Ma-super star wa jf...!!

Ma-super star wa jf...!!

Lol, chumbani pia udi haukosekani, maji ya kuoga yanatiwa iliki na vitunguu swaumu, akimaliza kuoga anapakwa mafuta ya karafuu, khaa Mr. Rocky tukicheza tutampoteza kijana asee, ujue toka jana analishwa wali wa nazi tuu!

Asipotokea leo mpelekee ngua bana!

Ametoka bana
Nafikiri kaazima nguo za kutokea
Ila eti anashangaa ya huku duniani hajui kuwa ukichelewa utamkuta mwana si wako
 
mimi namtaka rejao wangu bwana
Hahaha!

Rejao ni wako bana, mie wala sina mpango wa kumchukua, ila ole wako, akinambia tu umemkera kwa lolote namchukua. Jitahdi kumfanya awe mwenye furaha mda wote...
 
Ametoka bana
Nafikiri kaazima nguo za kutokea
Ila eti anashangaa ya huku duniani hajui kuwa ukichelewa utamkuta mwana si wako
Nimemuona bana ila inaonekana bado hajatulia manake amepita tu hapa. Ukimwona mwambie nimemmiss sana...
 
lol...kazi ipo hapa! ngoja nimsubiri sweetlady aje kunitetea!
Usipate shida mpendwa as long as mie bado ni memba wa jf, hakuna wa kukusumbua hapa. Smile anajaribu tu ila am sure hataweza. Mwambie smile mimi na wewe hatujakutana barabarani..
 
daaah kweli umejipanga
nimeweka mikono chini kila la kheri bwana
 
Khaaa!! Huu mtindo wa kukuta Thread ndefu hivi na wapendwa wapo wametia kambi humu ndani ni majaribu kwa kweli.... Smile nianze page ya ngapi Kid sis??

BTW Tripple A Nashukuru kwa Kunipaisha bana!
 
Nna hasira zako, hakikisha unazipitia..

Wifi mie bukheri wewe je?
 
Khaaa!! Huu mtindo wa kukuta Thread ndefu hivi na wapendwa wapo wametia kambi humu ndani ni majaribu kwa kweli.... Smile nianze page ya ngapi Kid sis??

BTW Tripple A Nashukuru kwa Kunipaisha bana!

Nimejaribu kukutafuta simu yako ilikuwa haipatikani...hujambo lakini?
 
Kuna Smile, Sweetlady na Rejao wanajitahidi kuipeleka mbio sana hii thread halafu Tripple A kaa kimya anachabo kwa mbali
 
Nimejaribu kukutafuta simu yako ilikuwa haipatikani...hujambo lakini?

Ndugu yangu... Sie tunaokaa mabonde kuinama huku... Usiombe mpaka nipande Mlima.....lol... Wewe je? Afya inasemaje na what have i missed??
 
Usipate shida mpendwa as long as mie bado ni memba wa jf, hakuna wa kukusumbua hapa. Smile anajaribu tu ila am sure hataweza. Mwambie smile mimi na wewe hatujakutana barabarani..
hahaah...asante kwa kunisaidia...alikuwa amenishika pabaya!
 
Back
Top Bottom