Waambie hao...they think love needs material things,,wakati udhaifu wa mwanamke upo maskioni..!Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.
Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Nani amekuambia si pesa?Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.
Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
hawa viumbe wahariziki yan mimi namshangaa mwanaume anaehangaika kuwarizishaHakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
Hah hahaaaaaHakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire
Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Fanya maisha kuwa raisi sawa tafuta na ww wa kukupetpet.Huyo jamaaa kama alivyokufanya waziada na ww mfanye wa zalula,kifup anamtu anaye deal naye sana ww nikama bahat mbaya vile basi tafuta wako wabahat nzur maisha yaende. PENZI LENU LILISHACHOKAGAHabari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Hakuna aliyeniambia...Nani amekuambia si pesa?
Labda wewe tu.
Hahahahahahahhaha sasa kulan c inasema kuna pepo hyo fildausi watakuwa wengi wenye macho kama vikombe na kiunokama dondola.??? au cyo shekheEti " ananikaza kisawasawa" loh wanawake wa mjini mna mambo sana nyie. Haki ya nani ndio maana hata quran inasema nyie moton ndio mtakuwa wengi sana maana hamnazo.
HahahahahaHakyamungu mtu akija kupata formula ya kuelewa mahtaj ya mwanamke atakua milionaire