Maajabu ya mwanaume niliyenae

Maajabu ya mwanaume niliyenae

girls bhaana!! sa kama mtu anakupa quantitative caring zote izo kasoro ka qualitative caring cha kukupetipeti tu una doubt upendo wake!!?? daahhh nouma sana.... but i can deduct that may be he is so busy so take it easy. But take this "If he don't love you the way you want doesn't mean he don't love you at all".

MIND of kings.
u are the best
 
Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.

Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
EXACTLY
 
Ana wanawake wengi na anahudumia wote.

So ukienda anakukaza kisawasawa ili kukuondo mahamu. Ukiondoka anapiga mwingine nae anakazwa kisawasawa.

Huyo jamaa ni mkazaji kisawasawa na muhongaji mzuri so ukiwa nae enjoy ukiondoka acha wengine wafaudu.
pia inaleta sense
 
Fanya maisha kuwa raisi sawa tafuta na ww wa kukupetpet.Huyo jamaaa kama alivyokufanya waziada na ww mfanye wa zalula,kifup anamtu anaye deal naye sana ww nikama bahat mbaya vile basi tafuta wako wabahat nzur maisha yaende. PENZI LENU LILISHACHOKAGA
ok
 
Hakuna aliyeniambia...

Pesa ina nafasi yake. Lakini si hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi.

First thing first....

Ila mtoa mada naye kuna sehemu katika maelezo yake haeleweki
how
 
Kwa mwanamke ambaye yupo kimaslahi asingejali kutopetiwapetiwa na jamaa...mapenzi ni pamoja na maneno matamu yanayomfanya mtu ajisikie yuko juu..meseji/simu za i miss you/i love you/dirty talks.....zinaleta hamasa katika mapenzi lazima tukubali...ingekuwa ni huyo mwanaume ndo analalamika mngemshauri asepe hapendwi hapo.
Nionavyo mimi huyu jamaa anampenda kweli huyu binti ila sio mtu wa kujiexpress otherwise asingekuwa anamhudumia wakati huo huo asidemand sex.....cha muhimu dada akae nae wayaongee..love is all about communication
y are you soo smart?....best comment so far
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom