Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,932
- 7,764
Haaa! upo right! JK ni mjanja = Smart; he needs both money and votes; so he has to play his Smart Card both ways: For one side he needs money to steal the votes; in the other side he needs the people (playing as if he is clean)Mag3,
Jibu lako rahisi sana.. Alichofanya JK ktk kikao hicho ndicho alichofanya Sitta Bungeni. Sasa kama Sitta analaaniwa kwa kulifanya Bunge kuwa sehemu ya kuibua mashitaka, kuendesha kesi na kutoa hukumu, badala ya kuwa chombo cha kutunga sheria, Unafikiri JK kafanya nini pale mkutano mkuu wa chama ambacho ni tofauti na Sitta?..
JK kaachia vurugu lipambe ktk mkutano muhimu wa chama... tumeona mashtaka, kuendeshwa kwa kesi, na hukumu zikitolewa badala ya kupanga mikakati endelevu ya chama..lengo lake ni ktk kutaka mafisadi wajitokeze kama Sitta alivyowakoroga Mafisadi bungeni.
Unless unataka kunambia Sitta hakujua alichokuwa akifanya Bungeni hivyo yawezekana kabisa hata JK hakufahamu jinsi ya ku deal na swala hilo ktk kikao hicho. Na hata kama hakujua kumbuka agenda hizi hupitiwa na baraza klabla hawakubali ziwekwe mbele.. pale mchezo ulishapangwa mkuu wangu.. ruksa haikutoka bure!
JK kama mwenyekiti angeweza kabisa kuiondoa mada hiyo ktk agenda za mkutano lakini aliachia wazi kama alivyokuwa akiachia Sitta habari za mafisadi..Jmimi nadhani JK kawavuruga CCM kuliko hata Sitta bungeni kwani sasa hivi uhasama wao uko nje nje..wanajua nani yuko upande gani.
Umenipata mkuu wangu...
Yes smart boy - Mjanja