Ma-super star wa jf...!!

Ma-super star wa jf...!!

wewe nakuona unatongoza tu hapa siku nzima huangalii huyu ni mama yangu ama vp .umeanza na mamndeny fb swilady faiza fox na nazjaz
sikutaki tena na sasa hv uko pm na mama tuli wewe vp jamani?
hahahah....lol, hawa wengine wote story tu! wewe ndio maza hausi!
 
Dena, naona unataka kunibania kwa feis buku.. jidai kama hujui kitu kabisa..mtoto kafika, nataka nimwonyeshe malavidavi ya kila aina!

Sio kubana naona unataka kutuharibia watoto weye mzee mzima (Lakini Smile alikubali kuwa nyumba ndogo kazi kwako)
 
Katika hii list ya ma supa staa wa JF nina kila sababu za kusema FF nae japo yumo. Jukwaa la siasa hakuna changamoto pako baridi hakuna hoja mbadala.
 
Back
Top Bottom