hmmm!! siwaelewi! sijui nikudediketie wimbo wa moyo wangu wa diamond vile?
I like it......... watajinyonga ujue
hahaaaaa ndo umeshanidediketia ivo, miss neddy naomba usipite pande hizi
we mwanamke kwa kuzururaa! loooh! mi nilijua umelala bhana
mhhhhhhh kina nani hao
Ndugu yangu Bujibuji,
Tumelisema sana hili mkuu labda kama ulidhani mzaha wa Babu....
Hawa wadau zetu wanapohitimisha hesabu zao wanaanza kurudia mahesabu upya....kama ulikuwa miongoni mwa njia bora za kupata jawabu basi utakoma....
Binafsi siwapendi hao watu....sina hamu nao hata kidogo!
watu fulani hivi wenye chuki binafsi na roho za kwanini
nipo nae hapa nimetulia kwa chest yake mtoto wa kike
lolz! mbona umekaushia? au unataka Eshy m.s ndo aje kuniraria badala yako? hahahaaaa!!