Maajabu ya mwanaume niliyenae

Maajabu ya mwanaume niliyenae

We unajua chuo umeenda kusomea fani yako tu,wenzako wanatafutaga na mabwana wajifunze mambo mengine wakirudi kitaaa! Umekomaa na chuo matokeo yake hapa Sisi Std7 ndo tukufundishe kupet pet...
 
Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Kwahiyo hujisikiii mpaka akwambie una mzungushia kama feni bovu,no one does the way u do,baby wewe mtamu kuliko ASALI,ukiniangalie mie suruali inatoboka,una nyonyo zako unaweza kuwekea koti,ukipanda juu ndio mie HOI!!, shosti tuliza ball huwezi kupata vyote unless unanambia umeshazowea kudanganywa,kama unahisi still hasemi ebu nipe number yake nionge nae ntamfahamisha nini unapenda na I promise you atakwambia mengine hujawahi yasikia tangu uzaliwe...
 
Kweli hamueleweki. Yaan akupe kla ktu na kukupetpet pia.
 
Mimi nachojua mwanamke hajui anachohitaji pia mwanamke ni kama mtoto mdogo, anataka kila mara apate uangalizi kama kumpeti, n.k .
 
Nyie wanawake viumbe wa ajabu sana except mama yangu. Unapewa kila kitu bado unaibuka na mengine. Ndo maana hata mwadamu wa kwanza kutenda dhambi ni mwanamke kwa ajili ya tamaa isiyoisha.
 
Wewe ni Nyumba ndogo ndo maana sikupetipeti. Siku mke wangu akininyima ndo naja kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom