chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
5,173
2,000
kuna vitu ukitaka kujua kwandani tanzania hii.utapotea au kukoswa koswa
IMG_0996.jpg
 

NewOrder

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,930
2,000
Nahisi huenda kuna kikundi wametumwa na nchi jirani wachafue kikosi chetu Cha makomandoo, hii haijakaa sawa,JWTZ ni jeshi lenye sifa nzuri kimataifa

BS!! Una tabia ya udhaifu na ndio inayopelekea kusema “tunaonewa wivu”, “maadui wa ndani na nje”, “Mungu katuponya na covid” na sasa hii “wametumwa na nchi jirani”. Ukiambiwa utaje nchi jirani unabaki kama fuu la nazi!! Tabia ya kujiona tuko special hasa ndio udhaifu wetu - eti JWTZ ina sifa nzuri kimataifa! Kwa wanayoshutumiwa kufanya ni jeshi ndio limefanya? Au una tabia za “samaki mmoja akioza wote wameoza”?

Kwani nchi hii haina uhalifu sawa sawa na wema? Ujinga ni mzigo mzito sana, utue upumzike!
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,613
2,000
BS!! Una tabia ya udhaifu na ndio inayopelekea kusema “tunaonewa wivu”, “maadui wa ndani na nje”, “Mungu katuponya na covid” na sasa hii “wametumwa na nchi jirani”. Ukiambiwa utaje nchi jirani unabaki kama fuu la nazi!! Tabia ya kujiona tuko special hasa ndio udhaifu wetu - eti JWTZ ina sifa nzuri kimataifa! Kwa wanayoshutumiwa kufanya ni jeshi ndio limefanya? Au una tabia za “samaki mmoja akioza wote wameoza”?

Kwani nchi hii haina uhalifu sawa sawa na wema? Ujinga ni mzigo mzito sana, utue upumzike!
Hao walinzi wa mbowe hawana kosa lolote lile hata jwtz haina kosa lolote kwa hakuna ugaidi wowote, mwenye kosa ni yule aliyewabambikia ugaidi kuwasingizia uongo, kwa kifupi aliyetengeneza hiyo kesi ndiyo kaichafua jwtz kwa hakukuwa na haja ya kesi kuwepo kwa maana kuwa hakuna Ugaidi.
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,613
2,000
Siasa ikiingia jeshini...
Jwtz wamedhalilishwa na Polisiccm kwenda kuwafunga pingu miguu mikono kuwapiga Asikari wao kwa kesi ya uongo kwa visingizio vya ugaidi ambao haupo na haujawahi kuwepo, jwtz kubariki ubambikiwaji kesi wa Polisiccm ndipo walipokosea, hayo ndiyo madhara ya kuwabambikia kesi wapinzani pasipo kutafakari kabla
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,613
2,000
Nahisi huenda kuna kikundi wametumwa na nchi jirani wachafue kikosi chetu Cha makomandoo, hii haijakaa sawa,JWTZ ni jeshi lenye sifa nzuri kimataifa
Polisiccm na CCM wenyewe ndiyo wamelichafua jeshi la wananchi kwa kukurupuka kutengeneza kesi ya kubambika pasipo kutafakari kabla
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,613
2,000
Siku za hivi karibuni kikosi hiki kimetajwa sana na kusikika sana ndani ya nchi, nimejiuliza maswali mengi, huko Jeshini kuna tatizo gani? na kwenye hiki kikosi cha 92 KJ kuna nini haswa? maana tunaambiwa wanajeshi kutoka kikosi hiki baadhi wanatuhumiwa kwa ugaidi, wengine wapo mahakamani, wengine kwa mujibu wa maelezo wapo vituo vya Mbweni au Tazara na kwa mujibu wa maelezo wanateswa, na wengine kwa mujibu wa maelezo washauawa.

Sasa nabaki najiuliza, huko kikosini kuna tatizo gani haswa lilitaka kutokea au hawa vijana wa kikosi hiki walifanya jambo gani hadi wakafanyiwa haya yote? na je hii ndo ilionekana adhabu murua kwao? hakukua na adhabu nyingine ya kuwapa?

