Hakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire

Tutajie hilo hitaji la kwanza kwa mwanamke ni nini?Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.
Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Huna kazi
Uko nyumbani
Unakazwa....
Unataka udekezwe dekezwe!!![]()
Sijui kwann Jf hapana kitufe cha ku-like mara nyinginyingi dahHakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
Huo uchochez Mie simooNimekuelewa sana mkuu,maana kipindi hicho tanzania kutakuwa ubishani wa njaa hakuna🙂🙂🙂🙂
Unafikir jamaa angeanza na hyo major then mengne angekosa thread yake ingekuajeMkuu. Hukumsoma huyu bibie?
Major: kupetiwapetiwa, kuambiwa "I miss you beeb" etc
Minor: Kupewa matumizi yote mpaka vocha
Very minor: kuka.zwa
Sijui kwann Jf hapana kitufe cha ku-like mara nyinginyingi dah
We jamaa una akili sana
Kusubiria embe chini ya mnaziUnaenza tandikia watu jamvii![]()