- Thread starter
- #221
itakuaNi mume wa mtu huyo ndiyo maana...
itakuaNi mume wa mtu huyo ndiyo maana...
penxiTutajie hilo hitaji la kwanza kwa mwanamke ni nini?
Je ni kwa kila mwanamke?
okww unahtaj upendo wa namna gani,camoon!,relax
GeniusTwende mbele turudi Nyumba kuna kitu kinaitwa "AFFECTION" T matters the most to women n that's y wengi tumeshangazwa na kumuona Dada hana akili but assume huyu Dada anapata kazi na kujiweza kiuchumi do u think huo uhusiano utaendelea?ts likely utakua na Dada atafall kwa MTU asiye na mbele wala nyuma n that's how t is
hata ukimpata utaongea tuuI wish ningempata wa kunihudumia kila kitu kama ww hata nisingelalamika duuh
hahaha1.kila kitu anakuhudumia
2.Ukienda anakupiga nao mjeredi hadi unakojoa bila kipimo
3.Ukiwa na hamu unamfuata bila hata kukataa
SASA unataka nn zaidi?Una asili ya uchawi au?

duhHakupendi mume wa mtu huyo rudi kwenu
Usikute ni babu yangu unamsema,maana mpaka leo kapewa jina la Nusurupia.
pole mwayaAkili kubwa haiwezi kutawaliwa na akili ndogo. Kwanza umesema upo home tena mwenyewe unasema huyo jamaa anakulipia kodi halafu kila ukihitaji kupigwa mambo anakutumia nauli. Hujui unachosema na kwa haraka wewe hufanyiwi hivyo ila unawaza kwa mfano ikiwa hivyo. Ahahahahaaaa
Unajitamanisha nyau wewe
Wanawake ni kama kenge yaani unaweza kumuweka kwenye maji kumbe anataka kukaa nchi kavu yaani huwezi jua mwanamke anahitaji nini kwa muda ganiHakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
Ukiona hivyo ujue wewe ni mfugo wake,ipo siku atakuuza au atakuchinjaaHabari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
duhUkiona hivyo ujue wewe ni mfugo wake,ipo siku atakuuza au atakuchinjaa
Penxi ni nini?penxi
Pole ya nini?pole
wewe ni chombo tu cha starehe. Hata namna yako ya uandishi haionyeshi kama utaweza kuyamudu maisha ya ndoaHabari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
A genuine question,Anakufanyia yote hayo na bado unahisi haitoshi, je wewe unamfanyia nini kustahili kuhoji zaidi??
Sisi Wanaume tunakutana na wanawake wengi daily or weekly, tuna uhakika udhaifu wao upo kwenye "PESA"Waambie hao...they think love needs material things,,wakati udhaifu wa mwanamke upo maskioni..!
Heaven sent....that's ua side, n its never happen to the Majority of you.And they think "pesa" ni kila kitu.
Umenchekesha sana mkuu...eti "rudi kwenu"Hakupendi mume wa mtu huyo rudi kwenu