Naamini mkuu wa majeshi anajua hili swala vzr na majenerali wenzake, ingekuwa vyema akatoka hadharani akaeleza umma ni nini kinatokea katika kikosi hiki au pengine na vikosi vingine au labda vijana wake ni watukutu au walipanga njama iliyotibuliwa aseme.

Siyo dhambi na hatakuwa amevunja kanuni za kijeshi kwa kuliongelea hili swala, kuliko kutesa binadamu mwenzio kiasi kile ni bora akaeleza umma ni nini kilijili na wanafanyaje kutatua tatizo hili.
Tambua kuwa jwtz hakuna Tatizo na hao walinzi wa mbowe wawili hawakuwa watumishi wa jwtz, bali walikuwa tayari nje ya utumishi isipokuwa wawili LT Urio na mwenzake ambao ni ndugu wa mbowe lakini waliwasaidia wenzao kupata ajila ya Ulinzi kwa mbowe, jwtz hawana kosa hata waliomsaidia mbowe kupata walinzi hawana kosa kwani mbowe ana haki ya kulindwa kujilinda, Tatizo ni Polisiccm kushikana na DC wa kipindi hicho wanatengeneza kesi ya kubambikia mbowe na walinzi wake pasipo kutafakari kabla, mwenye kosa ni yule aliyekaa kubuni kutengeneza kesi za kuwabambikia wapinzani
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,613
2,000
Wanasheria watuambie kama kesi hii itakuwa upande wa utetezi wakashinda - what is impact kwa kesi ya msingi?
Jaji akisimama na Sheria katiba ya Nchi lazima mbowe ashinde kesi lakini endapo jaji atajitoa fahamu apindishe Sheria awape ushindi CCM hapo lazima mbowe na wenzake wakate rufaa kwanza
 

ndammu

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
2,467
2,000
... sio ushindi kwa akina Mbowe; ni DPP hana nia ya kuendelea na kesi tena; hii hufanyika kabla mahakama haijatoa hukumu. Kesi itafunguliwa upya kwa ushahidi ulioboreshwa.
Kwahiyo lengo si kumkuta na kesi lengo ni kumdhalilisha.

Kama mwanzo hajakutwa na hatia unamuachia unamkamata tena lengo ni lipi sasa hapo?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,753
2,000
Kwahiyo lengo si kumkuta na kesi lengo ni kumdhalilisha.

Kama mwanzo hajakutwa na hatia unamuachia unamkamata tena lengo ni lipi sasa hapo?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
... DPP halazimiki kutoa sababu yoyote anapomwachia mshtakiwa Mkuu hivyo hatuwezi kujua "yaujazayo moyo wake". Hii ni miongoni mwa sheria zizopigiwa kelele.
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,613
2,000
Kutengeneza kesi ya kubambika kumeleta Aibu kwa Serikali ya CCM kwani waliokusudia kuwabambikia kesi sasa wanawaumbua zaidi hata jwtz imedhalilishwa kwa ofisa wake Lt Urio kuteswa bure kwa kesi ya ugaidi hewa, ugaidi ambao haukuwepo, yeye alimsaidia mbowe walinzi ambao siyo watumishi kwani walikuwa nje ya kikosi lakini kwa chuki za kisiasa wakaenda kubambikiwa kesi za ugaidi feki, ni uonevu uovu na manyanyaso ya kishamba na kishetani, hii utumike kama fundisho kwa CCM na Polisiccm waache kuwabambikia kesi wapinzani pasipo kutafakari kabla.
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,613
2,000
ndio mahojiano ya mallya na shahidi utetezi sijaelewa hatakidogo
Haujaelewa nini? Mbona kila kitu kipo wazi, fuatilia vizuri utaelewa kuwa Polisiccm wamefanya uonevu mkubwa kwa kuwapiga kuwafunga pingu mikono miguuni mda wote kwa tuhuma za ugaidi ambao haupo na haijawahi kuwepo
 

mkamanga original

JF-Expert Member
Jan 21, 2015
601
1,000
Kwa maisha haya unafikiri watoto wa Linjenje wakikua halafu wakakutana na watoto wa Kingai na Mahita, si inaweza kutengenezwa move kama ya mithun chakraboth
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom