Ma-super star wa jf...!!

Ma-super star wa jf...!!

mimi ninamsaidia Mkuu Sizinga Mkuu Rejao kama ulivyo kuwa kwenye Picha yako ya Avatar na ndio hivyo hivyo ulivyo ndani ya hi Jamii forums ikiwa kama nitakuudhi unisamehe........
Dah!....hahaha :lol: mzizimkavu, inabidi unipe mzizi basi ile hiyo avatar iwe sawa!!
 
Naleta list yangu mpya:
MziziMkavu, Sweetlady, Cantalisia, Lizzy, Sizinga, Mtambuzi,Afrodenzi,FreemaAgyeman, Gaijin, Asprin + Feisbuku,
Theboss,Memo, The finest, Mwita25, DenaAmsi,Katabi, King'asti, Kongosho, Mwanamayum Marytina, Kigandu, BAK, Ndyoko,
Nzowa Godat, Tigger, Siumti.
nawasilisha.
 
Naleta list yangu mpya:
MziziMkavu, Sweetlady, Cantalisia, Lizzy, Sizinga, Mtambuzi,Afrodenzi,FreemaAgyeman, Gaijin,
Theboss,Memo, The finest, Mwita25, DenaAmsi,Katabi, King'asti, Kongosho, Mwanamayum Marytina, Kigandu, BAK, Ndyoko,
Nzowa Godat, Tigger, Siumti.
nawasilisha.
Sikupendi tena.
 
AshaDii (always my sweet darling)
Sweetlady
Bebii
MJ1
Smile
Smiles
Cantalisia
Gaijin (mwalimu wangu)
FL1
Gaga
Chauro
Husninyo (.....)
FeisBuk
Nyamayao
Preta
Dena
Afro Denzi (....)
....................................................................................................

ODM., Asprin, Klorokwin, TF, The Boss, Mbu, Uporoto, Fignig,Sizinga, VinDiesel, SMU, SteveDii, Chimungururu, funzadume, MR,Mr. Rocky,

(hapa list inaendelea)

Hii ngoja niiprint sourse ODM aka Asprin
 
Naleta list yangu mpya:
MziziMkavu, Sweetlady, Cantalisia, Lizzy, Sizinga, Mtambuzi,Afrodenzi,FreemaAgyeman, Gaijin,
Theboss,Memo, The finest, Mwita25, DenaAmsi,Katabi, King'asti, Kongosho, Mwanamayum Marytina, Kigandu, BAK, Ndyoko,
Nzowa Godat, Tigger, Siumti.
nawasilisha.

Hapa naongezea Mamdenyi sante sana aisee
 
AshaDii (always my sweet darling)SweetladyBebiiMJ1SmileSmilesCantalisiaGaijin (mwalimu wangu)FL1GagaChauroHusninyo (.....)FeisBukNyamayaoPretaDenaAfro Denzi (....)....................................................................................................ODM., Asprin, Klorokwin, TF, The Boss, Mbu, Uporoto, Fignig,Sizinga, VinDiesel, SMU, SteveDii, Chimungururu, funzadume, MR,Mr. Rocky,(hapa list inaendelea)
niko mbele yako kaizer!!
 
Ha ha ha mpe moyo atashinda kasahaulika tena jina lake linaanza na A dah.........maana ni rahisi kukmbuka
namsaidia tu kuomboleza..
naona dena na wewe unasahaulika sana! vp kwenye lile jukwaa lako na Maria Roza mbona huonekani tena? MR naye yuko wapi siku hizi?
 
Kama mzee wa kiraracha alkiweza kuwa mbunge tena! Nothing is impossible under ccm, niamini tu utaibuka tena! Kha!
Utawezaje kusahau lipenda maujiko kama mimi? Yaani kisisasa unaweza nifananisha na Lyatonga wa Kiraracha.
 
Utawezaje kusahau lipenda maujiko kama mimi? Yaani kisisasa unaweza nifananisha na Lyatonga wa Kiraracha.
Wanaanza kukumbia mmoja baada ya mweningine...labda ur fellow tablet Kloro ndio anafanya mambo!
Naona anakuja sana kwa kasi!
 
namsaidia tu kuomboleza..
naona dena na wewe unasahaulika sana! vp kwenye lile jukwaa lako na Maria Roza mbona huonekani tena? MR naye yuko wapi siku hizi?

Majukumu tu bana nipo MR anaumwa jino sana ila alitoa ijumaa hope atarudi muda si mrefu. Kule siku hizi kuna Kimbweka na Funza Dume nawasoma kwa mbali tu si unajua tena kule haukeshi
 
Back
Top Bottom