Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,064
- 22,757
- Thread starter
- #41
Hawa Wabunge wapuuzi kweli kweli...halafu yuko mwendakuzimu moja aliamua kuligeuza bunge kuwa tawi la CCM na ya kumkuta yakamkuta! Kendakuzimu na kayaacha haya mavilaza...
Nawaomba Watanzania wazalendo wenye uchungu wa kweli na taifa letu taifa letu, popote walipo na kwa nafasi walizo nazo hili bunge lipigwe vita kwa silaha zote wakati tukipigania Katiba mpya. Mwokozi wetu ni Katiba tu hakuna njia ya mkato.