Huyo alikuwa boifrendi wangu kabisa sio hata wa kusingiziwa....Kumbe nawe ni X wake?
wangapi?
Usitizame macho ya watu, Sikiliza moyo wako.....Hebu usiongee kwa sauti Evelyn saln nisije nikaonekana sina msimamo bureeee
nzuri eenh!! kulaleki! mtaa wetu umejaa warembo mpaka moyo wangu sasa unakaribia kuchomoka...
thats y nimeweka hiyo avatar..
Kaka sina hamu na wanawake wa JF ni magwiji wa kuumiza moyo mzee.. Wanajiita NIGUSE BAHATI MBAYA NIKUUMIZE MAKUSUDI
Umeona ehhHahahahahahah! hilo jina limenifurahisha..........
Moyo wangu kwako laini kama mafuta, sina lolote la kunizuia kukupenda zaidi na zaidiUsitizame macho ya watu, Sikiliza moyo wako.....
Hahahaha, kabisa sema u neva knw.........Umeona ehh
hee Bujibujiyule mkeo uliyewahi kushika simu yake ikiwa ma sms kutoka kwa mwanaume mwenza mulishaachana?Miaka 35 sasa imepita tangu nilipozaliwa, wale ma ex girlfriend wangu wabakiaji, ambao hawajabahatika kupata mume, wananisonga kwelikweli tuingie kwenye taasisi ya ndoa.Wote wamezalishwa, waliniumiza moyo na sina moyo tena wa kupenda, je niwafanye nini watu hawa?Acha nizeeke na ubachela wangu.
nimemnyima Excel nimekupa wewe naomba ulitunze
Una bahati Tz navyomfahamu atatoa na extra cares!!!