Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Utamwelewa tu
Usihangaike jutaka kujua wanawake wanataka nini, hutowaelewa wanawake wote milele. Usimtreat mtu kwa kuassume kuwa wote wapo sawa na uliokutana nao before. Jua tu mwanamke "wako" anataka nini, then go with the flowHeaven sent....that's ua side, n its never happen to the Majority of you.
U better ask us, we meet them...we date them...we know them women.
Na kweliHakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
Usihangaike kujua wanawake wanataka nini, hutowaelewa milele. Usimtreat mtu kwa kuassume kuwa wote wapo sawa na uliokutana nao before. Jua tu mwanamke "wako" anataka nini, then go with the flow

Sema hakyamungu...Unataka nini wewe haswaaa?Kama anakuhudumia kila kitu na wewe ni wajibu wako kumtimizia haja zake sio kila kitu lazima aseme yeye
We jamaa hebu tulia... nisijitoa kabla haijakamilika... Niko maabara hapa...Hakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
Hebu nirushie ka mpesa babu yanguSema hakyamungu...
Hebu ni whatsapp kwanza.. huu msimu sijui umefanyaje ukafuta kila kitu mpk zile picha zetu wakati nikikukula denda chini ya mkorosho.Hebu nirushie ka mpesa babu yangu
We jamaa hebu tulia... nisijitoa kabla haijakamilika... Niko maabara hapa...
Tatizo wakati ukiwa unaifanyia marketing... hawa viumbe watanihitaji niingie tena laboratory... maana lazima watakuwa wamezua jingine. Hawa wadudu naamini hata Mungu hajajua kwa 100% ni kipi hasa wanachohitaji ili waridhikefanya uimalize aisee mkuu mie ntakua marketing department ya hyo formula.
Unasema tangu umalize chuo huna kazi kumbe Kazi unayo....!Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Kabla ya kuja huku ulitakiwa umweleze yeye kama mpenzi wako. Kuna watu kupetipeti ni hulka yao.... Unaweza kubadili mtazamo wake. Kama anakuhudumia maana yake anakujali na kama anakujali wewebuna thamani kwake na kama una thamanibkwake maana yake anakupenda. Wewe kama unataka maneno na si vitendo achana naye nenda kwa wenye maneno mazuri kama hujajuta kuzaliwa. Mapenzi ndo hayo wewe kama unataka maneno mengi tafuta humuhumu jamii forums nakuhakikishia utagegedwa itapewa maneno matamu but no future, no huduma.Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
ha ha ha ha ni zaidi ya mabadiliko ya kinyonga mkuu, ila sio mbaya anza na hyo kipind unaimalizaia ntaku update kipi kinahtajika kwa sasa kiongezewe ili ifike atlist 80% sio mbaya kwa kuanziaTatizo wakati ukiwa unaifanyia marketing... hawa viumbe watanihitaji niingie tena laboratory... maana lazima watakuwa wamezua jingine. Hawa wadudu naamini hata Mungu hajajua kwa 100% ni kipi hasa wanachohitaji ili waridhike
Hakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire

Mm nipohata ukimpata utaongea tuu
mpaka nimekuja ujue nimefanya hayo ila hatak changeKabla ya kuja huku ulitakiwa umweleze yeye kama mpenzi wako. Kuna watu kupetipeti ni hulka yao.... Unaweza kubadili mtazamo wake. Kama anakuhudumia maana yake anakujali na kama anakujali wewebuna thamani kwake na kama una thamanibkwake maana yake anakupenda. Wewe kama unataka maneno na si vitendo achana naye nenda kwa wenye maneno mazuri kama hujajuta kuzaliwa. Mapenzi ndo hayo wewe kama unataka maneno mengi tafuta humuhumu jamii forums nakuhakikishia utagegedwa itapewa maneno matamu but no future, no huduma.
nampet sanaWewe kwanini usimpeti peti...?