Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
Ha ha ha ha na sie tutakupa vile tulivyonavyo ukitaka vyengne chepukaSimple, tunataka na vile usivyo navyo.
Ha ha ha ha na sie tutakupa vile tulivyonavyo ukitaka vyengne chepukaSimple, tunataka na vile usivyo navyo.
Msiulize tena, nishawapa majibu.
Ukute ana mpenda ila si unajua pema ukipema si pema tena. Bina damu huwa wana angalia wasichi nacho halafu wana kitafuta.Ni kweli kabisa. Dada anatakiwa acheze part yake. Isijekuwa hata hampendi jamaa
Nimekuelewa sanaa hapoMsiulize tena, nishawapa majibu.
Wanawake wengi wanashindwa kutofautisha kati ya mapenzi na mahaba.... any way jamaa anakupenda ila tu hana mahaba na wewe...Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Na tukichepuka msilalamike basi na kudai hatujui tukitakacho wakati tunajua ndio maana tunakitafuta.Ha ha ha ha na sie tutakupa vile tulivyonavyo ukitaka vyengne chepuka
Hehee
Nacheka kama mazuri vile.
Sasa wewe kwa usawa huu wa anko magu matunzo yote unapata unashindwa kumpelekea hiyo papuchi kutwa mara tatu??? We shida ni akuambie amekumiss halafu asitoe matumizi au shida iko wapi
unamzungumzia nani?Kumbe unamkubali eeh!!
![]()
![]()
![]()
Hizo ndo mbinu za love sasaHabari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Hajasema kuwa hatuhitaji pesa(every one does) ila amesema hitaji la kwanza, that means yapo mengine baada ya hilo.Nani amekuambia si pesa?
Labda wewe tu.
Tunataka vyote.Hamueleweki ttz lenu, kipi ni kipi. Mkipewa mahitaji bila tendo mnalalama hukufuata kula, hukipewa tendo mbona hunihudumii, Cjui shukrani yenu ipo wapi ktk maisha yenu
Sasa mkuu tukienda jupiter mjue mtatumiss sana!! Umuhimu wa kitu/mtu huonekana pale ki/asipokuwepoMtu yupo bsy anatafuta hela ya kukuhudumia tena unalalamika! Wanawake nyie neenden mkaishi hk Jupita
Nyie ndio hamjui mtakacho kama unataka kitu a mbacho sina so wehu huo?Na tukichepuka msilalamike basi na kudai hatujui tukitakacho wakati tunajua ndio maana tunakitafuta.
Kifimbo cheza wa jf.unamzungumzia nani?
Thank you my dearTwende mbele turudi Nyumba kuna kitu kinaitwa "AFFECTION" T matters the most to women n that's y wengi tumeshangazwa na kumuona Dada hana akili but assume huyu Dada anapata kazi na kujiweza kiuchumi do u think huo uhusiano utaendelea?ts likely utakua na Dada atafall kwa MTU asiye na mbele wala nyuma n that's how t is
Sio wehu, nilikuja nikijua nitavipata vyote, kumbe huna vyote, basi ndio ninaamua kutafuta vile usivyonavyo.Nyie ndio hamjui mtakacho kama unataka kitu a mbacho sina so wehu huo?
Ulifata nn sasa kama sina

Mkuu upo?Huyo anakupenda, na anakujali, na ankuheshimu pia, sasa kama unaona kukazwa kazwa kila mara na kushikwa shikwa maziwa ndo mapenzi haya kawatafuti hao, ambao ndo wengi, usikute ni tabia yake na ana malengo mazuri tu na wewe.