Lunyungu apata ajali

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Muda si mrefu nimeongea na mdau wa JF Lunyungu akaniarifu kuwa kapata ajali mbaya maeneo ya Bagamoyo baada ya gari alilokuwa akiendesha kupinduka vibaya.

Kwa wale wenye kuhitaji kuongea naye naweza kuwapa namba yake katika PM.
 
...duuuh! Lunyungu Pole sana mkuu!
 
Pole sana Lunyungu. Tumshukuru Mungu kukusalimisha katika hiyo ajali.
 
Muda si mrefu nimeongea na mdau wa JF Lunyungu akaniarifu kuwa kapata ajali mbaya maeneo ya Bagamoyo baada ya gari alilokuwa akiendesha kupinduka vibaya.

Kwa wale wenye kuhitaji kuongea naye naweza kuwapa namba yake katika PM.

duh1 mpe pole zangu na mwambie tupo pamoja duh! noma , kapata ajali maeneo gani kwani bara bara nzuri tuu ile
 
Pole mkuu. Namshukuru Mungu kwamba kakunusuru na ajali hii mbaya.
Nakuombea afya njema haraka na mapema iwezekanavyo urudi tuendeleze mapambano katika muhimili mwingine huu wa tano jf.
 
Pole sana Mkuu kwa ajali uliyopata. Je yeye mwenyewe amapata majeraha?? Na alikuwa peke yake au na watu wengine kwenye gari.
 
pole sana mkuu Lunyungu, tunashukuru kwa vile walau umetoka mzima,, haya mambo ya barabarani tunayajua hayana muamana wakati na mahali popote ajali inatokea..

get well soon tuendeleze mapambano
 
Back
Top Bottom