trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Wakubwa shkamooni, wadogo mambooo zenuuu?
marhabaaa!
Wakubwa shkamooni, wadogo mambooo zenuuu?
The boss ndani
Looh! Sijui nimewaachaje washawasha a.k.a nalog off na figganigga a.k.a mia.
Nime kumiss si kitoto!!Hupo??salamu salamu!!Toa sifa zao...
Mkuu sema nipo nakusanya mifupa sehemu moja hadi kesho!!The Boss pande za wapi??
Hahaha! Sante figganigga and nafurahi kusikia kuwa sijakuacha..mia.mimi hujaniacha. huoni nilivyo kundandia kwa nyuma?. sweetlady wewe ni star kuliko hata X-GIRLFRIEND. Lakini na yeye wamo iwapo hawavumi. Mia
kuna watu hapa jf wanamajina makubwa kwa umaarufu wao hapa jf hasa ktk michamgo yao.mimi hawa watu ningependa kuwaita masuper star wa jf! Kwangu mm wapo wengi kama The boss, klorokwin, nyani ngabu,asha d,husninyo,afrodanz na wengine wengi.... Endelea na wewe....
Usijali my lovely shemeji, umaarufu haujapotea kabisa, labda mimi nisiwepo jf, hakuna asiyejua kuwa wewe ni supa star wetu hapa jf. Ila shemu unapotea sana bana mbaya zaidi hata huagi, ntakununia ujue shemu?...lol... Mie penda wewe sana muulize hata wife wako husninyo..Duh! kweli nimepoteza umaarufu yaani jina langu nimelitafuta mpaka nakuja kuliona page # 6 tena nimekumbukwa na shemeji langu,asante mrembo
Khaaa!kumbe mie superstar mweeee!The Finest, Chatu Dume, Klorokwini, Asprin, Cantalisia, Feis Buku, Sweetlady, WiseLady, Pakajimmy...........n.k
Huo uzi umebamba wengi...mi huwa sikuelewaagi...siku nyingine tuko pamoja siku nyingine upo kivyako, yani ilimradi tu hueleweki.
Asante sana my big Shem lol!AshaDii (always my sweet darling)
Sweetlady
Bebii
MJ1
Smile
Smiles
Cantalisia
Gaijin (mwalimu wangu)
FL1
Gaga
Chauro
Husninyo (.....)
FeisBuk
Nyamayao
Preta
Dena
Afro Denzi (....)
....................................................................................................
ODM., Asprin, Klorokwin, TF, The Boss, Mbu, Uporoto, Fignig,Sizinga, VinDiesel, SMU, SteveDii, Chimungururu, funzadume, MR,Mr. Rocky,
(hapa list inaendelea)
The Boss pande za wapi??
Atakua kalowekewa nguo na simu kwa Kongosho. Mambo za pwani yakhe!
Hommie, name calling ni kinyume na taratibu za JF jukwaa la chit chat. Lakini kwakuwa umenipa maujiko, utanidai bia mbili. Mwambie Sauda akupe ntamletea hela yake jioni.AshaDii (always my sweet darling)
Sweetlady
Bebii
MJ1
Smile
Smiles
Cantalisia
Gaijin (mwalimu wangu)
FL1
Gaga
Chauro
Husninyo (.....)
FeisBuk
Nyamayao
Preta
Dena
Afro Denzi (....)
....................................................................................................
ODM., Asprin, Klorokwin, TF, The Boss, Mbu, Uporoto, Fignig,Sizinga, VinDiesel, SMU, SteveDii, Chimungururu, funzadume, MR,Mr. Rocky,
(hapa list inaendelea)