Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,990
Madam we can take up whole night talking for thisNitashangaa kama haujaona tatizo katika ulichoandika.
Kusema dunia ya sasa wanawake(umeongelea wote) wanataka material things tu unakosea, hata huyo anaetaka material things ukimchunguza utagundua hilo sio hitaji lake la kwanza, ila imebidi iwe hivyo baada ya kuona mauza uza tu mtu anaamua bora moyo usukume damu tu.
Kuhusu affection kuwa hitaji la kwanza haimaanishi ndilo hitaji pekee, umenipata? Kwahiyo kuhitaji material things ni hitaji linalofuata na ni la kila binadamu,then protection.
Simple definition is you have what u believe as a woman and I have what I live into it as a man.
So definition of woman will take years for a man to understand



