Ma-super star wa jf...!!

Ma-super star wa jf...!!

Ma super star wa majukwa yote ama ya watu wazima?

Duh!Maana JF imepanuka sana sasa inaweza kugawanywa kikanda.

Huu ukanda mpya kabisa kwangu...Ha ha!
 
Sio kubana naona unataka kutuharibia watoto weye mzee mzima (Lakini Smile alikubali kuwa nyumba ndogo kazi kwako)
Siku hizi watoto wanatupenda wazee wazima..wanakuwa na uhakika wa maisha! vijana wasumbufu tu! Huoni smile kafa kaoza?
Mwanaume kwa uongo wewe sikuwezi mie
Wanawake wengi wanapendwa kudanganywa...
Nani anataka mimvi yake bana..................
Hujaona sredi ya smile? full kufagilia vibabu! dogodogo hataki kabsaaa!
rocky nataka nianzishe uzi wa kukulilia kama wa mdada aliefunguka kwa exellent!! nambie kama u tayari mwee!!!
Feis buku imekuwaje tena? mbona unaaza kugeuza kibao? Huyo tayari ana wake..lol
Wewewe! Ishia hapo hapo usimguse kabisa. Huyo si Rejao
Na wewe mbona unakaba sana??
 
Ni yule yule unayemfahamu hakuna mwingine, mtoto kashazimika hasikii haoni, we jaribu sehemu nyingine bana

Yaani huyu huyu ninayemfahamu au mwingine? nenda...utarudi tu kunililia,,Mr. Rocky shahidi!
 
Back
Top Bottom