- Thread starter
- #261
hahahahaSasa ww kukazwa unakazwa, matumizi unapewa, nyumba umepangiwa ebohh!! upo mkoa gani ww laiti ungekuwa dar usingelalamika hvo
hahahahaSasa ww kukazwa unakazwa, matumizi unapewa, nyumba umepangiwa ebohh!! upo mkoa gani ww laiti ungekuwa dar usingelalamika hvo
ww nimpumbavu.....kama huna la kuchangia piga kimya....ukadham mtu ataweka id yake ya ukwel...nokia tochi wwJina lenyewe anaitwa memez unadhani atakuwa na akili timamu
Unasema tangu umalize chuo huna kazi kumbe Kazi unayo....!
Jitume ukiwa kazini.




Ila kama ikiwezekana apewe maneno na vitendo vitamu kwa pamojaMbona hamueleweki.. Mnataka maneno matam ama vitendo
Wewe wasema,....sema pesa sio priority Kwako....Upande mwingine wa shilingi ni muhimu tena sana.
Otherwise huyu dada akija kupata kazi nzuri na kujiweza kiuchumi yuko likely kumuacha jamaa.
Hitaji la kwanza la mwanamke katika uhusiano wa kimapenzi si pesa wala vitu
Hata Mimi siridhikagi?Hawaridhikagi hawa viumbe
usikute kuna makungwi wa instagrama na watsaap group washaanza kumuingiza mkenge..
Sasa unataka nini tena zaidi ya hapo BOLDEDHabari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Umeeleweka,lkn huo uandishi wako aisee!Habari zeny wana jamii forum....jaman leo nimekuja na stor inayonihusu..inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no.job..sasa jamaang tang nikutane nae ni 2 years sasa ananiudumia kwa.kila kitu mpaka credt jamani...kanipangia na analipa kod na matumiz yote napata ila haniambiagi Ananipenda wala kanimiss au kamiss masham.sham yang adi nimwambie naham ae ndipo.atume naul noendei....na ananikaza kisawasawa.nikienda...sasa nimweleweje...kuna upendo.apo? matumiz yote napata ila.hanipeti peti nimweleweje?
Hawaridhikagi hawa viumbe
usikute kuna makungwi wa instagrama na watsaap group washaanza kumuingiza mkenge..
Habari zenu wana JamiiForums,
Jamani leo nimekuja na stori inayonihusu, inshort nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa niko home tuu no job, sasa jamani tangu nikutane nae ni 2 years sasa ananihudumia kwa kila kitu mpaka credit jamani.
Kanipangia na analipa kodi na matumizi yote napata ila haniambiagi ananipenda wala kanimiss au kamiss mashamsham yangu hadi nimwambie ninahamu nae ndipo atume nauli ndio niende na ananikaza kisawasawa nikienda.
Sasa nimweleweje kuna upendo apo?
Matumizi yote napata ila hanipeti peti nimweleweje?
Yaani hapo mi nahisi ningekua naitika kabla hata hajaniitaHehee
Nacheka kama mazuri vile.
Sasa wewe kwa usawa huu wa anko magu matunzo yote unapata unashindwa kumpelekea hiyo papuchi kutwa mara tatu??? We shida ni akuambie amekumiss halafu asitoe matumizi au shida iko wapi