Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,341
- 96,590
Huyu fellow tablet nisipofanya juhudi anaweza kunipora sweetlady. Kuna raba mtoni mpya kanunua basi mabinti wakiziona wanamzimikia ile mbaya. Yule jamaa ana zali kama Mr. Sugu.Wanaanza kukumbia mmoja baada ya mweningine...labda ur fellow tablet Kloro ndio anafanya mambo!
Naona anakuja sana kwa kasi!