Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,700
REJAO my star in JF! leo kura yangu imeamkia kwako!
mwanangu umefikia hapo,
umepotea.
REJAO my star in JF! leo kura yangu imeamkia kwako!
Mie mzima dear.... Hopefully mambo yooote pouwa, naona kazi yenu hapa na R'
Tunaongeza post bana si unajua ukikosa usingizi JF ipo kwa raha zako
.Buji buji kabisa nyie Source: Tusi la JF (lol)
Nimepita hapa Source: Mamndenyi
JF is never Boring Source: The Boss
Pamoja Saana Source: AshaDii
I love you guys...
Wooote mlopita humu na kunitaja,
naahidi nitasoma kila post nikipata mda Source: ME
Na logoff Source: Washawasha.
Leo my Super star ni Mamndenyi....
Siamini kama haya maneno yametoka kwako Mamndenyi...mwanangu umefikia hapo,
umepotea.
naskia roho yangu imeishiwa nguvu kwa star rejao! toa neno mamdogo kabla sijageukia kwa Mr.Rockmwanangu umefikia hapo,umepotea.
Siamini kama haya maneno yametoka kwako Mamndenyi...
Oooh Thank you darling MamndenyiI love u more my Asprin darling,
stay blessed,
mwaaaaaaaaaa.
feisi buku..usisikilze chochote kabsaaa...si unajua tena nao wanaimendea hii nafasi?naskia roho yangu imeishiwa nguvu kwa star rejao! toa neno mamdogo kabla sijageukia kwa Mr.Rock
feisi buku..usisikilze chochote kabsaaa...si unajua tena nao wanaimendea hii nafasi?
I love u more my baby,
stay blessed,
mwaaaaaaaaaa.
Nyie vikongwe kitu gani kinaendelea hapa Mweeh!Oooh Thank you darling Mamndenyi
I love you too!
Mmmmwwwwaaaaaah!
We nae kuwa na msimamo mara FB mara SL hebu waambie watoto wajue nani kawin
Dena, naona unataka kunibania kwa feis buku.. jidai kama hujui kitu kabisa..mtoto kafika, nataka nimwonyeshe malavidavi ya kila aina!He he he makubwa haya
Twajilia vyetu bana............ shhhhhhh don't disturb!!!Nyie vikongwe kitu gani kinaendelea hapa Mweeh!
Dena, naona unataka kunibania kwa feis buku.. jidai kama hujui kitu kabisa..mtoto kafika, nataka nimwonyeshe malavidavi ya kila aina!
hahahah....lol,, inabidi ugeuze scrini usione kabisa!Napita tuu hapa jirani sijaona haya maandishi
hahahah....lol,, inabidi ugeuze scrini usione kabisa!
Hapo najikumbushia enzi zangu za kupiga saundi! mtaani walikuwa wananikoma...mdomo ulikuwa mwepesii, utu uzima huu na mujukumu umenifanya domo zege!Maandishi yenyewe ya kichina sijaelewa kitu
Wa kwangu kiasi ( list ni ndefu sana)
AshaDii ( I L......... U)
Mama Tuli ( my wife wangu)
Dena( jitangazie mwenyewe)
Smile (mhhhh naogopa kusema )
Sweetlady (TF namuogopa sana)
Bebii
MJ1
Cantalisia
Gaijin
Gaga
Chauro
Husninyo
FeisBuk
Nyamayao
Preta
Afro Denzi
The Finest (PA pamoja sana viwanja kwa sana)
The Boss
Journe ( kwa mrombo lini aise)
Rejao (mzee wa jukwaa la stress)
Kloro (lawyer nina kesi unatakiwa unisimamie)
Asprin(Babu heshima mbele)
Funzadume( Mhhh naogopa kulitaja lile jukwaa maarufu)
Kibweka
Kibanga
Lizzy
Russian
Kaizer
Katavi
Mtambuzi
Mamndenyi
King'asti
Kimey
Fidel
Pj
Baba Enock
Teamo
Mzee wa Rula
Bishop Hiluka
Excellent (jukwaa la vichekesho)
MTM
Voice of reason
.................................list inaendelea
Hapo najikumbushia enzi zangu za kupiga saundi! mtaani walikuwa wananikoma...mdomo ulikuwa mwepesii, utu uzima huu na mujukumu umenifanya domo zege!
Asante Mkuu Mr.Rocky,
udumu milele Mkuu.