Jiwe la kudumu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 301
- 245
Kifungu gani cha sheria au katiba kinachomzuia kufanya mikutano? Anatekeleza haki yake ya kikatiba mlipaswa kumpa ulinzi sio kuwatoa watu kafara kwa kuitii na kuitekeleza katiba ya nchi
Huyu Maalim seif ubabe wake umesababisha watu wafukuzwe kazi
Huyu Mzee akamatwe akahojiwe sasa
Ww huyo nikipenzi cha watu ktk nyoyo za watu huyo hata asisifiwe ktk vyombo vya habari na magazeti watu wanampenda ktk nyoyo zaoHuyu Maalim seif ubabe wake umesababisha watu wafukuzwe kazi
Huyu Mzee akahojiwe
subiri kwa huu ushenzi wa ccm tunakoelekea jeshi litagawanyika watiifu kwa serikali na watiifu kwa wananchi kama Congo na Somalia,hii kitu ccm inatafuta kwa muda mrefu wataipataHuyu Maalim seif ubabe wake umesababisha watu wafukuzwe kazi
Huyu Mzee akamatwe akahojiwe sasa
ha ha ha, maajabu 7 ya dunia sasa yapo TZ...njooni mshuhudieNaibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni amemwagiza IGP Sirro kuwavua vyeo RPC wa Kusini pemba Hassan Nasir Ally na RPC wa Kaskazini Pemba Shekhan Mohamed kwa kosa la kumwacha Jabali Maalim Seif kuhutubia wananchi wa Pemba , huku siasa za majukwaani zikiwa zimekatazwa
Wote ni wakataa ccm na vibaraka wao. Safari yao ni moja ila wametofautiana njia tu.
Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni amemwagiza IGP Sirro kuwavua vyeo RPC wa Kusini pemba Hassan Nasir Ally na RPC wa Kaskazini Pemba Shekhan Mohamed kwa kosa la kumwacha Jabali Maalim Seif kuhutubia wananchi wa Pemba , huku siasa za majukwaani zikiwa zimekatazwa
Nani kafukuzwa ndugu?Huyu Maalim seif ubabe wake umesababisha watu wafukuzwe kazi
Huyu Mzee akahojiwe
Hoja gani aliyoieleza hapo. Unafikiri wapemba ni wapuuzi kama nyinyi.Matusi ya nini mkuu? Jenga hoja!