Kihava

JF-Expert Member
May 23, 2016
4,823
2,000
Fafanua kivipi. Kesi ngumu hii.
NI KWELI KESI NGUMU HII. KESI YA WATU WAZITO WA JESHI WENYE SIRI ZOTE ZA JIKONI. HAKUNA HAJA YA MAKOMANDOO WA JESHI HASA JWTZ KUHOJIWA HADHARANI ETI WAKILI KABISA WA SERIKALI ANAHOJI "KULE JESHINI NA KWENYE MAFUNZO YA UKOMANDOO MNAJIFUNZA NINI?", "MAFUNZO GANI YAPO KULE KAMBINI WANAKOJIFUNZA UKOMANDOO?". NASHANGAA AMIRI JESHI MKUU NAYE ANAACHA SIRI ZA ULINZI NA USALAMA WA NCHI YETU ZIZIGAE DUNIANI. NI HATARI MNO! SITAKI KUJITAMBULISHA MIMI NI NANI LAKINI KWA KWELI NI HATARI MNO! TENA MNO! USIONE TU KUNAKUCHA UNAAMKA UKAENDA KWENYE SHUGHULI ZAKE. WENYE MAMLAKA MAKUU WAKITUJUA JIKONO TUNAPENDELEA KUPIKA CHAKULA GANI BASI WATATUNUNULIA HICHO CHAKULA NA OLE WAKO ULE. UMEKWISHA!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom