Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,577
Duh na mimi unanijumuisha humu? Then katika uliowataja wote ni namba hatari nahisi kama umekosea fulani hii...lol? Thanks anyway (kama hukukosea)The boss ndani,camaradiere ndani,nyani n. ndani,consigliere ndani, mwanakijiji ndani
Duh na mimi unanijumuisha humu? Then katika uliowataja wote ni namba hatari nahisi kama umekosea fulani hii...lol? Thanks anyway (kama hukukosea)
Asante mkuu mimi si Mganga wa kienyeji mimi ni Mtaalam na Mchunguzi wa Utafiti wa Madawa ya Asili Mitishamba au kwa lugah ya Kiingereza tunaweza kusema ( Herbalist) Mimi nimekuchagua wewe Sizinga kuwa Super Star kwenye jukwa ninalolipenda la (Tech, Gadgets & Science Forum) kwa Maujanja yako wewe. na Mtu wa pili ninaweza kumuita Super Star ni Dr Riwa kwa ule upande wa J.F Doctor kwa kuwajibu watu vizuri. asante nawasilisha .Nilishawahi kusema hapa bila mpangilio wowote kama ifuatavyo:
- Afrodence-excelence ideology
- Ashadii-excelence mind, and quick responce kwa kila comment
- Husninyo-same as above
- Mwanakikjiji-anatumia ubongo kufikiri na wala sio masaburi
- MwanaJamiiOne-same as above
- Smile-huyu anagonga like kama hana akili nzuri vile
- Dena Amsi-sasa hivi anapoteapotea kiaina
- The Finest- Huyu mara nyingi anakeshaga bar,Fidel80 na The Boss
- Asprin-Huyu kaunta za juu za vilezi humkosi, nadhani ni paparazi huyu bwana
- Lizzy-nadhani huyu ni JF celebrity mwenye umri mdogo sana MMU
- Gaijin yuko same status na Eng Nsiande
- Rutashubanyuma-huyu bwana wa copy na paste, anatujuza mengi sana hapa jamvini
- Rejao-Mh huyu member mi mwenzenu simwelewi
- MziziMkavu-sounds like doctor, lakini yupo kiasili zaidi kama mganga wa kienyeji vile
- Sikonge na Waberoya-hawa mambwana hawa, we acha tu.
- Katavi-nilisema na ninasema, huyu bwana ana mwaka wa 3 humu jamvini, post zake hazizidi mistari 2, ni very short post
- Game Theory-He like CIA-haonekani siku hizi jamvini
- Mwita25-mwana mpotevu, kaongoka siku hizi
- .....
- .....
- ......
mimi ninamsaidia Mkuu Sizinga Mkuu Rejao kama ulivyo kuwa kwenye Picha yako ya Avatar na ndio hivyo hivyo ulivyo ndani ya hi Jamii forums ikiwa kama nitakuudhi unisamehe........Lol..huu uzi ulinipitia kushoto..kumbe huwa sielewekagi?
Thanx Sizinga kwa maoni yako. Am in!
Hahaaa mimi najiamini, lakini kujiamini kwangu ni katika niyatendayo, ila kuhusu mitazamo ya watu juu yangu hilo huwa sijishughulishi nalo huwa najiona nipo mwenyewe mwenyewe tu nikfanya mambo kwa ajili ya jamii bila kutambulika hivyo nikiwa mentioned huwa nakuwa stunned some how.hujiamini?...upo ndani ya nyumba bana..but kuna ishu inabidi unipe majibu fasta!
Asante mkuu mimi si Mganga wa kienyeji mimi ni Mtaalam na Mchunguzi wa Utafiti wa Madawa ya Asili Mitishamba au kwa lugah ya Kiingereza tunaweza kusema ( Herbalist) Mimi nimekuchagua wewe Sizinga kuwa Super Star kwenye jukwa ninalolipenda la (Tech, Gadgets & Science Forum) kwa Maujanja yako wewe. na Mtu wa pili ninaweza kumuita Super Star ni Dr Riwa kwa ule upande wa J.F Doctor kwa kuwajibu watu vizuri. asante nawasilisha .
Duh na mimi unanijumuisha humu? Then katika uliowataja wote ni namba hatari nahisi kama umekosea fulani hii...lol? Thanks anyway (kama hukukosea)
Im humbled mkuu...Nakukubali sana mkuu!
Mie ndo kwanza nina wiki, atanijua nani humu........
Mie nimekuchagua wewe, wewe Zinduna wa wiki moja,nimeona warembo wengi Zinduna wee,lakini moyo umependa wewe, ah ni wewe Zinduna wangu...source Jagwa Music vol 2. Nalog offMie ndo kwanza nina wiki, atanijua nani humu........
Nakwenda sasa hivi kuangalia umeleta Mpya gani kule kwenye namba 4?Hahaaa...haya bana, tuko pamoja!! Nisha-upload namba 4 kule!!
zungumza vizuri jibu watu vizuri uwe mchangamfu utajulikana upesi na kuwa maarufu mapema unakaribishwa bibie karibu sana.Mie ndo kwanza nina wiki, atanijua nani humu........
Mie ndo kwanza nina wiki, atanijua nani humu........
Jamani Kaizer, do not disturb me kuanzia sasa.
Malipo yako nikutumie kwa Mpesa? Au kama una Usd account pse niPM, kesho nikutumie kwa kumrudisha mtu huyu
Wakaka/Wababa: Katavi, Uporoto, Fidel, The Finest, Klorokwini, Asprin, MTM, The Boss, Kaizer, Pakajimmy, Crashwise, Rejao, Mr. Rocky, Mbu, Mwanakijiji, Chatu dume, BAK...
Wadada/ Wamama: AshaDii, King'asti, Husninyo, bht, Gaijin, Mamndenyi, Black Woman, Preta, Dena Amsi, Lizzy, Afro d, MJ1... Hapa Itifaki haijazingatiwa so hakuna wa kwanza wala wa mwisho... Wasipokuwepo hao mie najitoa jf.. Mungu awape maisha marefu.
Ebu cheki PM, nimekutumia namaba ya MPesa man.....
Wakaka/Wababa: Katavi, Uporoto, Fidel, The Finest, Klorokwini, Asprin, MTM, The Boss, Kaizer, Pakajimmy, Crashwise, Rejao, Mr. Rocky, Mbu, Mwanakijiji, Chatu dume, BAK...
Wadada/ Wamama: AshaDii, King'asti, Husninyo, bht, Gaijin, Mamndenyi, Black Woman, Preta, Dena Amsi, Lizzy, Afro d, MJ1... Hapa Itifaki haijazingatiwa so hakuna wa kwanza wala wa mwisho... Wasipokuwepo hao mie najitoa jf.. Mungu awape maisha marefu.