Maajabu ya mwanaume niliyenae

Maajabu ya mwanaume niliyenae

Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
ulisoma chuo gani??
 
Hakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire

Nimekuelewa sana mkuu,maana kipindi hicho tanzania kutakuwa ubishani wa njaa hakuna🙂🙂🙂🙂
 
Kwa mwanamke ambaye yupo kimaslahi asingejali kutopetiwapetiwa na jamaa...mapenzi ni pamoja na maneno matamu yanayomfanya mtu ajisikie yuko juu..meseji/simu za i miss you/i love you/dirty talks.....zinaleta hamasa katika mapenzi lazima tukubali...ingekuwa ni huyo mwanaume ndo analalamika mngemshauri asepe hapendwi hapo.
Nionavyo mimi huyu jamaa anampenda kweli huyu binti ila sio mtu wa kujiexpress otherwise asingekuwa anamhudumia wakati huo huo asidemand sex.....cha muhimu dada akae nae wayaongee..love is all about communication
 
We ni chombo chake cha starehe ndo mana anaingia garama zote...vumilia tu ma chombo cha starehe hua hakiongei
 
Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?

Nikifikiria kumridhisha mwanamke yananijia mawazo ya mzee mmoja tangu niko mtoto naskia anatafta rupia na mpaka leo nazeeka bado mzee anatafta rupia ,nahisi akizipata wanawake nao watakuwa watu wakuridhika
 
Hakuna aliyeniambia...

Pesa ina nafasi yake. Lakini si hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi.

First thing first....

Ila mtoa mada naye kuna sehemu katika maelezo yake haeleweki
Pesa si hitaji la kwanza kwako wewe mwanamke ILA si wanawake.
 
Bidada;
Asikudanganye mtu. Mwanamke hitaji lake sio fweza na milo, hitaji la mwanamke ni maneno matam mchi ukiwa ndani. Hayo ya fweza ni matokeo ya maujanja yako.
Plan; Kwa kuwa jamaa linakukaza tu kama boot, huku haliku pet pet. Tafuta fundi mzuri, yeye kazi yake kukufikisha kileleni tu baada ya kurejea kutoka kwenye mkazo wako. Bolt zikiwa bado tight, ufarijiwe na maneno ya fundi.
Mengine humu jf, ni ka kuuliza chumvi baharini tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom