Ma-super star wa jf...!!

Ma-super star wa jf...!!

Love is strong than Gravity!!

Gravity haina nguvu sana when it comes to human being, you know why....

"Gravity can calculate the motion of heavenly bodies, but not the madness of people." Isaac Newton
 
Nilishawahi kusema hapa bila mpangilio wowote kama ifuatavyo:
  1. Afrodence-excelence ideology
  2. Ashadii-excelence mind, and quick responce kwa kila comment
  3. Husninyo-same as above
  4. Mwanakikjiji-anatumia ubongo kufikiri na wala sio masaburi
  5. MwanaJamiiOne-same as above
  6. Smile-huyu anagonga like kama hana akili nzuri vile
  7. Dena Amsi-sasa hivi anapoteapotea kiaina
  8. The Finest- Huyu mara nyingi anakeshaga bar,Fidel80 na The Boss
  9. Asprin-Huyu kaunta za juu za vilezi humkosi, nadhani ni paparazi huyu bwana
  10. Lizzy-nadhani huyu ni JF celebrity mwenye umri mdogo sana MMU
  11. Gaijin yuko same status na Eng Nsiande
  12. Rutashubanyuma-huyu bwana wa copy na paste, anatujuza mengi sana hapa jamvini
  13. Rejao-Mh huyu member mi mwenzenu simwelewi
  14. MziziMkavu-sounds like doctor, lakini yupo kiasili zaidi kama mganga wa kienyeji vile
  15. Sikonge na Waberoya-hawa mambwana hawa, we acha tu.
  16. Katavi-nilisema na ninasema, huyu bwana ana mwaka wa 3 humu jamvini, post zake hazizidi mistari 2, ni very short post
  17. Game Theory-He like CIA-haonekani siku hizi jamvini
  18. Mwita25-mwana mpotevu, kaongoka siku hizi
  19. .....
  20. .....
  21. ......
2q1iefq.gif

2i9m911.jpg

jidhjp.gif
Lol..huu uzi ulinipitia kushoto..kumbe huwa sielewekagi?
Thanx Sizinga kwa maoni yako. Am in!
 
Wakaka/Wababa: Katavi, Uporoto, Fidel, The Finest, Klorokwini, Asprin, MTM, The Boss, Kaizer, Pakajimmy, Crashwise, Rejao, Mr. Rocky, Mbu, Mwanakijiji, Chatu dume, BAK...


Wadada/ Wamama: AshaDii, King'asti, Husninyo, bht, Gaijin, Mamndenyi, Black Woman, Preta, Dena Amsi, Lizzy, Afro d, MJ1... Hapa Itifaki haijazingatiwa so hakuna wa kwanza wala wa mwisho... Wasipokuwepo hao mie najitoa jf.. Mungu awape maisha marefu.

Waoo..Sweetlady! huwa naapreciate uwezo wako wakusimamia unachokiamini..you seem to be a strong woman..kwenye mambo yetu ya politic upo safi sana...
 
mkimaliza kuwachagua wapitisheni hapa kwangu wapate chai,maana ndio naamka mida hii.nalog off
 
Waoo..Sweetlady! huwa naapreciate uwezo wako wakusimamia unachokiamini..you seem to be a strong woman..kwenye mambo yetu ya politic upo safi sana...
Thanx sana Rejao ila bana mie kule sirudi tena, uwe unakuja kunisalimia huku chit chat na kule mmu.... Ubarikiwe sana.
 
Leo ndio uzinduzi wa bendi ya Klorokwin (Klorokwin Mashauzi Classic Band) amekupa kadi yako ya mwaliko
Hahaha!


Hilo jina la bendi limenivunja mbavu TF. Khaa, sijapewa kadi asee. Inabidi nizamie nije niyaone mashauzi ya kloro!
 
Back
Top Bottom