mtakuwa mmechelewa sana.

The whole thing ni comedy kama kweli ana uchungu simple atoke huko ajiunge na wapiganaji wa kweli badala aya kutuchezea game. Huyu jamaa ni mjanja sana anauma na kupulizia, subiriini muda si mrefu rangi zake halisi zitaonekana.

Ushirika wa wachawi haudumu! Tanzania bila wachawi hawa yawezekana.

- Btw Mkuu Masatu, "the whole thing" = CCM, NEC, CC, Bunge au Tanzania?!!
- "wapiganaji wa kweli" = CCM asilia, CCM mtandao, CUF, Chadema, TLP, JF, FisadiMapapa au Nyangumi?!
 
Pdidy,

..kwa hali ilivyo sasa hivi CCM yote imeoza.

..Samuel Sitta ameoza, na hata Mzee Mwinyi[kabla hajaonja rushwa] alimuona hafai akamtema ktk baraza la mawaziri. inawezekana nyinyi mna umri mdogo lakini ulizeni uozo wa Samwel Sitta alipokuwa waziri wa ujenzi na waziri ustawishaji makao makuu Dodoma.

..kituko kingine walichofanya CCM ni kuwateua Mzee Mwinyi, Abdulrahman Kinana na Pius Msekwa kushughulikia suala hili.

..hivi wa-Tanzania hatujui kwamba Mzee Mwinyi ni mchafu na serikali yake ilijaa rushwa? mbona hata Baba wa Taifa alilisema hili? hivi tumesahau kwamba alimtoa kifungoni jamaa aliyefungwa kwa kukamatwa akitorosha dhahabu?

..Abdulrahman Kinana naye si ndiyo msharika mkubwa wa kampuni iliyomilikishwa kifisadi eneo la Loliondo? sasa huyu naye amekabidhiwa jukumu la kuisafisha CCM.

..mwisho, JK hawezi kuchukua hatua yoyote ile kwasababu na yeye amefadhiliwa na haohao mafisadi ktk kampeni zake za kugombea uraisi tangu mwaka 95.

..msijidanganye kwamba CCM inaweza kuwashughulikia mafisadi. Mwinyi alikuja na fagio la chuma, baadaye akapata waalimu wa rushwa. Mkapa naye alikuja na moto mkali kila wakati amenuna, na tunajua aliishia wapi.

..Dawa ni kuiondoa CCM madarakani, kuwaruhusu waendelee ni kuruhusu kundi moja la mafisadi lishughulikie kundi lingine la mafisadi.

NB:

..Samuel Sitta alikuwa ni mwanamtandao mkubwa. sasa hakuona kampeni chafu, na pesa za wizi, zilivyotumika wakati wa uchaguzi?

Jokakuu:

Nimesoma thread nyingi kuhusu Sitta na nimeona kuwa watanzania tuna vichwa vya panzi kwa kusahau haraka haraka.

Sitta kama sikosehi alikuwa waziri na baadaye akapigwa ukuu wa mkoa baada ya kuboronga. Hiki ni kipindi cha mzee Mwinyi.

Na kwenye nafasi yake ya mkoa alikuwa hakai kazi kuzurura. Na Mzee Mwinyi alipofanya ziara mkoani, Sitta alikuwa hayupo na ikabidi afukuzwe ukuu wa mkoa.

Lakini bado alibakiza ubunge wake. Na kwa matamko yake alikuwa anasema atafanya machachari bungeni mpaka arudishwe kwenye baraza la mawaziri. Hivyo machachari yake mengi yana self motivations ambazo hazina faida yoyote kwa taifa.

Baadaye ulitokea mtafaruku wa serikali tatu ukiongozwa na lile kundi 55 (G55), mara sita akawa waziri wa sheria na katiba. Na machafuko yote bungeni yakatulia. Na mtu yoyote mwenye listi ya G55 naomba aangalie kama huyu jamaa alikuwemo na alifanya nini baada ya kupata uwaziri.

Tukirudi kwenye suala la Richmond, huyu jamaa alikuwa tayari kulifanya bunge lisubiri mpaka atakaporudi kutoka Marekani. Na kuna posti nyingi hapa JF zinazoonyesha kuwa huyu jamaa hakutaka kuwasilisha ripoti.

Leo hii huyu ndio anakuwa shujaa. Ukweli wa mambo huyu sio Lyatonga Mrema.

Huyu jamaa ni like kundi la mawaziri wa toka enzi ya Nyerere ambao wakipoteza nafasi za uwaziri walikuwa wanarudi bungeni kupiga makelele hili warudi tena kwenye nafasi za uwaziri. Na wakipata nafasi hawachelewi kuboronga.
 
