Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,837
- Thread starter
- #61
ACT kuibiwa kura ndio kitu ambacho kilitakiwa kujadiliwa kwa nguvu na CDM na kuiuliza CCM maswali kuwa walikuwa wanamsingizia Magufuli huku wao wanafanya hayo hayo, Cha ajabu Chadema wanaipongeza CCM na kuicheka ACTWanashangilia au kueleza hali halisi? Bila kubadilisha mifumo haya mambo hayataisha
Watu wa ajabu sana yaani wanalaumu Chadema kwa CCM kuiba kura. Kwanini hauongelei kura kuibiwa wewe unaona hiyo ni sawa ! Badala yake unaongelea watu wanaocheka wakati demokrasia inadidimizwa halafu unajifanya eti mzalendo 😂