Ma-super star wa jf...!!

Ma-super star wa jf...!!

Wifi uliondoka bila kuniaga wakati wajua ni jinsi gani navyokupenda... Nimeponea chupu chupu kujitoa jf kwasababu nilikuwa sikuoni bana!..


ah!! Jamani.... Sweetie nilimuachia maagizo akupe... Hajakupa?? BTW Yupo humu ndani nifukunyue pages?? (Niliku Miss mno Wifi hivo wote roho iliumana)
 
Naleta list yangu mpya:
MziziMkavu, Sweetlady, Cantalisia, Lizzy, Sizinga, Mtambuzi,Afrodenzi,FreemaAgyeman, Gaijin, Asprin + Feisbuku,
Theboss,Memo, The finest, Mwita25, DenaAmsi,Katabi, King'asti, Kongosho, Mwanamayum Marytina, Kigandu, BAK, Ndyoko,
Nzowa Godat, Tigger, Siumti.
nawasilisha.
Asante sana Mamndenyi, am so happy kwa kunipaisha!
Me lov u sana lol!
 
AshaDii...mi hali yangu njema bana, nilikumiss tu..nikasema huyu dada leo yuko wapi..kumbe naww ulikuwa ndani ya brain yangu
 
Back
Top Bottom