Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
usiogopeeeeeee
Hii ni methali mpya?Nyoka wa kufugwa ipo siku atakumbuka msitu.
Miaka 35 sasa imepita tangu nilipozaliwa, wale ma ex girlfriend wangu wabakiaji, ambao hawajabahatika kupata mume, wananisonga kwelikweli tuingie kwenye taasisi ya ndoa. Wote wamezalishwa, waliniumiza moyo na sina moyo tena wa kupenda.
Je niwafanye nini watu hawa? Acha nizeeke na ubachela wangu.
Nitumie proposal yako kwenye PMNipende mimi....
sasa na weweeee! sasa mbona unapenda kuliita ita hilo jinaa la cameraman au unampendaa? ntakupiga marufuku ujue

ewaaaaaaaaaaa na Excel plizzzzzzzzzz
Miaka 35 sasa imepita tangu nilipozaliwa, wale ma ex girlfriend wangu wabakiaji, ambao hawajabahatika kupata mume, wananisonga kwelikweli tuingie kwenye taasisi ya ndoa. Wote wamezalishwa, waliniumiza moyo na sina moyo tena wa kupenda.
Je niwafanye nini watu hawa? Acha nizeeke na ubachela wangu.
wakubalie tu ikiwezekana we oa wote au vipi