Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
Ushauri kuntu huu. Mi penda sana wewe wallah.
unasema kweli babu?
Ushauri kuntu huu. Mi penda sana wewe wallah.
thank youuuu
Waaaooo!!! Its so amazing you know!!!!.
Hapa hai apply mkuu. Walowazalisha ndo wafanye sunk cost. Wachana nao, au zalisha wote halafu wabakie na watoto, kila mmoja atakuwa nao wawili wawili.
Ila hapa nahisi Bujibuji anafanya promo ya love connect
you appreciate it?
It so lovely!! Uliusikiliza ule wimbo wote? imebidi nikuwekee na lyrics sasa!!!!!
I like it......... watajinyonga ujue
Naaam dearest Eshy m.s!!!! Asante Shem miss neddy sina wasiwasi na Excel. Baada ya kutoka #TB amekuwa mwema sana. Tyta we utaendelea tu kumsikia kipenzi changu kwenye redio.
imnikumbusha mapenzi ya sekondari, huna hela na demu anakupenda kichizithank youuuu
what is going down here?
kulaleki treni ya mwakyembe imeniacha gogolamboto, nauli nilikuwa nishakula....
aisee nimekula chocho za ajabu sana leo!!
Bhabha chacha si ungenipm nikurushie heraa hata kwa jf pesa chamaniiii!!!