"Naye mwenyekiti Kikwete,pamoja na kusema kuwa anampongeza Sitta kwa ujasiri wake, alionyesha wasiwasi wake jinsi spika anavyoendesha shughuli zake.

Alisema mambo ya ufisadi wanayojadili sharti iwe kwenye vikao vya chama na siyo bungeni; kwani yakipelekwa bungeni wanakuwa wameifanyia kazi kambi ya upinzani."

Watu wanaliibia taifa maksudi tena wakajadiliwe na kikundi fulani tu ndani ya chama chao cha siasa? Sasa si bora tu tusiwe na Bunge, maana sasa inaonekana kazi zake kumbe zinaweza kufanywa na chama tawala. Hawa wanachama mafisadi iwapo kweli wanakipenda chama chao na wanataka kiendelee kuongoza dola si waache kuiba ili chama chao kiendelee kuwa na imani na wanachi na pia kiendelee kushika dola?
 
Zakumi said:
Jokakuu:
Nimesoma thread nyingi kuhusu Sitta na nimeona kuwa watanzania tuna vichwa vya panzi kwa kusahau haraka haraka.

Sitta kama sikosehi alikuwa waziri na baadaye akapigwa ukuu wa mkoa baada ya kuboronga. Hiki ni kipindi cha mzee Mwinyi.

Na kwenye nafasi yake ya mkoa alikuwa hakai kazi kuzurura. Na Mzee Mwinyi alipofanya ziara mkoani, Sitta alikuwa hayupo na ikabidi afukuzwe ukuu wa mkoa.

Lakini bado alibakiza ubunge wake. Na kwa matamko yake alikuwa anasema atafanya machachari bungeni mpaka arudishwe kwenye baraza la mawaziri. Hivyo machachari yake mengi yana self motivations ambazo hazina faida yoyote kwa taifa.

Baadaye ulitokea mtafaruku wa serikali tatu ukiongozwa na lile kundi 55 (G55), mara sita akawa waziri wa sheria na katiba. Na machafuko yote bungeni yakatulia. Na mtu yoyote mwenye listi ya G55 naomba aangalie kama huyu jamaa alikuwemo na alifanya nini baada ya kupata uwaziri.

Tukirudi kwenye suala la Richmond, huyu jamaa alikuwa tayari kulifanya bunge lisubiri mpaka atakaporudi kutoka Marekani. Na kuna posti nyingi hapa JF zinazoonyesha kuwa huyu jamaa hakutaka kuwasilisha ripoti.

Leo hii huyu ndio anakuwa shujaa. Ukweli wa mambo huyu sio Lyatonga Mrema.

Huyu jamaa ni like kundi la mawaziri wa toka enzi ya Nyerere ambao wakipoteza nafasi za uwaziri walikuwa wanarudi bungeni kupiga makelele hili warudi tena kwenye nafasi za uwaziri. Na wakipata nafasi hawachelewi kuboronga.

Zakumi,

..inabidi historia ya Samwel Sitta ifuatiliwe ili wananchi waelewe wana-deal na mtu wa aina gani.

..kwa ninavyomuelewa mimi Sitta siyo msafi, na zaidi he is not a presidential material.
 
Sitta mwenyewe fisadi, or at the very least hawezi kusimamisha ufisadi na/ au anaudekeza na kunufaika nao.

So the whole premise of your argument, which is based on the valor of Sitta's anti-ufisadi move, is flawed.
Fine, but you missunderstood the basic argument "CCM imeweza kuvisambaratisha vyama vya upinzani kwa kutumia mbinu ya kupandikiza viongozi ndani ya vyama na hata kupandikiza vyama" na
"Katika vita pia, ukiweza kuwa na askari wako ndani ya adui yako (makachero), basi kushinda ni rahisi maana siri zao utazijua mapema kabla hujashambuliwa. Kwa mantiki hayo......"

Msingi ni kuwa na mtu/watu ndani ya CCM ambaye atafanya kazi ya ukachero kwa manufaa ya watu. Nimesema, CCM imepandikiza watu ndani ya vyama vya upinzani na ndiyo sababu inaweza kuvisambaratisha, hivyo kuwa na watu wapinzani ndani ya CCM itasaidia kuisambaratisha CCM. Watu wa aina hii ndio nimewapa jina "akina Sitta". Maana yake siyo lazima awe Sitta mwenyewe, ila watu wenye mawazo tofauti na mafisadi wa CCM. Kama umezama kwenye fasihi bila shaka utanielewe.
Anyway, asante kwa mchango wako!
 
Kama NEC ya chama inamjadili na kumpa onyoo kalii sioni nafasi yake zaidi ya kuisikiliza nafsi yake na kuamua kwa ajili ya ukombozi wa umma.

