Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

Hawa Wabunge wapuuzi kweli kweli...halafu yuko mwendakuzimu moja aliamua kuligeuza bunge kuwa tawi la CCM na ya kumkuta yakamkuta! Kendakuzimu na kayaacha haya mavilaza...


Nawaomba Watanzania wazalendo wenye uchungu wa kweli na taifa letu taifa letu, popote walipo na kwa nafasi walizo nazo hili bunge lipigwe vita kwa silaha zote wakati tukipigania Katiba mpya. Mwokozi wetu ni Katiba tu hakuna njia ya mkato.

 
Kwa kweli hili bunge linatia aibu...CCM imeligeuza bunge badala ya kuwa mtetezi wa wananchi, linatumika kukomoa wananchi!
 
Kipato cha mbunge...

Mbunge analipwa mshahara wa sh 3,800,000 kwa mwezi, Anapata posho sh 8,000,000 kila mwezi, jumla 11,800,000.
Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao sh. 240,000 na posho ya kujikimu sh. 120,000, jumla 360,000.

Kwa kuwa Bunge la bajeti linakaa kwa miezi mitatu, akihudhuria vikao vyote anapata 32,000,000 (wastani wa 10,000,000 kwa mwezi)
Katika miezi mitatu ya bunge la bajeti Mbunge ana uhakika wa kukunja 22,000,000 kila mwezi.

Kwa kifupi ni kwamba wanavuna kwenye shamba ambalo hawakushiriki kulilima.

Na hapo hatujaongelea...
  • Mkopo wa gari ............................. 90,000,000!
  • Kiinua mgonggo......................... 240,000,000!
Vipi mshahara akiwa waziri, allowances za mawasiliano, malazi, bima ya afya na matengenezo ya magari?
 
Kwa hiyo tuseme adui mkubwa wa maendeleo na uhuru wa taifa letu ni Bunge.
Bunge ni kupe,bunge limegeuka wanyonyaji,bunge ni kikwazo cha mwananchi wa kawaida,bunge ni kinyume cha Azimio la Arusha, Bunge ni fursa ya kula bila kunawa,ni bunge ni biashara kubwa isiohitaji mtaji mkubwa.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Vipi mshahara akiwa waziri, allowances za mawasiliano, malazi, bima ya afya na matengenezo ya magari?
Adui namba wani wa taifa hili ni hili genge la vilazi, CCM! Bunge la wahuni ni zao la chama cha wahuni, CCM.
 
Back
Top Bottom