King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,241
- 2,678
Ajabu ubabe wa maalim hana hata sindano mfukoni lakin wenye mitutu ya bunduki wanahangaika,wanaanza kufutana kaziHuyu Maalim seif ubabe wake umesababisha watu wafukuzwe kazi
Huyu Mzee akahojiwe
Labda haki yake kuwapa lawama askari,lakin kama anaweza aende yeye kumzuia maalim asifanye siasa kama rahisi,maalim hazuiliki
mchawi ni maccm, ona sasa policmm washapewa kibanoMchawi wa wapemba ni wapemba wenyewe
Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni amemwagiza IGP Sirro kuwavua vyeo RPC wa Kusini pemba Hassan Nasir Ally na RPC wa Kaskazini Pemba Shekhan Mohamed kwa kosa la kumwacha Jabali Maalim Seif kuhutubia wananchi wa Pemba , huku siasa za majukwaani zikiwa zimekatazwa
Basi nawe ni muovu tu kama yeyeMasauni tunamlinda tu , tukiamua kufukua uozo wake atakimbia
Mkuu sikiliza ya 2001 sio ya leo hata wewe ulipokuwa 2001 kimaisha sio ulipoleo.ndammu,
Mwaka 2001 ulikuwa na umri gani mkuu? Kawaulize waliokimbilia shimoni
ACT ni wapinzani pia ndiyomaana MaCCM imebidi muwafukuze kazi polisi waliotoa fair ground.
Ww huyo nikipenzi cha watu ktk nyoyo za watu huyo hata asisifiwe ktk vyombo vya habari na magazeti watu wanampenda ktk nyoyo zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni juzi tu Katibu mkuu wa CCM alikuwa Pemba akifanya mkutano.Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni amemwagiza IGP Sirro kuwavua vyeo RPC wa Kusini pemba Hassan Nasir Ally na RPC wa Kaskazini Pemba Shekhan Mohamed kwa kosa la kumwacha Jabali Maalim Seif kuhutubia wananchi wa Pemba , huku siasa za majukwaani zikiwa zimekatazwa
---
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Hamad Masauni amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro kuwaondoa makamanda wawili wa polisi kisiwani Pemba kwa kushindwa kuzuia mikutano ya Mshauri wa chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad.
Masauni ametoa agizo hilo leo Alhamisi Desemba 12, 2019 katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Unguja.
Amesema kwa muda mrefu kisiwa cha Pemba kimekuwa na matukio yasioridhisha jambo linaloashiria kuwa wameshindwa kazi.
Makamanda hao ni Hassan Nassir Ally wa Mkoa wa Kusini Pemba na Sheikhan Mohamed Sheikhan wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Akitoa mfano wa matukio hayo, Masauni amesema Maalim Seif anafanya mikutano kila kona huku ikijulikana kuwa imezuiwa.
Amesema sababu nyingine ni kutojengwa nyumba za polisi kisiwani humo licha ya Serikali kutoa maagizo.
View attachment 1289883