Maalim Seif awaponza viongozi wa Jeshi la Polisi Pemba, yaamriwa wavuliwe vyeo

Kangi Lugola yuko wapi akanushe habari hii?
ALIWAHI KUSEMA JESHI LA POLISI HALIFANYI KAZI KWA MAAGIZO YA CHAMA CHOCHOTE.
unamuamini huyu ?
SURATI ZUBAA  Ndio surati zubaa, pengine tumesomewa, Sivyo tusingebung'aa, wakat ( 640 X 640 ).jpg
 
Huku Kabudi anazunguka anaiambia Dunia kuwa mikutano ya kisiasa Tanzania haijazuiliwa muda huo huo kuna mtu anaagiza polisi wafukuzwe kushindwa kuzuia mikutano ya kisiasa,mnafikiri hawajui kinachoendelea Tanzania ,Sithole State

Watanzania tutaendelea kuwa misukule mpaka lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni shit kwakua na wewe unaishi humuhumu Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafikiri wazanzibari wanaweza kutishwa kama Muroto anavyowatisha Wagogo.
 
Amesema sababu nyingine ni kutojengwa nyumba za polisi kisiwani humo licha ya Serikali kutoa maagizo.
Sasa kwanini wasitumie ofisi za CCM kwa sababu ni vigumu kutofautisha
Kwani sasa hivi kuna jumuiya ya Polisi ccm jumuiya mpya hii
 
Na isi
Huo ni udhibitisho kuwa nguvu pekee ya ccm ni matumizi ya vyombo vya dola. Hizo hofu anazopandikiza huyo waziri, ndio huwafanya viongozi wengine wa jeshi la polisi kutii lolote wanaloogizwa dhidi ya haki za wapinzani, na wengine huenda mbali mpaka kufanya mauaji au kuleta vilema ili kulinda vyeo. Hivyo vyombo vya dola ndio pekee vinavyoendelea kulinda uwepo wa ccm hapa nchini.
[/QUOTE
Na isitoshe ile Ni nchi nyingine
 
Back
Top Bottom