Sitta kama kweli anaamini kile anachokitetea na ndani ya chama chake hawataki kumuunga mkonoo basi hana budii kuwa mpambanaji nje yao ili asaidie kasi ya mabadilikoo..

natambua SITTA hana rekodi ya kubwa ya kijamii kulinganisha na muda aliotumikia taifa katika ngazi nyingii kubwaa ila baada ya uspika tayari amejijengea uhalali wa kiongozi anayeweza kupambana na kuleta mabadilikoo.. mtaji huo ni muhimu na bora akaendeleza rekodi kwa kuwa mpambanaji kweli..

SITTA na Mkewe ni makada wa CCM waliobahatika kupata nyadhifa za juu kiuongozi na kuwa sehemu ya muda mrefuu ya aina hii ya uongozi sasa ni wakati wa kutambua pia kama alivyoeleza kwenye kikao cha NEC ''KOSA SI KOSA ILA KOSA KURUDIA KOSA basi na kwa wananchi asirudie KOSA...
 
Nani anayeshanga Mkuu kumsaliti Sitta now?😕
Kawaiada yake nyie si mnaona jinsi alivyowasaliti watanzania na hasa waliompigia kura
kamsalitii kivipii??

Muungwana kama mwenyekiti wa chama asiyependa kulumbana na wabaya wake huwa anaacha mambo yaendee yenyewee hukuu akichekeleea kivyakee..

sitta ni msanii tuu hana nia moyoni kwani hata jana Pengo kaonya wanaotafuta umaarufu kwenye vita ya ufisadi kwa kuwa wao tuu HAWANA NAFASI YA KUKWAPUAAA...tehe tehe teheeeee
 
kikwete kazi ilishamshinda tangu alipompa kazi edo maana nyerere alishasema yule hafai..hivyo wenye akili kwa kuona edo kapewa tukajua kikwete nae ni mshirika wa ufisadi..period.
hawezi mkemea mtu ka RA
 
Pdidy,

..kwa hali ilivyo sasa hivi CCM yote imeoza.

..Samuel Sitta ameoza, na hata Mzee Mwinyi[kabla hajaonja rushwa] alimuona hafai akamtema ktk baraza la mawaziri. inawezekana nyinyi mna umri mdogo lakini ulizeni uozo wa Samwel Sitta alipokuwa waziri wa ujenzi na waziri ustawishaji makao makuu Dodoma.

..kituko kingine walichofanya CCM ni kuwateua Mzee Mwinyi, Abdulrahman Kinana na Pius Msekwa kushughulikia suala hili.

..hivi wa-Tanzania hatujui kwamba Mzee Mwinyi ni mchafu na serikali yake ilijaa rushwa? mbona hata Baba wa Taifa alilisema hili? hivi tumesahau kwamba alimtoa kifungoni jamaa aliyefungwa kwa kukamatwa akitorosha dhahabu?

..Abdulrahman Kinana naye si ndiyo msharika mkubwa wa kampuni iliyomilikishwa kifisadi eneo la Loliondo? sasa huyu naye amekabidhiwa jukumu la kuisafisha CCM.

..mwisho, JK hawezi kuchukua hatua yoyote ile kwasababu na yeye amefadhiliwa na haohao mafisadi ktk kampeni zake za kugombea uraisi tangu mwaka 95.

..msijidanganye kwamba CCM inaweza kuwashughulikia mafisadi. Mwinyi alikuja na fagio la chuma, baadaye akapata waalimu wa rushwa. Mkapa naye alikuja na moto mkali kila wakati amenuna, na tunajua aliishia wapi.

..Dawa ni kuiondoa CCM madarakani, kuwaruhusu waendelee ni kuruhusu kundi moja la mafisadi lishughulikie kundi lingine la mafisadi.

NB:

..Samuel Sitta alikuwa ni mwanamtandao mkubwa. sasa hakuona kampeni chafu, na pesa za wizi, zilivyotumika wakati wa uchaguzi?

Watu wengi wanasema kuiondoa CCM, lakini watanzania wataweza kuiondoa CCM wakatu tume ya uchaguzi ni ya CCM nayo pia imejaa ufisadi, bado sijasikia mchango wa kuindoa tume iliyopo kwanza na baadaya kumaliza na kuitoa CCM, nemesikia NCCR watoa siku kadhaa ifanyiwe mabadili la sivyo watakwenda mahakani na hawa ndio wakuungwa mkono kwanza ndio kumalizia na kuitoa CCM.
 
kwanza kamsaliti nini?Sitta ni mwanasiasa mzuri.kama anchojua anachokifanya then haitaji kulindwa.ulitaka JK asimame awaambie acheni kumlaumu Sitta?alichofanya ni kuwaacha kila mmoja atoe lawama zake na Sitta ajikwamue mwenyewe.
Kila kitu Kikwete!
 
Back
Top Bottom