Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
daaah nalog off foreverhahaha! Umeonae? Ila kule pamenifanya nijifunze mambo mengi sana, nzuri zaidi nilijiapiza siku nikitoka lazima rejao awe my best friend wa jf manake bila yeye pia nisingeweza kujifunza hayo niliyo yajifunza...
Akitokea mtu kutuchonganisha mwambie ashindwe na alegee kabisa... Hakunaga zaidi yangu mimi na wewe, yaan hakunaga!