Ma X Girlfriend wananisaka kwa udi na uvumba

hahahahaha usitake kumpa mawazo mpiga picha mkuu
mwisho kamera aivunje vunje bureeee

nampenda sana cameraman, sitaki kumpoteza nna mpango wa kuanza kumsaidia kupiga picha, nataka niongeze mapenzi wala hataivunja camera yake! mfikishie hizi salam mwambie nitampenda milele
 
sasa Eshy mi hizo salamu nitazifikisha kwa njia gani si wamjua Tyta anaweza kuniwekea mapicha picha nikaanguka dhambini
tusilaumiane hapo
 
Last edited by a moderator:

-ukiangukia namimi si naangukia kwa Excel tu na hivi kaniambia akiniona tu kamoyo kanamdundadunda.. utaisoma namba
 
Last edited by a moderator:
nimemnyima Excel nimekupa wewe naomba ulitunze
very-shocked-smiley-emoticon.gif

Tyta kam zis wei
am coming...
mailman_walking.gif

umbea si kazi... kazi kusutwa
cursing.gif

hahahahaha usitake kumpa mawazo mpiga picha mkuu
mwisho kamera aivunje vunje bureeee
umejuaje,kila kitu...
smashing-laptop-with-bat.gif

kausha basii, najuuta kukutajia jina la shemejio
broken-heart.gif

hahahahaha baki njia kuu popote utakapochepukia nitampa info
blowing-kiss-thank-you-smiley-emoticon.gif

nampenda sana cameraman, sitaki kumpoteza nna mpango wa kuanza kumsaidia kupiga picha, nataka niongeze mapenzi wala hataivunja camera yake! mfikishie hizi salam mwambie nitampenda milele
breaking.gif
confused-shrug-smiley-emoticon.gif

sina mchepuko mie nipo njia kuu always..
confused-face-smiley-emoticon.gif
 
Back
Top Bottom