Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,087
Dah afadhali..Nimesema nitaendelea au hujasoma napumzika kidogo wewe tena nikusahau hiyo haiwezekani
Ngoja nijiweke namba 32 baada ya MR. Rock!
Dah afadhali..Nimesema nitaendelea au hujasoma napumzika kidogo wewe tena nikusahau hiyo haiwezekani
nakata rufaa
ndo nini kuniweka wa mwisho bana kidogo nisahaulike hapo
Asante sana DA
Khaaa!Afadhali wewe kakuweka nyuma. Mie kanitia katikati.
Afadhali wewe kakuweka nyuma. Mie kanitia katikati.
Afadhali wewe kakuweka nyuma. Mie kanitia katikati.
Rejao mie si nshakutaja? Unahangaika nini sasa?Dah afadhali..
Ngoja nijiweke namba 32 baada ya MR. Rock!
Ha ha ha rufaa haikubaliki hapo mwisho ndo utasomeka vizuri bana wewe na mimi tena kama uji na mgonjwa
Ukiona hivyo ujue kaamkia baa..Mhhh kiongozi maneno hayo
asubuhi bado mbichi hii
Mambo!
Ukimwona sweetlady mwambie eti nampenda sana lakini domo langu zege nashindwa kumtongoza. Soma fasta hii posti nna mpango wa kuidelete kabla hajaisoma.Katufute mtori na chapati hiyo nanihii itoke maana dah mmmhhhh
Ukiona hivyo ujue kaamkia baa..
Ukiona hivyo ujue kaamkia baa..
Nyie wawili hapo juu mbona mwanchokonoa?Nina wasi wasi huo sijui jana alikuwa kaunta ipi
Maana maneno mazito hivyo asubuhi hii noma
Niko poa sana,,,,,nilikumiss sana over the w.end! ulikuwa umebanwa sana?Rejao mie si nshakutaja? Unahangaika nini sasa?
Uko poa weye?
Mie good mpendwa... Nafurahi kukuona hapa..Poa poa SL
Mzima wewe
Umepotea sana
Nimekumiss (kimya kimya maana TF hajaamka )
Nyie wawili hapo juu mbona mwanchokonoa?
Mie good mpendwa... Nafurahi kukuona hapa..
TF hawezi amka sahizi manake alipokuwepo jana mimi ndo napajua..
Mkuu unataka kuniambia alikuwa amebanwa na haja kubwa au ndogo?Niko poa sana,,,,,nilikumiss sana over the w.end! ulikuwa umebanwa sana?
Namshangaa Dena ananiacha vip wakati wewe uliniona toka mbaliiii!
Mkiona hivyo mjue bibi yenu alininyima chakula cha usiku nikalazimika kumfanyia ubakaji.Babu taratibu
tunashangaa na maneno yako makali asubuhi asubuhi wakati unatakiw autoe busara za kuianza siku
Nafurahi kama uko poa. Dena nna hakika hajakuacha, amekusahau kwa bahati mbaya, wiki end nilibanwa kidogo mpendwa... Nilikuwa natembelea ndugu, jamaa na marafiki..Niko poa sana,,,,,nilikumiss sana over the w.end! ulikuwa umebanwa sana?
Namshangaa Dena ananiacha vip wakati wewe uliniona toka mbaliiii!